mkurugenzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. kasanga70

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi Manispaa Iringa Kunani? Mji umekuwa mchafu na viongozi hawajali

    Wasalaam Miaka michache ilikuwa ukiingia mkoa Wa Iringa utakuta mji ni msafi hadi unavutia. Hili Leo ni story. Wiki nzima nimekuwepo Iringa hususan stendi ya zamani, inasikitisha. Matakataka kila kona. Uchafu umetapakaa, stendi mabarabarani no body cares. Hata maeneo ya wazi kabisa ni hatari...
  2. The Sheriff

    JamiiForums Tanzania Kondoa: Afisa Manunuzi amlalamikia Mkurugenzi kwa kutukana watumishi, asema ubabe wake umezidi

    Afisa Manunuzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa, Mussa Kimwaga amemlalamikia Mkurugenzi wa Halmashauri hiyo kwa kutukana na kuwa mbabe kwa watumishi. Bw. Kimwaga akitema cheche Tuna ubunifu mwingi sana na ushauri mwingi lakini hatupewi nafasi ya kutoa ushauri mzuri. Ubabe ni mkubwa sana kwa...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Ziara ya Rais Samia: Namshauri Mkurugenzi wa Wilaya ya Geita kufanya haya...

    Nimesoma mahali kuwa Mhe. Rais kesho tarehe 22.2.2022 atatembelea Mkoa wa Geita a wakati yuko ziarani Mara alikupa salamu kuwa na wewe unaweza kuwa kati ya wale Wakurugenzi wenzako waliotumbuliwa. Nakushauri utayarishe taarifa iliyo na takwimu halisi, gharama ya ujenzi wa kila darasa, zahanati...
  4. Analyse

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya mchujo TAKUKURU: Let's be honest with each other

    Naanza kwa kusema, poleni mliokosa na hongereni mlioona majina. Ila tukisema tuangalie uhalisia, naweza sema TAKUKURU haijawatendea haki waliofanya usaili ule. To be fair, why wasingetoa majina na marks kila mmoja alizopata, huku wakiainisha cut-off points? Tuachane na lile swala la baadhi ya...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Hata songwe Hela Uviko zimepigwa, mkurugenzi wake yupo kimya

    Nimemskia madam president jana akisikitishwa sana wakurugenzi wanne walioshindwa kusimamia pesa ya uviko kuagiza mamlaka zinazohusika kutengua ukurugenzi wao. Nashauri pia Mhe Rais apate taarifa rasmi za wilaya zote ikiwa pamoja wilaya ya Songwe. Kwani kuna ubadhirifu mkubwa ulifanywa na...
  6. D

    JamiiForums Tanzania Utitiri wa Div One za point 7 zinaleteleza GPA 4.5 kule SUA na UDSM. Na zamani tulikwama wapi? Tujadiliane kidogo

    1. Kuna ukweli kuwa mitihani zamani ilitungwa na walimu wakongwe, na sasa NECTA wametunga wenyewe? 2. Usahihishaji unafanyika kwa muda mfupi sana , wameongeza wasahihishaji au wasahihishaji wameongeza speed? 3. Kuna ukweli kuwa wasahihishaji wakimaliza kazi, wataalamu na standardazation...
  7. A

    JamiiForums Tanzania Mahojiano maalum na mkurugenzi wa Zoa Zoa, Dkt. Elizabeth

    MAHOJIANO MAALUM NA MKURUGENZI WA ZOA ZOA, DK. ELIZABETH Mwishoni mwa wiki, wana habari walifanya mazungumzo ya dakika arobaini na tano (45) na Mkurugenzi Mtendaji wa Grace Product Limited, watoaji wa bidhaa za Zoa Zoa, Dk. Elizabeth Kilili. Katika mahojiano hayo yaliyolenga kujua ukuaji wa...
  8. tpaul

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Zuhra Yunus ndiye Mkurugenzi mpya wa Azam TV

    Aliyekuwa mtangazaji nguli wa BBC Swahili, Bi Zuhra Yunus ametundika daruga za utangazaji wa BBC tangu Ijumaa tarehe 14/01/2022 na kuhamia rasmi Azam TV kama Mkurugenzi mpya kuchukua nafasi ya Charles Hillary aliyeteuliwa na Rais Hussein Mwinyi wa Zanzibar kuwa Mkurugenzi wa Habari na...
  9. A

    JamiiForums Tanzania Maswali kwa mkurugenzi wa HESLB ndugu Badru

    Mpaka kufikia leo January 9/2022 baadhi ya wanachuo hawajapewa mikopo tangia wamefungua vyuo yani wengine wanakaribia kusaini awamu ya pili wapewe fedha,wengine walisha saini ila hawajapewa fedha zao za awamu ya kwanza mpaka sasa. Je wewe mzee unataka nini hasa kwa watoto wa wanaume wenzio? Je...
  10. Kufa c mwiko

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi Wilaya ya Chamwino acha tabia ya kuwapiga Watumishi wa chini yako!

    Hii ni mala ya pili jana kumdunda mtumishi hapa kijiji cha manchali,wiki chache zilizopita ulimfanyia hivyo mwalimu mkuu wa shule ya msingi chinangali 2 hukuridhika ukamshusha na cheo Je umewahi kujiuliza ni kwanini mliona umuhimu wa kununua wenyewe vifaa vya ujenzi vya shule zoote...
  11. DaveSave

    JamiiForums Tanzania Kiongozi Mwandamizi wa CHADEMA akutana na Kikwete, Kinana na Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa

    Jitihada za kumaliza kesi ya ugaidi na uhujumu uchumi inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Mheshimiwa Freeman Mbowe, zinaendelea “nyuma ya pazia,” ambapo taarifa za uhakika zinaeleza kuwa Katibu Mkuu wa chama hicho, John Mnyika, amekutana na Rais Mstaafu Jakaya Kikwete, Katibu Mkuu mstaafu...
  12. waziri2020

    JamiiForums Tanzania Tuhuma mbalimbali za ufisadi zazidi kumwandama aliyekuwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Siha

    Tuhuma za matumizi mabaya ya fedha za halmashauri na madaraka zimezidi kumwandama aliyekuwa mkurugenzi wa halmashauri ya Siha ,Ndaki Muhuli ambapo safari hii inaelezwa “ametafuna “zaidi ya sh,142 milioni fedha ambazo ni makusanyo ya ndani. Ndaki kwa sasa ni mkurugenzi wa halmashauri ya Kakonko...
  13. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Matumizi mabaya ya Madaraka inayomkabili Paulo Makonda inatajwa Leo Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni

    Leo tarehe 3/12/2021 inaweza kuwa siku nzuri kwa wapenda haki duniani , baada ya mmoja wa Wasiginaji wa kubwa wa haki hizo kuburuzwa Mahakamani kwa tuhuma kadhaa ikiwemo uvamizi wa kutumia silaha na ulevi wa Madaraka . Kesi hii iliyofunguliwa na Mbunge wa zamani wa Ubungo Mh Saed Kubenea kwa...
  14. Replica

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi TPDC abadili gia angani, asema hakuna uhaba wa mafuta nchini

    Mkurugenzi wa shirika la maendeleo ya petroli Tanzania amesema Tanzania haina uhaba wa mafuta nchi ikiwa ni tofauti na kauli iliyonukuliwa na gazeti la Nipashe wakati akiongea na wanahabari. Mapema January Makamba alikanusha Tanzania kuwa na uhaba wa mafuta na kumtaka mkurugenzi huyo kwenda...
  15. MPARE KIBOGOYO

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Wilaya ya Mkuranga, Bi. Khadija awaweka ndani Wakuu wa Shule kwa kuchelewa kuanza ujenzi wa vyumba vya madarasa

    Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Mkuranga amewakamata na kuwaweka ndani wakuu wa shule 3 za sekondari kwa kuchelewa kuanza ujenzi wa vyumba vya madarasa. Wamewekwa ndani kuanzia tarehe 8/11/2021. ==== UPDATES: ==== Mkuu wa Wilaya ya Mkuranga Bi.Khadija N. Ali, amekanusha taarifa hii...
  16. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Zanzibar: Rais Mwinyi amtumbua Mkurugenzi wa Baraza la Mitihani Zanzibar

    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Ali Mwinyi ametengua uteuzi wa Mkurugenzi wa Baraza la Mitihani Zanzibar, Zubeir Juma Khamis kuanzia leo November 03,2021.
  17. Jesusie

    JamiiForums Tanzania Arusha Jiji Serikali yaachia TZS 5.2B kwaajili ya Vijana 4% Walemavu 2% na wanawake 4%

    === Chini ya Sheria ya fedha ya Serikali za mitaa sura namba 290 kifungu cha 37 ya mwaka 2019 kila halmashauri inatakiwa kutenga 10% ya mapato yake kwa mwaka kwaajili ya maendeleo ya watu wa halmashauri husika kwa mchanganuo ufuatao, 4% kwaajili ya wanawake, 4% kwaajili ya Vijana na 2% kwaajili...
  18. beth

    JamiiForums Tanzania UTEUZI: Dkt. Nicolaus Herman Shombe ateuliwa kuwa Mkurugenzi Mkuu wa NDC

    Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Dkt. Nicolaus Herman Shombe kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Taifa la Maendeleo (NDC) Anachukua nafasi ya Marehemu Prof. Damian Gambagambi aliyefariki akiwa katika nafasi hiyo. Kabla ya kuteuliwa, Dkt. Shombe alikuwa Kamishna wa Mipango, Wizara ya Fedha
  19. Doctor Mama Amon

    JamiiForums Tanzania Kwa Mkurugenzi wa BRELA: Naomba kujua namba za simu za customer care staff wako zinazofanya kazi

    Mheshimiwa Mkurugenzi wa BRELA, Hizi ni zama za kidijitali, na tuko fourth industrial revolution. Lakini hapo kwako BRELA kuna tatizo. NImeingia mfumo wa ORS nimekwama, na hakuna namna ya kupata msaada wa haraka kutoka customer care office ya BRELA. Nimechukua namba za customer care staff...
  20. T

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi wa Geita anasema anapenda kupumulia watu kwa nyuma.

Back
Top Bottom