Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Mhe. Amos Makalla amemaliza sintofahamu ya uongozi wa manispaa ilijitokeza Kati ya meya manispaa ya kinondoni Ndg Songoro Mnyonge na mkurugenzi wa manispaa Spora Liana.
Utatuzi wa mgogoro huo umefanyika leo katika kikao Cha pamoja kilichoitishwa leo na mkuu wa...
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam, leo Alhamisi imewaachia huru, aliyekuwa mkurugenzi mkuu wa Bohari ya Dawa (MSD), Laurean Bwanakunu na Mkurugenzi wa Logistiki, Byekwaso Tabura. Hatua hiyo imefikiwa Baada ya aliyekuwa DPP, Biswalo Mganga kutokuonesha nia ya kuendelea na kesi dhidi...
Tatizo hasa ni nini kwa sababu hata DPP Felleshi aliondolewa na sasa ni Jaji Kiongozi.
Kimsingi sheria imempa madaraka makubwa DPP so hata DPP atakayekuja bado mtamlalamikia tu akiwa anatimiza majukumu yake kwa msingi wa sheria.
Tunapaswa kutibu ugonjwa badala ya kutibu dalili.
Ramadhan kareem!
Binafsi naamini watu wenye kipato nchi hii na wanaoweza kulipa kodi ni wengi tu ila kinacholosekana ni ubunifu wa vyanzo vya mapato pamoja na watumishi wa TRA kutotaka kukimbizana na watu kukusanya kodi bali wanataka zaidi kukusanya kodi zisizo na usumbufu/changamoto kama PAYE, VAT na...
Julian Assange The Whistle Blower,Alishawai kusema kwamba Taifa lolote ambalo halina wapaza sauti KWA maslahi ya wengi basi ni Taifa legelege,
Nimefanikiwa kuipata inside story isiyo na mashaka hata chembe kutoka ndan ya shirika la Taifa la hifadh ya jamii Nssf hakika kweli sikio la kufa...
Baadhi ya wateja wangu hupenda kuniita Mkurugenzi ingawa sina sifa za kuitwa hivyo. Nafurahia zaidi kuitwa Mkulima. Haya, fuatilia sasa kwa makini ujue mazito niliyokutana nayo safarini. Hii ni habari ya kweli kabisa, ila kama wewe ni mwepesi wa kulia na kutoa machozi, usiendelee kusoma habari...
Watu walikuwa smart na wababe, mtu anayeogopwa na Rais na vyombo vyote vya dola huyo sio wa mchezomchezo. Umewahi kuwaza ni namna gani vitengo vya usalama vinamtambua mtu kwa kutumia alama za vidole?, basi haya yote yasingekuwepo bila ya mtu aliyeitwa Edgar Hoover
Edgar Hoover Me napenda...
Waziri wa Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Ummy Mwalimu amewasimamisha kazi Wakurugenzi wawili.
Wa kwanza ni Nyangi Msemakweli wa Halmashauri ya Wilaya ya Sumbawanga. Huyu katumbuliwa kwa ubadhirifu wake na usimamizi mbovu wa miradi ya Maendeleo pia alikuwa hana maelewano na...
Dar es Salaam. Taasisi ya Kuzuia na Kupamabana na Rushwa (Takukuru) imesema imekamilisha faili la uchunguzi kuhusu tuhuma zinazomkabili aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA), Deusdedit Kakoko.
Machi 30, mwaka huu taasisi hiyo ilimkamata Kakoko ili kuhojiwa kuhusu tuhuma...
Wanahabari Christopher James wa ITV&RADIO ONE na Dickson Billikwija wa Island TV waliwekwa chini ya ulinzi kwa saa 3 kwa maagizo ya Mkurugenzi Manispaa ya Temeke Lusabilo Mwakabibi, baada ya wanahabari hao kufika kwenye kikao cha wafanyabiashara wa soko la Mbagala Rangi Tatu na Mkurugenzi huyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.