mkurugenzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Replica

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi Tanesco: Jamii ielewe, sekta binafsi kuzalisha umeme sio tatizo. Adai ndio namna ya kufikia malengo

    Mkurugenzi wa Tanesco, Maharage Chande ameongelea mahitaji ya umeme miaka ijayo ambapo amesema mpaka 2035 angalau megawatt 80,000 zitahitajika akikadiria nchi itakuwa na watu milioni 70-80 kutoka milioni 61 iliyopo sasa ili watoto wanaokua wapate ajira kwenye viwanda na kinyume chake itakuwa...
  2. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Nipo tayari kujitolea gharama za matibabu ya akili kwa mkurugenzi wa Tanesco Kariakoo CBD

    Kwa kweli, kwa kweli, jamani, kwa hili la kukata umeme Kariakoo tangu asubuhi hadi muda huu umeme haujarudi kwa maeneo mengi ya Kariakoo, binafsi nipo tayari kutoa usafiri hadi Milembe, na nitalipa gharama zote za matibabu, this is Insanity!!!!!!!
  3. U

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Ujenzi wa jengo la Mkurugenzi wa Uyui liko chini ya kiwango, wahusika wawajibishwe

    Wilaya Uyui ina maaajabu yake ambayo nahisi sijawahi ya kuyaona katika wilaya nyingine. 1. Kuna ufisadi wa kutisha katika majengo yaliyojengwa (jengo la mkurugenzi jipya) Yaani jengo la serikali limekabidhiwa hata miezi miwili halina tiles zinabanduka, helper za kupandia ngazi ya...
  4. P

    JamiiForums Tanzania Nimemuelewa mkurugenzi TCAA hii ni ajali kama zingine japo kuondokewa na mpendwa hakuzoeleki

    Jana mchana nilikuwa namsikiliza Mkurugenzi wa Mamlaka ya Anga Tanzania akielezea juu ya ajali ya ndege ndani ya Ziwa Victoria. Nikawa nasoma maoni yanayopita pembeni ya kile kioo cha kinakilishi changu. Alionekana kama anapiga siasa zile zile tunazozizoea kuzisikia kutoka kwa watanzania pindi...
  5. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Simiyu: Mkurugenzi abomoa msingi wa jengo la madarasa kisa kujengwa kiwango cha chini

    Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Meatu Mkoani Simiyu Msoleni Dakawa, ameamuru kubomolewa kwa msingi wa madarasa manne, uliokuwa unaendelea kujengwa katika Shule ya Sekondari Sakasaka baada ya kubaini umejengwa chini ya kiwango. Mbali na uhamuzi huo, Mkurugenzi huyo amemwagiza Fundi...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Hii imekaaje? Kada wa CCM alafu ni Mkurugenzi wa uhandisi Ruwasa. Yaani kada alafu mtumishi wa umma.

    Ni ndugu Simon Ngonyani. Aliwahi kufyeka mahindi ya wakulima mto Ruvu alipo kuwa Wami/ Ruvu water basin👇
  7. M

    JamiiForums Tanzania Waraka kwa Mkurugenzi wa mashtaka DPP

    WARAKA KWA MKURUGENZI WA MASHTAKA - DPP. TAKUKURU IUNDIWE TAKUKURU-JAJI LUBUVA. Kwa muda mrefu sasa Taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa - PCCB wamekuwa wakitenda mambo ya ajabu na kukomoa watanzania utadhani sio raia wa nchi hii. Mwezi may 2021,Mkurugenzi wa mashtaka nchini Silvester...
  8. Gamba la Nyoka

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa Waziri wa Maji na Mkurugenzi wa DAWASA

    Wananchi wa Dar es salaam tumechoka na migao ya maji Ndugu Waziri na Ndugu Mkurugenzi wa DAWASA Mimi ni mkazi wa Dar es salaam, maeneo ya Mlalakuwa. Napenda nikutaarifu kuwa, sasa katika maeneo yetu na mengine ya Jiji la Dar es salaam kumekuwepo na hali mbaya sana ya upatikanaji wa maji ya...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi wa MATI atoa msaada wa fimbo nyeupe 500 kwa watu wasioona

    Na John Walter-Manyara Mkurugenzi wa Kampuni ya Mati Super Brand Ltd David Mulokozi ametoa msaada wa Fimbo nyeupe 500 kwa watu wasioona ikiwa ni kuunga mkono juhudi za Serikali inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan katika kusaidia makundi yenye mahitaji maalum. Akikabidhi fimbo hizo kwa...
  10. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Ruto ateua Mkurugenzi mpya wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai

    Amin Mohamed Ibrahim ameteuliwa kuwa Mkurugenzi wa Idara ya Upelelezi wa Jinai (DCI) na Rais William Ruto. Mohamed, bosi wa Kitengo cha Masuala ya Ndani ya Polisi, ana uzoefu wa zaidi ya miaka 30 katika uchunguzi wa makosa ya jinai na aliibuka kinara bora zaidi katika mahojiano ili kuteuliwa...
  11. Nyanswe Nsame

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Walimu Walala ofisi ya Mkurugenzi Buchosa Mwanza, wakishinikiza malipo

    Huu ni uonevu mkubwa,walimu wanashindwa kupewa kipaumbele na kuanza kulalamika hawajalipwa mishahara yao ya miezi miwili. Taifa hili tunafika kubaya, nchi imeishiwa pesa hata ya kulipa mishahara walimu. Hao katika video ni walimu wa shule za sekondari halmashauri ya Buchosa mkoani Mwanza...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Pongezi kwa Mwenyekiti wa bodi ya Wakurugenzi na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NMB plc tawi la Tanzania

    Nikiwa mdau wa benki hii natoa pongezi za dhati kwa Uongozi wa benki Dr. Edwin Mhede - Mwenyekiti wa Bodi ya wakurugenzi na Prof. Ruth Zaipuna (Mrs)- Mkurugenzi Mtendaji kwa kitendo cha kuyapokea maoni na ushauri na hatimaye kufanikisha kumwadabisha Lilian Komwihangiro (Advocate) aliyekuwa...
  13. The Sheriff

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi PSSSF afikishwa mbele ya Baraza la Maadili

    Mkurugenzi wa Mifumo ya TEHAMA katika Shirika la Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) Bw. Gilbert William Chawe tarehe 16 Septemba, 2022 alifikishwa mbele ya Baraza la Maadili ya Viongozi wa Umma jijini Dodoma kwa tuhuma za ukiukwaji wa maadili ikiwa ni pamoja nakukopa kiasi...
  14. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi mwingine PSSSF ajikopesha Tsh. Milioni 200 kinyemela

    Mkurugenzi wa Mifumo ya TEHAMA katika Shirika la Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) Bw. Gilbert William Chawe tarehe 16 Septemba, 2022 alifikishwa mbele ya Baraza la Maadili ya Viongozi wa Umma jijini Dodoma kwa tuhuma za ukiukwaji wa maadili ikiwa ni pamoja nakukopa kiasi...
  15. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Ally Mayay ateuliwa kuwa Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Michezo

    Ikukupendeza uwe Azam kuichambua Yanga ikipokea kipigo cha Al Hilal,kama sehemu ya kutuaga fans wako. Namaanisha tushiriki wote kuusindikiza mwili wa marehemu mtarajiwa toka Sudan
  16. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania UTEUZI: Rais Samia afanya teuzi za Wakurugenzi Watendaji wa Hospitali ya Muhimbili na JKCI

    UTEUZI: Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Prof. Mohamed Yakubi Janabi kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Muhimbili. Prof. Janabi alikuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) Prof. Janabi anachukua nafasi ya Prof. Lawrence Maseru ambaye amestaafu. Aidha Rais...
  17. Replica

    JamiiForums Tanzania Nehemiah Mchechu aula DSTV, ateuliwa mkurugenzi wa bodi

    MultiChoice Tanzania imemteua Nehemiah Kyando Mchechu kuwa mkuu wa bodi ya wakurugenzi uteuzi ulioanza rasmi Agosti 1, 2022 Multichoice wamesema wana imani kubwa na uwezo na uzoefu wake uliomfanya kuwa moja ya wakurugenzi mahiri hapa nchini. Pia, soma=> BAJETI: DStv yaunga mkono TOZO ya...
  18. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi aliyefariki kwenye ajali Mbeya alionywa asiendelee na safari akadai ana haraka

    Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Juma Zuberi Homera amesema Askari waliokuwepo eneo la Inyala Mbeya waliwashauri Mkurugenzi wa Halmashauri ya Igunga Fatma Omary na Dereva wake kutoondoa gari leo eneo hilo kusubiria Malori yapite ili magari madogo yaruhusiwe kama utaratibu unavyotaka lakini wawili hao...
  19. mshale21

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi PSSSF kikaangoni kwa kujikopesha fedha ya kujinunulia gari

    Mkurugenzi wa Ununuzi na Ugavi wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) Bw. Ernest Khisombi Septemba 12, 2022amefikishwa mbele ya Baraza la Maadili kwa tuhuma za kujipatia mkopo wa gari binafsi wenye thamani ya Shilingi 196,570,931.00 kinyume na Sheria ya Maadili ya Viongozi wa...
  20. Dong Jin

    JamiiForums Tanzania Pitso Mosimane ateuliwa kuwa Mkurugenzi wa Ufundi wa Bournemouth ya EPL

    Aliyekuwa kocha wa Mamelodi Sundowns na Al ahly ameteuliwa na klabu ya Bournemouth kuwa mkurugenzi wa ufundi. Awali ilisemekana "Mlete mdhungu fc" wana mpango wa kumleta kocha huyo mwenye CV iliyotukuka zaidi katika mpira wa bara hili 🤣🤣🤣 baada ya timu hiyo kumtimua kocha wao wa dunia Zolan...
Back
Top Bottom