Mkoa wa Geita ubadilishwe jina na kuitwa "Magufuli" kisha makao makuu yawe wilaya ya "Chato" mwaka 2031

Infantry Soldier

JF-Expert Member
Feb 18, 2012
14,963
2,000
Good evening jamiiforums.

Ndugu zangu, leo nilienda kumtembelea dada yangu mmoja (mtoto wa mama mkubwa) ameolewa eneo la Pugu huku Dar. Sasa wakati tupo tunakula mezani ule muda wa mchana, mtoto wake wa kiume (Uncle wangu) yupo kidato cha pili akaniuliza hivi;

Kwanini mkoa wa Geita usibadilishwe jina ukaitwa "Magufuli" kisha makao makuu yakawa Wilaya ya Chato ifikapo mwaka 2031 (Miaka 10 baada ya kifo cha Rais wa awamu ya 5).

Eti wakuu, huyu mtoto wa dada yangu yupo sahihi?

USISAHAU: ENDELEA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USICHAFUE TASWIRA NJEMA YA TAIFA LAKO. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TIMIZA WAJIBU WAKO IPASAVYO.
 
Bramo

JF-Expert Member
Oct 21, 2009
12,153
2,000
Good evening jamiiforums.

Ndugu zangu, leo nilienda kumtembelea dada yangu mmoja (mtoto wa mama mkubwa) ameolewa eneo la Pugu huku Dar. Sasa wakati tupo tunakula mezani ule muda wa mchana, mtoto wake wa kiume (Uncle wangu) yupo kidato cha pili akaniuliza hivi...
Enzi za Mwendazake Mpwa wako angetekwa na Kupimwa Mkojo kama sio Kung'olewa Kucha
 
Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
85,484
2,000
Good evening jamiiforums.

Ndugu zangu, leo nilienda kumtembelea dada yangu mmoja (mtoto wa mama mkubwa) ameolewa eneo la Pugu huku Dar. Sasa wakati tupo tunakula mezani ule muda wa mchana, mtoto wake wa kiume (Uncle wangu) yupo kidato cha pili akaniuliza hivi...
Naunga mkono hoja
 
Johnny Impact

JF-Expert Member
Sep 12, 2017
2,661
2,000
Katakuwa hakana akili. Kaulize km kameshawahi hata kuwa kwenye nafasi 1-5 darasani. Uitwe magufuli kwa vigezo gani? Magufuli amefanya nini kumzidi Nyerere na Mwinyi?

Watu wangekuwa wanafufuka, angeshangaa sana kuona baada ya kufa yeye tu wote pale ikulu wanavaa barakoa.

Mkuu, huyu mtoto wa dada yangu yupo sahihi?
 
konyola

JF-Expert Member
Dec 13, 2016
2,176
2,000
mkoa uitwe makufuli na makao makuu yawe ulabu na mkafie huko mnatusumbua sana
 
souljar

JF-Expert Member
Feb 16, 2021
594
1,000
Good evening jamiiforums.

Ndugu zangu, leo nilienda kumtembelea dada yangu mmoja (mtoto wa mama mkubwa) ameolewa eneo la Pugu huku Dar. Sasa wakati tupo tunakula mezani ule muda wa mchana, mtoto wake wa kiume (Uncle wangu) yupo kidato cha pili akaniuliza hivi...
Umekuwa hauna tofauti na washabiki wa ndondo cup, niishie hapo.
 
Mmawia

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
105,140
2,000
Good evening jamiiforums.

Ndugu zangu, leo nilienda kumtembelea dada yangu mmoja (mtoto wa mama mkubwa) ameolewa eneo la Pugu huku Dar. Sasa wakati tupo tunakula mezani ule muda wa mchana, mtoto wake wa kiume (Uncle wangu) yupo kidato cha pili akaniuliza hivi...
Kweli wewe umepitwa na wakati yaani mkoa uitwe jina la Rais?

Amefanya kipi cha kukumbukwa kiasi hicho?
 
Nyemanze

JF-Expert Member
Sep 13, 2013
2,275
2,000
Good evening jamiiforums.

Ndugu zangu, leo nilienda kumtembelea dada yangu mmoja (mtoto wa mama mkubwa) ameolewa eneo la Pugu huku Dar. Sasa wakati tupo tunakula mezani ule muda wa mchana, mtoto wake wa kiume (Uncle wangu) yupo kidato cha pili akaniuliza hivi...
Mkuu bange uliyovuta leo imechanganywa na kinyesi itakuwa
 
NORTHERNIST

JF-Expert Member
Feb 10, 2021
200
250
Good evening jamiiforums.

Ndugu zangu, leo nilienda kumtembelea dada yangu mmoja (mtoto wa mama mkubwa) ameolewa eneo la Pugu huku Dar. Sasa wakati tupo tunakula mezani ule muda wa mchana, mtoto wake wa kiume (Uncle wangu) yupo kidato cha pili akaniuliza hivi...
Hivi watu wenye mawazo haya wanawaza kwa kutumia nini?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom