mkoa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. mgt software

    JamiiForums Tanzania Wanaotathimini Umaskini Mkoa wa Kagera waongo. Ukikusanya nyumba zote zilizojengwa mwaka 2015-2021 unapata mji wa Arusha

    Wana Jf Nimefanya ziara ya kiutafiti wa sehemu inayoweza kustawisha zao la kibiashara kwa ubora wa juu. Nilishangazwa kukutana na maendeleo yaliyopo mkoa wa kagera. Hususani nyumba za kifahari ambazo ukikusanya unaweza kupata mji wa Arusha. Nlijiuliza kwanini wahaya hawajengi mji. Kumbe wana...
  2. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Je, na Yule aliyemrithisha Roho Mbaya Ole Sabaya kutokea Dar es Salaam naye atakamatwa ili afungwe miaka yake 670 lini?

    Nasikia kwa sasa Mr. Dar es Salaam hataki kabisa kutumia Mitandao ya Kijamii ( japo kuna muda) huwa anaibuka na pia anasoma mara Ujerumani mara Afrika Kusini na hata akiwa Tanzania amekuwa ni Msiri na Mtu wa Kujificha na kuhamahama kama Digidigi na hata wale Malaya wake wa Beach Kidimbwi akina...
  3. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Uzinduzi wa kadi za Chama cha Mapinduzi za kieletroniki mkoa wa Dodoma

    Uzindizi wa kadi za Chama cha Mapinduzi za kieletroniki mkoa wa Dodoma 15 Oct 2021 Katibu Wa NEC Organaizesheni na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Dkt. Maudline Cyrus Castico amezindua Rasmi Kadi za Kieletroniki za Chama Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Dodoma white House...
  4. Kurunzi

    JamiiForums Tanzania Kama wewe unayo Degree na hauna ajira chukuwa vyeti vyako kamuone Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Chap kwa Haraka

    Tupeane fusra, leo nimeamka nimeona tupeane fusra kiroho safi kabisa, wewe kijana unaye hangaika na bahasha kila siku uchwao kutafuta ajira soma hapa. Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Robert Gabriel, amewaomba wasomi wote wenye shahada waliopo mkoani humo, kufika ofisini kwake awasaidie kupata mafunzo...
  5. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Je, tumpongeze aliyesema vijana wengi wa Mkoa wa Dar es Salaam wana Ugonjwa wa akili au tumlaumu?

    Tafadhali mwenye namba ya Simu ya yule Mwananchi Reporter aliyeandika jana kuwa Vijana wengi wa Mkoa wa Dar es Salaam wanaugua Akili / Uwendawazimu anitumie kwani nami nataka Kumpima kama nae zimetimia au zimepungua.
  6. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Lindi: Wakulima wa korosho wagoma kuuza bei ya hasara, Mkuu wa mkoa wasaidie Hawa wakulima

    LEOO NIMEANGALIA WAKULIMA WANAVYOLIA LINDI KUSA M ADA KUJA NA BEI ZA HASARA KABISA KAKUMBUKA .MENGI SANA WANANCHI WA LINDI MMENUFURAHISHA SANA WALIPOFIKA MNADAN WAKAKUTA BEI ZA AJABU WALICHO FANYA N KUGOMA NA KUAIRISHA . MNADA DC NA MKUU WA MKOA NAJUA UNALIJUA HILI NAMANI KUONA UKITOA NENO...
  7. T

    JamiiForums Tanzania Pato la kila Mkoa: Dar es Salaam yazidi kuongoza ikifuatiwa na Mwanza, Njombe na Katavi zashika mkia

    Ofisi ya taifa ya takwimu imetoa pato la kila mkoa nchini Tanzania, mkoa wa Dar es salaam wazidi kuongoza ukifuatiwa na Mwanza. Mikoa ya Katavi na Njombe imeshika mkia kwa kua na pato dogo sana ukilinganisha na mikoa mingine. Kwenye kumi bora kanda ya ziwa imeingiza mikoa 3, Mwanza, Shinyanga...
  8. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Natafuta shamba la kukodi DSM au mkoa wa pwani

    Nahitaji ekari moja au mbili shamba la kukodi kwa ajili ya kilimo kwa maeneo tajwa hapo juu,kuwe na maji ya kumwagilia,
  9. Tajiri Tanzanite

    JamiiForums Tanzania Mkoa wa Arusha machinga wawapiga wenye maduka

    Hapo vip!! Katika pitapita zangu nilishuhudia machinga wakitaka kumchomea moto mfanyabiashara mmoja pale Ngulelo stand. Na ugomvi ulianza baada ya mfanya biashara yule kuwambia waondoe mabanda mbele ya duka lake kwasababu anashindwa kufanya biashara. Hao machinga walimvamia jamaa kama...
  10. Boutafrica

    JamiiForums Tanzania Sufi/sufu inapatikana kwa wingi mkoa gani?

    Kuna Rafiki yangu flan amenipigia simu kutoka Botswana anahitaji Sufi au sufu lile zao linalofanana na pamba. Kiufupi ameniambia anahitaji tone 60 kwa awamu hii ya kwanza then awamu ya pili atahitaji tone 140 december mwaka huu. Tone 1 anainunua kwa Tshs 600,000 na haijalishi upo mkoa gani...
  11. Lole Gwakisa

    JamiiForums Tanzania Wilaya ya Chato inayotaka kuwa Mkoa yawa kinara matumizi mabaya ya fedha za umma

    Pamoja na malalamiko mengi mitandaoni, ya miradi isiyo na tija kwa Taifa huko Chato, ukweli umeanza kudhihiri. Wilaya ya Chato sasa ni rasmi, ni moja ya wilaya zinazoongoza kwa matumizi mabaya ya fedha za umma. CAG ameamrishwa na Waziri wa Fedha Dk Nchemba kufanya uchunguzi wa kina kwa...
  12. ESCORT 1

    JamiiForums Tanzania Maandalizi ya Mkoa mpya wa Chato, Buchosa wakubali kuhamia Geita

    Katika kile kinachoonekana ni maandalizi ya kuanzishwa na kutangazwa kwa mkoa mpya wa Chato, Halmashauri ya Wilaya ya Buchosa wamekubali kuhamia mkoa wa Geita. Wananchi wa Buchosa wamekuwa wakisafiri umbali mrefu kufuata huduma Mwanza wakati wapo karibu na mkoa wa Geita. Inasadikika chini ya...
  13. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Pamoja na kuwa Chato itatangazwa mkoa kwenye kilele cha mbio za Mwenge Oktoba 14, ukweli ni kuwa CCM haiyaenzi mema ya hayati Magufuli

    Kuna masuala kadha wa kadha ambayo yameibuka na kukatisha tamaa wananchi wa kawaida. Tozo ambazo kiuhalisia ni makandamizo kwa wananchi wa kawaida. Wamachinga kuondolewa kimabavu kwenye miji mikubwa na mafisadi kuavhiwa huru kana kwamba hawakuliibia taifa. Haya ni baadhi ya mambo ambayo...
  14. LorenzoA

    JamiiForums Tanzania Nani anamlipia Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Matangazo Mubashara Clouds TV?

    Sote tunakumbuka ya Clouds na report ya CAG kuhusu malipo zaidi ya milioni 600, kwa kisingizio cha kutangaza utalii wa ndani. Leo, kati kati ya huduma mbovu za miundo mbinu ya bara bara, shule, na mahitaji lukuki ya hospitali za umma, kwenye mkoa wa Dar es salaam, mkuu wa mkoa yupo...
  15. F

    JamiiForums Tanzania Uganda kuulipa mkoa wa Kagera fidia ya vita vya Kagera

    Nyanja: Utawala Bora/Mahusiano. (Hili tukio siyo halisi. Majina yametajwa katika mantiki na muktadha wa urithi wa kihistoria ambao unarithishwa vizazi hata vizazi kwa njia ya uandishi) Advocate Dr. Bishagazi Bishanga Bishaija Bashungwa LLB-Udsm, LLM-Uk, LLD-Usa, ameenda Umoja wa Mataifa...
  16. Naipendatz

    JamiiForums Tanzania Sheikh wa Mkoa wa Dar ashangazwa na jinsi watu wanavyojipa Uaskofu hovyo hovyo mitaani

    "Nilikuwa nadhani kupata uaskofu wa kanisa katoliki ni rahisi tu unakwenda Kariakoo ukanunua tu na kuvaa, kumbe uwe askofu unapatikana kwa kazi kwelikweli siyo kitu rahisi. Tunashida kubwa na msiba mkubwa, mitaani mtu anajipa tu uaskofu"-Alhad Mussa Salum
  17. F

    JamiiForums Tanzania Yaundwe Majukwaa ya Wabunge kila Mkoa

    Taswira kwa hisani ya: https://www.google.com/intl/en/permissions/using-product-graphics.html Katika jamii yoyote ile ya binadamu tangu enzi za ujima hata sasa, binadamu wamejiwekea mifumo inayowaongoza katika jamii zao. Ni bahati mbaya sana kwamba siku zote ambazo misuguano ya kimaslahi...
  18. nover

    JamiiForums Tanzania Maduka ya jumla ya vifaa vya umeme kwa mkoa wa Mwanza

    Habari wadau. Nategemea kufungua kibanda cha kuuza vifaa vya umeme maeneo ya Mkuyuni Mwanza hivi karibuni. Kwa mnaojua machimbo ya kupata mzigo wa uhakika kwa bei nafuu naombeni msaada wenu. Asante.
  19. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania Vijana zaidi ya 500 wamekutwa wamehifadhiwa sehemu mbalimbali Mkoa wa Kilimanjaro wakifanya mafunzo yasiyojulikana

    Hawa vijana wana umri, kati ya miaka 18 na miaka 20. Mkuu wa Mkoa amewaagiza,amewaamuru warudi mikoa walikotoka. Swali langu ni kwamba,kwa nini. Radia One wakubali kutangaza habari za namna hii,kwa nini wakubali kutangaza habari kwa staili hii. Mafunzo yasiyojikana ndio mafunzo gani? ----...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa Shinyanga Dr. Sengati Unahujumiwa na Mwenyekiti wa Bodi ya SHIRECU (1984)

    Mh. Mkuu wa Mkoa Shinyanga Dr. Sengati juhudi zako zakuinusulu shule ya BULUBA SEKONDARY zinahujumiwa na Mwenyekiti wa Bodi ya SHIRECU (1984) Bwana KWIYOLECHA NKILIJIWA Tarehe 19.08. 2021 Mh. Mkuu wa Mkoa ulifika Shuleni BULUBA SEKONDARY ukawasikiliza wafanyakazi wote na wakakueleza matatizo yao...
Back
Top Bottom