mkoa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. bagabe

    JamiiForums Tanzania Simiyu: Watu 14 wafariki dunia kwenye ajali katika msafara wa Mkuu wa Mkoa Mwanza

    Watu 14 wamefariki dunia baada ya gari ya waandishi wa habari iliyokuwa kwenye msafara wa Mkuu wa Mkoa wa Mwanza (RC), Robert Gabriel kugongana na gari ya abiria Hiace katika eneo la Nyamikoma wilaya ya Busega Mkoani Simiyu. Mkuu wa Wilaya ya Busega (DC), Gabriel Zakaria amethibitisha kutokea...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Mkoa wa Pwani watoa Mawaziri watano kwenye baraza jipya; ni bahati mbaya au ndiyo tuseme sasa zamu ya watu wa Pwani?

    1. Ridhiwani Kikwete Mbunge wa Chalinze 2. Mchengelwa Mbunge wa Rufiji 3. Jafo Mbunge wa Kisarawe 4. Kipanga Mbunge wa Mafia 5. Juma Ulega Mbunge wa Mkuranga Je, upi mchango wa mkoa wa Pwani kwenye uchumi wa Tanzania? Upi mchango wa Pwani kwenye kura za Uchaguzi Tanzania? Upi mchango wa...
  3. chiembe

    JamiiForums Tanzania Waliokopa hela Benki kujenga ma guest Chato, viwanda, nyumba za kupanga wanahaha, wanahonga wanasiasa ili Chato iwe Mkoa hela irudi

    Wale wawekezaji wa michongo Sasa wanahaha, Chato Ina magesti house mengi saana na yamejengwa kwa mikopo, wengi waliojenga walitarajia mzee angekaa madarakani miaka mingi sana. Kuna makumi ya magesti hayajaisha, mengine yameisha. Sasa yale yalioisha hayana wateja kabisa, yale yaliyokuwa...
  4. init

    JamiiForums Tanzania Uchakavu wa noti uliokithiri katika mkoa wa Iringa na Njombe, je Benki kuu inaweza kuwa na mchango kulikabili hili?

    Awali ya yote nipende kumshukuru yeyote atakaye nusa au kuuweka machoni uzi huu. Nime kuwapo katika mikoa tajwa apo juu kwa vipindi tofauti tofauti. Katika vipindi hivyo vyote nimekuwa shuhuda wa tatizo hilo, noti zinazotumika katika mikoa tajwa zina hali mbaya. Kwa tizama yangu sabubu kuu ya...
  5. Kinyungu

    JamiiForums Tanzania Je utanunua Mkoa gani iwapo Tanzania itauzwa kwa Mnada?

    Tuchukulie kampuni ya McHugh & Co ya London UK wamepewa deal na Bunge la Tanzania waiuze Tanzania yote.......wauze mkoa kwa mkoa hadi nchi yote iishe. Je wewe kama una hela ungenunua mkoa upi?
  6. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Wasanii toka Arusha acheni kujibagua na kupigania mkoa badala ya taifa

    Nawasalimu kwa jina la JMT. Juzi kwenye mkesha wa Christmas, dunia imeshuhudia magwiji wa muziki Nigeria, Wizkid, Davido, na Komredi Burna Boy, wakiungana kufanya show pamoja iliyoandaliwa na Tony Olumelu wa BOA bank. Iliashiria umoja na upendo miongoni mwa wasanii huko Nigeria. Kwa pamoja...
  7. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Je, unadhani huyu Meya wa Manispaa ya Moshi hapa alikuwa anawalenga hasa 'Wageni Wasafiri' kutoka Mkoa gani?

    "Tafadhali mnaotoka Mikoa iliyozoea Uchafu na haina Ustaarabu wa Usafi na Mazingira muwapo hapa Moshi katika Sikukuu hizi za mwisho wa mwaka zingatieni Usafi mlioukuta na kwa wale watakaokaodi na Kuchafua Jiji letu wanaweza Kujikuta January 2022 wanaianzia wakiwa Jela" amesema Meya wa Manispaa...
  8. Frumence M Kyauke

    JamiiForums Tanzania Wazee wa mkoa wa Tanga wapokea fedha kiasi cha 1.3M kwaajili ya tambiko la kuruhusu ujenzi wa barabara

    Wazee wa Kijiji Cha KwaMsisi kilichopo Wilayani Handeni Mkoani Tanga wamekubali kupokea Shilingi Milioni 1 na laki 3 kwaajili ya Kufanya Tambiko katika Ujenzi wa barabara ya afrika mashariki inayopita kijijini hapo Hapo Awali wazee hao walimtaka Mkuu wa Wilaya Hiyo Siriel Nchembe kupewa Tsh...
  9. E

    JamiiForums Tanzania Kamati ya siasa ya chama cha mapinduzi mkoa wa simiyu imeomba serikali kuajiri walimu

    Kamati ya siasa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) mkoa wa Simiyu, imeiomba serikali kuajiri walimu wengi wa kutosha, ili kukabiliana na ongezeko la wanafunzi watakaoanza masomo yao mapema mwakani. Ushauri huo umetolewa na Katibu wa CCM mkoa wa Simiyu Innocent Nazaba, wakati wa ziara ya kamati ya...
  10. T

    JamiiForums Tanzania UTAFITI: Mkoa gani mwezi huu wa December watu wake hurudi sana kwao.?

    Ni kile kipindi cha mwaka ambacho watu hupotea jijini, nafanya kautafiti kadogo kujua mkoa gani watu wake hurudi kwa wingi kushinda mkoa mwingine. Karibuni
  11. K

    JamiiForums Tanzania Katikati hali ya kushangaza na rushwa ilivyokithiri mamlaka za mkoa wa Tabora zadaiwa kuruhusu Kanisa kujengwa katikati ya barabara

    Katika hali ya Kushangaza sana mamlaka za mkoa wa Tabora zimeruhusu kanisa la wahuni kujengwa katikati ya barabara na kuziba barabara katika mtaa wa Kariakoo , kata ya Kitete , wilaya ya Tabora mjini , mkoa wa Tabora . Licha ya kikundi hicho kinachojiita kanisa kutokuwa na kibali cha ujenzi...
  12. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Mtwara: Mkuu wa Mkoa atoa saa 48 za kukamilisha Madarasa 452

    Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Brigedia Jenerali Marco Gaguti ameagiza Halmashauri zote mkoani humo kukamilisha majengo 452 ya madarasa ndani ya saa 48. Madarasa hayo 452 yamejenga na fedha za Uviko-19 na yapo katika hatua ya umaliziaji. Akizungumza Desemba 7, 2021 wakati wa kupokea vyumba vya madarsa...
  13. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Makampuni tumuunge mkono mkuu wa mkoa Dar es Salaam

    Ni ushari wangu binafsi kwa makampuni tumuunge mkono mkuu wetu wa mkoa wa Dar es Salaam katika juhudi zake za kulirudishia jiji letu Hadhi yake, mwenye kuweza kuchangia pavement achangie, mwenye kuweza kuchangia vyuma achangie. Mji wetu unahitaji sana vyuma vya separation kati ya barabara za...
  14. Beah

    JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba inauzwa Kibaha Mjini Maili Moja kwa mkuu wa Mkoa

    Nyumba inauzwa kibaha mailimoja karibu na kwa mkuu wa mkoa nyumba ina hati ina ukubwa wa eneo la 400 sqmtrs (20×20) bei 35,000,000/= (milioni 35) mazungumzo yapo haina udalali mimi ndio mmiliki kwa mawasiliano 0765882717
  15. ommytk

    JamiiForums Tanzania Wenyeviti serikali za mtaa mkoa dsm msaidie mkuu mkoa na serikali kwa jumla kwenye hili la wamachinga wamerudi upay

    tuwaombe wenyeviti serikali za mtaa mkoa dsm wamsaidie mkuu mkuu mkoa dsm pamoja na serikali kwa jumla kwenye hili la wamachinga ni ngumu mkuu mkoa kuzunguka kila mtaa kujua wamachinga ambao wamerudi upya katika maeneo ambayo waliondoka wenyewe kwa hiyari .maeneo ayo yote kuna viongozi wapo na...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Mkoa wa CHATO wazaa mgogoro wa kiutawala, kikabila na kielimu

    Upendeleo Siku zote ufarakanisha watu, walipoanza kujenga uwanja wa ndege na majumba makubwa Chato tulitahadharishwa kwamba Hawa watu wanaelekea kujitenga na kujitengenezea Mamlaka yao. Tulioambiwa tumkemee huyu mtu atavuruga Wananchi tulimsifia kwamba ni mzalendo. Leo aliyokuwa anayafanya...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Wilaya ya Bukoba apingana na wananchi wake, aunga mkono kumegwa kuunda mkoa wa Chato

    Wenyewe wanasemaje? Habari za leo Friends of Bukoba. Hii hapa ni video ya watetezi wa Mkoa wa Kagera zidi ya hujuma za Mkoa wa Chato. Tunawashukuru wote walioshiriki ikiwa ni pamoja na: (1) Mh. Bernedetha Mushashu (Mbunge viti maalum) (2) Mh. Charles Mwijage (Muleba Kaskazini) (3) Mh...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Kwakuwa ukakasi ni kuitwa mkoa wa Chato, basi uitwe mkoa wa Biharamulo

    Ndugu wanajamvi kwa kuwa wahaya wote wanapinga mkoa wa Chato kwa vigezo hapana sifa eti wilaya ni mpya basi mie napendekeza uundwe mkoa wa Biharamulo na maeneo yake iwe wilya ya Ngara, Biharamuo, Chato. Je, Wahaya hili watalikubali? Kama watalikataa basi ina maana hoja ya kusema Chato bado...
  19. mgt software

    JamiiForums Tanzania Kagera kupoteza Billion 53. 4 kwa mwaka mauzo ya dhahabu kama itamegwa na kutengeneza Mkoa wa Chato

    Wana Jf, Kama utabiri ukitokea uenda Kagera ikapoteza fedha nyingi kwa kile tunachokiita upuuzi wa mwombolezaji mmoja toka Chato. Chato imebebwa na Kagera miaka mingi tangia falme mpaka kuwa wilaya kamili. Sasa hawa jamaa wanaleta unazi kuwa kila kiongozi mkuu apewe anachohitaji, kwa njia hii...
  20. The Assassin

    JamiiForums Tanzania Watu wa Muleba hawataki Kumegwa na Mkoa mpya wa Chato

    Tibaijuka anasema yeye kama mtu wa Muleba na watu wote wa Muleba hawataki Kumegwa na watu wa Chato. Wanalalamika kwamba kwa nini wamegwe wao?
Back
Top Bottom