mkoa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Dr Matola PhD

    JamiiForums Tanzania Mkakati wa Chato kuwa mkoa wapingwa rasmi na RCC ya mkoa wa Kagera

    Anaandika Askofu Bagoza PhD. TUNAHITAJI HALMASHAURI NYINGI KULIKO MIKOA NA WILAYA MPYA Kamati ya Maendeleo ya Mkoa wa Kagera (RCC) imemaliza kujadili mapendekezo ya kuundwa kwa Mkoa mpya wa Chato. Wengi wanakataa mapendekezo hayo. Niliwaunga mkono mapema. Natamani Taifa lihitimishe uundwaji...
  2. Kididimo

    JamiiForums Tanzania Rai: Serikali ifanye uchunguzi wa haraka Mkoa wa Kilimanjaro na kuyeyuka theluji mlimani. Yawezekana ni Sabotage

    Joto linalotishia mazingira ya asili ya Mlima Kilimanjaro ni questionable! Ongezeko la joto hadi 40+ kwa siku za karibuni ni kiashiria cha mpasuko mkubwa wa Ozone layer kwa anga linaloambatana na eneo hilo. Kwa uelewa wangu mdogo wa kinachoitwa"global warming" na effects zake siyo regional...
  3. 2

    JamiiForums Tanzania Mwenye kujua ajira za LNG Plant mkoa wa Lindi zinapatikana lini anijuze

    Habarini za asubuhi naombeni kujua huu mradi wa ela nyingi nimesikia umeanzishwa uko LINDI na nadhani utahitaji watu mbalimbali. Naomba kujua nafasi za kazi zinapatikana vipi uko, maana mimi nipo mbali kidogo nipo mkoani KIGOMA huku nilitaka kujua ili nijue naanzia wapi kutafuta kazi huko...
  4. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Profesa Mkumbo ajivua sera ya viwanda 100 kila mkoa

    Picha: Prof. Mkumbo Waziri wa Viwanda na Biashara, Profesa Kitila Mkumbo amesema suala la viwanda 100 kila mkoa siyo mpango wake na halipo kwenye Ilani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM). Hata hivyo amesema kazi kubwa ni kusimamia ujenzi wa viwanda kila mtaa na kuanzisha ukanda maalumu wa viwanda...
  5. Vugu-Vugu

    JamiiForums Tanzania PICHA: Mapokezi haya ya Viongozi wa CCM Taifa Mkoa wa Geita yana maana gani?

    Baada ya Sekretarieti ya CCM-Tanzania inayoongozwa na Katibu Mkuu wa CCM Taifa Crde Daniel Chongolo kuwasili mkoa wa Geita limeibuka Shangwa na mabango kedekede yenye kumpongeza na kumtia moyo Rais Samia Suluhu Hassan, Hii ni tafsiri chanya ya anayoyafanya Rais wetu katika kuliletea Taifa letu...
  6. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania January Makamba, umeme umekatika mkoa wa Kilimanjaro masaa 6 hadi sasa

    January Makamba, eleza watanzania halisi, hakuna umeme Kilimanjaro sasa ni masaa sita tangu ukatike. Usitegemee wananchi waishi gizani wapige kura kuchagua chama Tawala na hakuna wizi wa kura tena . Uswahili ulisahaulika enzi za JK sasa usitegemee uswahili tena.
  7. Hismastersvoice

    JamiiForums Tanzania Ni wazi wamachinga wa Mbagala Rangitatu wamegoma kuhama

    Zile dalili na vurugu walizofanya machinga Mbagala Rangitatu, leo siku ya Jumanne wamedhihirisha kuwa hawako tayari kuhama, wamerudi barabarani kwa kishindo.
  8. Tajiri Tanzanite

    JamiiForums Tanzania Hongera sana RC Arusha pamoja na Rais Samia kushughulikia suala la wamachinga

    Hapo vip!! Panapostahili kupokwezwa tupokeze ila nitaendelea kukosoa panapobidi tena bila kuchoka. Baada ya kuandika kuhusiana na suala la mkoa wa Arusha kugeuka kuwa kichaka kutokana na wamachinga kuzagaa kila mahala. Baada ya siku nne sasa Arusha yang'ara na Arusha yapendeza sasa ile hadhi...
  9. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa Kagera wapinga Mkoa wao kumegwa na kupelekwa Chato

    Wabunge wa Mkoa wa Kagera, Wamepinga kitendo cha kuendelea kuumega Mkoa wa Kagera. Hii imekuja baada ya Kuanzishwa Mchakato wa kufanya Wilaya ya Chato iliyopo Geita kuwa Mkoa. Mkuu wa Mkoa wa Geita, Rosemary Senyamule, alisema Kamati ya Ushauri ya Mkoa wa Geita (RCC) ilipendekeza wilaya tano...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote mkoa wa Arusha

    Habari zenu wana jamvi. Mimi ni kijana wa kiume natokea mkoa wa Arusha. Ninaomba kwa yeyote mwenye connection ya Kazi yoyote halali kwa mkoa wa Arusha tupeane. Elimu yangu in Shahada ya Uhasibu na Nina uzoefu wa miaka 2 kwa nafasi ya uhasibu na miaka 3 kwa nafasi ya Afisa Masoko kwenye kampuni...
  11. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Nyumba iliyojengwa na Bushiri Ali Harthi bado iko Pangani mkoa wa Tanga

    Nyumba ya Bushiri Ali Harthi, iliyojengwa kwa Matumbawe na udongo, bado ina nguvu kama ilivyo, inayopatikana Pangani, mkoani Tanga. Nyumba ina basement, ambapo mazungumzo ya watumwa yamefichwa. Bushiri alipigana vita na Wajerumani (Bushiri Revolt 1888 - 1889) na kushindwa sana, kukamatwa na...
  12. T

    JamiiForums Tanzania Nani yuko nyuma ya mafanikio ya soka Mbeya?

    Nchi yetu imejaliwa kuwa na mikoa takribani 30 kwa sasa, na mfumo wa michezo inayosimamiwa na TFF unahusisha mikoa yote ya Tanzania bara, hata hivyo kuna mikoa ambayo huwezi kusikia ina timu inayoshiriki ligi kuu miaka yote. Ukiacha Dar es Salaam, na timu za taasisi mikoa mingine imekua...
  13. W

    JamiiForums Tanzania Wamachinga ni kabila la watu wa Tanzania wanaoishi katika Mkoa wa Lindi, wilaya za Kilwa na Lindi

    Wamachinga, Wamachinga ni kabila la watu wa Tanzania wanaoishi katika Mkoa wa Lindi, wilaya za Kilwa na Lindi. Lugha yao ni Kimachinga. Inasadikiwa asili ya kabila hili ni kandokando ya ziwa Mkoe, hasa mto Mbwemkuru unapoingia baharini. Wamachinga katika biashara. Kwa kipindi cha karne ya 20...
  14. G

    JamiiForums Tanzania Jukwaa la walimu wanaofanya kwazi mkoa wa kilimanjaro

    habari, nimewaza nikaona uhitaji mkubwa wa walimu wa nje ya mkoa wa kilimanjaro wanaotaka wa kubadilishana nao ndani ya mkoa wa kilimanjaro, na waliopo ndani ya mkoa wa kilimanjaro wanataka kutoka nje ya mkoa wa kilimanjaro. . Kama wewe ni mwalimu au unaukaribu na mwalimu aliepo mkoani...
  15. ommytk

    JamiiForums Tanzania Hongera nyingi sana kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar Amos Makalla, umeweza

    Naomba niungane na wana DSM wengine kumpongeza mkuu mkoa kwakweli umeweza unastahili nishani na pongezi ilikuwa sio kazi nyepesi kurudisha jiji katika hali yake baada jiji kuwa ovyo kabisa. Sasa Dar inawaka Manzese leo unaangusha sindano unaiona kongole kwa timu nzima ya mkoa. Ila ushauri...
  16. Njaa kali30

    JamiiForums Tanzania Afisa Elimu Mkoa wa Songwe na Afisa Elimu Wilaya waache kujifanya Miungu watu

    Habari wakuu za usiku, Kama kawaida naomba nielezee kwa masikitiko makubwa jinsi huyu Afisa Elimu Mkoa wa Songwe anavyojifanya Mungu mtu akishirikiana na Afisa Elimu Wilaya ndugu Bhange. Kwa bahati nzuri nilikuwa kwenye semina ya usimamizi wa mitihani, nikamsikia akimzungumzia mwalimu mmoja...
  17. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kama mnajiuliza ni kwanini kila Mkoa wakienda kucheza Mechi ya Ligi Kuu wanajifanya kutoa Misaada kwa Yatima, Wajane na Wasiojiweza jibu ni hili

    Ni sehemu Kuu ya Agano la 'Kishirikina' kutoka kwa Waganga wao wa Kienyeji ( hasa yule wa kutoka Kigamboni aliyekuwa akimpa Dawa ya Mvuto wa Watanzania wote Mstaafu namba Nne wa Pwani na ambaye pia alimsaidia Kushinda Kesi mbaya ya Bandarini aliyekuwa Boss wa huko mwenye Jina la Ukoo lifananalo...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Biashara United wamekwama tena kifedha. Mkuu wa mkoa yuko wapi?

    Biashara United inakabiliwa na changamoto ya nauli kwenda kwenye mechi ya marudiano na hata pesa za waamuzi ilikuwa changamoto, Yule mkuu wa mkoa Yuko wapi au anahaidi mechi ya Simba
  19. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Hongereni Simba SC kwa 'Kutuheshimisha' Watanzania na Biashara United FC kwa 'Kutung'arisha' wana Mkoa wa Mara (Musoma)

    Hamjatutangaza vibaya Watanzania na Tanzania ya sasa ya Rais Samia kama 'Wendawazimu' wengine ambao Furaha yao na Ubingwa pekee walionao ni Kukusanya Waganga wa Kienyeji nchi nzima, Kukata Kiganja cha Mtoto Mkoani Tanga na kwenda Kuroga eneo hatari la Nungwi kwa Msaada wa Boti ya Taasisi Moja...
  20. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Hongera RC Makalla, hakika vibanda vya Machinga ulikuwa ni uchafu

    Hakika nimepita leo sikuamini. (CBE) Pia mkuu wetu wa mkoa Hapo karibu na ofisi yako zilipo ofisi za TFF ni machinga lakini pameoza
Back
Top Bottom