mkoa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Pamoja na kuwa Chato itatangazwa mkoa kwenye kilele cha mbio za Mwenge Oktoba 14, ukweli ni kuwa CCM haiyaenzi mema ya hayati Magufuli

    Kuna masuala kadha wa kadha ambayo yameibuka na kukatisha tamaa wananchi wa kawaida. Tozo ambazo kiuhalisia ni makandamizo kwa wananchi wa kawaida. Wamachinga kuondolewa kimabavu kwenye miji mikubwa na mafisadi kuavhiwa huru kana kwamba hawakuliibia taifa. Haya ni baadhi ya mambo ambayo...
  2. LorenzoA

    JamiiForums Tanzania Nani anamlipia Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Matangazo Mubashara Clouds TV?

    Sote tunakumbuka ya Clouds na report ya CAG kuhusu malipo zaidi ya milioni 600, kwa kisingizio cha kutangaza utalii wa ndani. Leo, kati kati ya huduma mbovu za miundo mbinu ya bara bara, shule, na mahitaji lukuki ya hospitali za umma, kwenye mkoa wa Dar es salaam, mkuu wa mkoa yupo...
  3. F

    JamiiForums Tanzania Uganda kuulipa mkoa wa Kagera fidia ya vita vya Kagera

    Nyanja: Utawala Bora/Mahusiano. (Hili tukio siyo halisi. Majina yametajwa katika mantiki na muktadha wa urithi wa kihistoria ambao unarithishwa vizazi hata vizazi kwa njia ya uandishi) Advocate Dr. Bishagazi Bishanga Bishaija Bashungwa LLB-Udsm, LLM-Uk, LLD-Usa, ameenda Umoja wa Mataifa...
  4. Naipendatz

    JamiiForums Tanzania Sheikh wa Mkoa wa Dar ashangazwa na jinsi watu wanavyojipa Uaskofu hovyo hovyo mitaani

    "Nilikuwa nadhani kupata uaskofu wa kanisa katoliki ni rahisi tu unakwenda Kariakoo ukanunua tu na kuvaa, kumbe uwe askofu unapatikana kwa kazi kwelikweli siyo kitu rahisi. Tunashida kubwa na msiba mkubwa, mitaani mtu anajipa tu uaskofu"-Alhad Mussa Salum
  5. F

    JamiiForums Tanzania Yaundwe Majukwaa ya Wabunge kila Mkoa

    Taswira kwa hisani ya: https://www.google.com/intl/en/permissions/using-product-graphics.html Katika jamii yoyote ile ya binadamu tangu enzi za ujima hata sasa, binadamu wamejiwekea mifumo inayowaongoza katika jamii zao. Ni bahati mbaya sana kwamba siku zote ambazo misuguano ya kimaslahi...
  6. nover

    JamiiForums Tanzania Maduka ya jumla ya vifaa vya umeme kwa mkoa wa Mwanza

    Habari wadau. Nategemea kufungua kibanda cha kuuza vifaa vya umeme maeneo ya Mkuyuni Mwanza hivi karibuni. Kwa mnaojua machimbo ya kupata mzigo wa uhakika kwa bei nafuu naombeni msaada wenu. Asante.
  7. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania Vijana zaidi ya 500 wamekutwa wamehifadhiwa sehemu mbalimbali Mkoa wa Kilimanjaro wakifanya mafunzo yasiyojulikana

    Hawa vijana wana umri, kati ya miaka 18 na miaka 20. Mkuu wa Mkoa amewaagiza,amewaamuru warudi mikoa walikotoka. Swali langu ni kwamba,kwa nini. Radia One wakubali kutangaza habari za namna hii,kwa nini wakubali kutangaza habari kwa staili hii. Mafunzo yasiyojikana ndio mafunzo gani? ----...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa Shinyanga Dr. Sengati Unahujumiwa na Mwenyekiti wa Bodi ya SHIRECU (1984)

    Mh. Mkuu wa Mkoa Shinyanga Dr. Sengati juhudi zako zakuinusulu shule ya BULUBA SEKONDARY zinahujumiwa na Mwenyekiti wa Bodi ya SHIRECU (1984) Bwana KWIYOLECHA NKILIJIWA Tarehe 19.08. 2021 Mh. Mkuu wa Mkoa ulifika Shuleni BULUBA SEKONDARY ukawasikiliza wafanyakazi wote na wakakueleza matatizo yao...
  9. SAKA25

    JamiiForums Tanzania Majina ya walioitwa kwenye usaili kazi za polisi mkoa wa rukwa

    Kuitwa kwenye usaili Polisi Rukwa
  10. Prof Koboko

    JamiiForums Tanzania Nampeleka RPC mkoa wa Mara Mahakamani

    Kufuatia tamko lake la juzi kuwa makomando ya katiba ni kinyume na sheria kwamba ni haramu, ninapenda kusema sasa tutakutana mahakamani ili aje kutoa kutoa tafsiri hiyo mahakamani mbele ya wanasheria pamoja na hakimu. Hii tabia ikiachwa ikaendelea kwa viongozi wa aina ya huyu RPC kuendelea...
  11. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Bavicha kushiriki Kampeni ya usafi iliyoandaliwa na Mkuu wa Mkoa wa Mara tarehe 4/9/2021

    Baada ya kusikia Bavicha wanafanya kongamano la Katiba mpya mkoani Mara , Mkuu wa Mkoa huo ameleta siasa za kishamba za kutangaza kuwa kesho ni siku ya usafi mkoani humo , na kwamba usafi huo utafanywa na vyombo vya ulinzi na usalama . Hata hivyo Bavicha imetangaza kuunga mkono juhudi za usafi...
  12. kiwatengu

    JamiiForums Tanzania Mkoa wangu wa Kagera tunakwama wapi?

    Wakuu mambo vipi? Mimi ni mzaliwa wa Wilaya ya Misenyi mkoa wa Kagera, Kijiji cha Rusinga! Pia Nsunga ni kwetu. Nimekulia mkoa wa Kilimanjaro so Naifahamu Kagera vizuri na Naifahamu Kilimanjaro vizuri sana. Hoja yangu naileta kutokana na Spika Ndugai jana kutuzodoa wana Kagera kuwa hatuna...
  13. Ramon Abbas

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Shamba kubwa linauzwa, miono chalinze mkoa wa pwani.

    Hili hapa shamba pori. Eka 50 liko miono chalinze pwani. source ya maji ipo 24hrs. Tsh 220,000 kwa ekari moja call 0683011003.
  14. Mchochezi

    JamiiForums Tanzania Hasheem Thabeet yupo zake Dar anacheza ligi ya mkoa

    Mcheza mpira wa kikapu wa Kitanzania, Hasheem Thabeet yupo zake hapa Dar, akicheza ligi ya kikapu ya mkoa maarufu kama Ligi ya RBA. Inaelezwa Hasheem yupo zake ila sio mtu wa kujichanganya sana, kama sio mtu wa Kikapu huwezi kujua kama yupo Bongo. Natamani niendelee kuandika ila niishie hapa...
  15. Mtu Asiyejulikana

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa, tunaomba Walimu waliohusika kumwalika Amber Rutty Shuleni wachukuliwe hatua

    Ni aibu. Mwalimu huyu naye bila hata akili anaonekana kushadadia uwepo wa Msanii huyu mwenye Sifa mbaya ya kusambaza Video yake ya Ngono Kinyume na Maumbile. Inasikitisha sana. Na hata ukimwona vazi alilovaa msanii huyu ni la aibu. Anasimamishwa mbele ya wanafunzi wamwangalie alivyo kama ni...
  16. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Maendeleo: Mkoa wa Dodoma wapokea gawio la Tsh mil 500 lililotokana na Tozo, kujenga vituo vya afya

    Hii ni taarifa aliyoitoa Mkuu wa Mkoa huo, Antony Mtaka alipokuwa anawasilisha taarifa ndani ya vikao vya CCM vilivyofanyika mkoani humo.
  17. O

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa Shinyanga ataifisha Mali ya Wafanyabiashara wa Choroko

    Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Dr Philemon Senguti anakwamisha uwekezaji wa ndani Bunge liliagiza Wakulima wa Dengu kuhuza dengu katika Soko huria ( Free Market) Nje ya Mfumo wa AMCOs lakini cha kusikitisha Mkuu wa Mkoa Senguti anawalazimisha wakulima wa dengu kuhuza dengu AMCOs kwa Tzs 900...
  18. Riz king

    JamiiForums Tanzania Zile kelele za Chato kuwa mkoa zimekomea wapi?

    Kipindi Mh. Magufuli katutoka kulitokea malumbano ya siku kadhaa kuhusu kuifanya wilaya ya Chato kuwa mkoa. Alijitokeza kanjibhai mmoja ambaye ni nshomile wa kule uhayani Prof. Tibaijuka kuponda mkakati huo hadharani bila kuficha chochote. Sasa naona mchakato huo upo kimya mda sasa. Ndugu zangu...
  19. Sigonella Island

    JamiiForums Tanzania Mkoa gani hata ukipewa nyumba na gari hauwezi kuishi?

    Wakuu habari za weekend. Bila shaka ni shwari kabisa, Kuna kitu nimewaza kuhusiana na harakati za utafutaji maisha na utulivu wa familia. Niende kwenye maada husika mi nimebahatika kuishi baadhi ya mikoa hapa TZ bara na visiwani Pemba na Unguja nimeishi zaidi ya miaka 6 huko ukija bara Dar...
  20. Njaa kali30

    JamiiForums Tanzania Maaajabu ya mkoa wa Songwe

    Mkoa wa Songwe ni mojawapo ya mikoa inayopatikana kusini mwa Tanzania. Moa huu ulipatikana baada ya kugawanywa mkoa wa wa mbeya. Maaajabu ya mkoa ni kuwana miundo mibovu ya barabara. Mfano barabara inayotoka Mbalizi kwenda Mkwajuni wakati wa masika huwa haipitiki kabisa kutokana na madaraja...
Back
Top Bottom