Je, tumpongeze aliyesema vijana wengi wa Mkoa wa Dar es Salaam wana Ugonjwa wa akili au tumlaumu?

TADPOLE

JF-Expert Member
Nov 18, 2015
1,557
2,000
Mimi nakubaliana nae maana utakuta hapa Dar kijana mzima anashabikia simba,halafu ni mnazi mkubwa wa nchi ya Rwanda pamoja na kumkubali kupita kiasi Benjamin Netanyahu mpaka sometimes anaweza kumuweka kwenye Dp yake ya WhatsApp au mtandao wowote ule wa kijamii na ukitaka uamini kama wengi ni kweli wanaugua matatizo ya akili utaona kwenye forums mbalimbali ana ID kibao na bingwa wa matusi na kashfa

20211011_170708.jpg
 
kizaizai

JF-Expert Member
Mar 31, 2010
4,298
2,000
Huu uwendawazimu wa vijana wa dsm ndio umefanya dsm inapesa sana ina bata sana na ina wanawake wazuri wengi yaani saiv hata mdada wa 45 years anakula maisha na 20
Miguu na vichwa vya kuku + bia za mafungu + mdada poa(wale wa malipo kwa bao unazopiga) = ?
 
LOTH HEMA

JF-Expert Member
Dec 6, 2015
5,889
2,000
Mzee wa id nyingi umekuja na id iliyokupa umaarufu zaidi ya zingine, mtafiti keshafanya utafiti wake, na utafiti hupingwa kwa utafiti
 
Chance ndoto

JF-Expert Member
Mar 8, 2017
306
500
Miguu na vichwa vya kuku + bia za mafungu + mdada poa(wale wa malipo kwa bao unazopiga) = ?
Kafungue biashara karibu nao utajua is equal to nini?
Kama ni mtu wa starehe kua nao karibu ujue nini maana ya wendawazimu wa kundi hilo.
Mimi naongelea unakuta kijana kajifanya chizi kajitoa akili na degree yake unamkuta anauza nguo tena mtumba.. yaani uwendawazimu hatari.. una pesa.. sasa endeleeni kuwa werevu watu wa mikoani.. tutawapiga bao kila siku.
 
kizaizai

JF-Expert Member
Mar 31, 2010
4,298
2,000
Kafungue biashara karibu nao utajua is equal to nini?
Kama ni mtu wa starehe kua nao karibu ujue nini maana ya wendawazimu wa kundi hilo.
Mimi naongelea unakuta kijana kajifanya chizi kajitoa akili na degree yake unamkuta anauza nguo tena mtumba.. yaani uwendawazimu hatari.. una pesa.. sasa endeleeni kuwa werevu watu wa mikoani.. tutawapiga bao kila siku.
Kuuza mitumba ndio uwendawazimu? Hizo ni dharau. Degeree kitu gani kwa sasa kwa hali halisi ya maisha yalivyo, na huo wala sio uchizi, anajua maana ya kutafuta maana milioni inaanza na shilingi 1. Ulevi na umalaya tena wa kenye Bar na Grocery za mitaani ndio starehe. ?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom