Maduka ya jumla ya vifaa vya umeme kwa mkoa wa Mwanza

nover

JF-Expert Member
Apr 7, 2012
235
174
Habari wadau.

Nategemea kufungua kibanda cha kuuza vifaa vya umeme maeneo ya Mkuyuni Mwanza hivi karibuni.

Kwa mnaojua machimbo ya kupata mzigo wa uhakika kwa bei nafuu naombeni msaada wenu.

Asante.
 
Agiza dar mkuu..wafanyabiashara wa mwanza wana tamaa sana watakupiga sana kwenye bei
 
Kuna wakati na mm nilifanya research ya hii kitu..
Kuna mdau mmoja alinipa namba ya duka kubwa la jumla kariakoo.
Kitenge kkoo- 0715 387 795
 
Napokea Oda kutoka Dubai kwa atakayehitaji electrical devices.
Whatsapp: +971527794329
Karibuni sana.
IMG-20220723-WA0007.jpg
 
Back
Top Bottom