Wamachinga ni kabila la watu wa Tanzania wanaoishi katika Mkoa wa Lindi, wilaya za Kilwa na Lindi

Wazo Kuu

Senior Member
Oct 21, 2018
114
293
Wamachinga,

Wamachinga ni kabila la watu wa Tanzania wanaoishi katika Mkoa wa Lindi, wilaya za Kilwa na Lindi.

Lugha yao ni Kimachinga. Inasadikiwa asili ya kabila hili ni kandokando ya ziwa Mkoe, hasa mto Mbwemkuru unapoingia baharini.

Wamachinga katika biashara. Kwa kipindi cha karne ya 20 na 21 wamekuwa maarufu katika miji mbalimbali kwa kuuza bidhaa, hasa nguo za mitumba, wakiwa wamezishika mikononi wakisaka wateja.

Hali hii imepelekea wafanyabiashara wa namna hiyo wote kuitwa Wamachinga ingawa baada ya muda mfupi mtindo huu wa biashara ulianza kuhusisha watu wa rika na makabila tofauti.

That's factual Neno Wamachinga hawa Wachuuzi imetokana na hio Jamii ya Wamachinga kupewa bidhaa na kuzitembeza.

Story za Marching Guys is Just Stories, ambazo watu wamekuwa wakiambiana mpaka kupelekea watu kuamini
 
That's factual Neno Wamachinga hawa Wachuuzi imetokana na hio Jamii ya Wamachinga kupewa bidhaa na kuzitembeza

Story za Marching Guys is Just Stories, ambazo watu wamekuwa wakiambiana mpaka kupelekea watu kuamini
Leta Utafiti wako hapa

Hatutaki maneno ya kufikirika

Weka tafiti au kitabu hapa kinachoelezea hawa watu wanaozurula na bidhaa wanatoka Lindi

Weka utafiti ambao unaonesha hilo neno halijatoka au kutoholewa toka kiingereza

Maneno ya kuhadithiwa au kusimuliwa ni upuuzi kama upuuzi mwingine

No research no right to Speak

Weka Article hapa yenye huo utafiti

Mtu anayepayuka payuka bila utafiti ni mlevi kama walevi wengine

Tafiti za Machinga zipo nyingi sana weka ambayo wewe unasema wanaozurula na bidhaa au hilo neno linatokana na Machinga wa lindi
 
Nilete utafiti ? Wewe uliza tu watu wa Dar waliokuwepo wakati hili neno linachipukia.., kweli Kizazi hiki mambo yanakwenda Backwards unataka Kitabu na maandiko wakati unaweza kwenda kuuliza tu watu waliokuwepo kipindi hicho.., au unadhani wanaoandika vitabu information huwa wanazitoa wapi ? Tena huenda mtu akiandika kitabu leo kitakuwa ni cha uongo sababu atakuja JF hapa na kukuta qoutes za hapa na pale na kulibeba hili la marching guys na kulifanya kwamba ndio ukweli
Weka utafiti ambao unaonesha hilo neno halijatoka au kutoholewa toka kiingereza
Ni rahisi sana lingetoka kwa waingereza na wenyewe wangelitumia kwenye street hawkers.., ila utaona kwamba huu sio mwanzo wa watu kuita tasnia fulani kwa jina la watu wengi wanaofanya shughuli hio

Magomeni kwa Wahaya
Wasuma matorori - Wakara
Ombaomba - Wagogo
Washamba - Wasukuma
n.k.
Maneno ya kuhadithiwa au kusimuliwa ni upuuzi kama upuuzi mwingine

No research no right to Speak
Hivi ukiwepo wakati mambo yanafanyika unahitaji kufanya research ? , ningeelewa sana kama haya mambo yangefanyika enzi zama za kale ila ni kipindi cha uhai wako.., jaribu ku-question vitu na sio kuvimeza tu..., lingetokana na neno marching guys na huko lilipotoka lingekuwa limetumika..., hali kadhalika wanachofanya machinga / chinga ni walking na sio marching basi wangeitwa walking guys
Weka Article hapa yenye huo utafiti

Mtu anayepayuka payuka bila utafiti ni mlevi kama walevi wengine

Tafiti za Machinga zipo nyingi sana weka ambayo wewe unasema wanaozurula na bidhaa au hilo neno linatokana na Machinga wa lindi
Article ? Tanzania ni wangapi wanaandika article na article information inatoka wapi kama sio kwa watu wa kawaida..., sasa wale wenye uzoefu wa kuandika article lete hapa article ambapo street hawkers, peddlars na cold callers wanaitwa marching guys...

Ingekuwa limetoka huko kama ilivyo mfano wa Boda boda kutoka Kampala Boarder to Boarder basi hata huko lilipotoka lingekuwa linatumika
 
Nilete utafiti ? Wewe uliza tu watu wa Dar waliokuwepo wakati hili neno linachipukia.., kweli Kizazi hiki mambo yanakwenda Backwards unataka Kitabu na maandiko wakati unaweza kwenda kuuliza tu watu waliokuwepo kipindi hicho.., au unadhani wanaoandika vitabu information huwa wanazitoa wapi ? Tena huenda mtu akiandika kitabu leo kitakuwa ni cha uongo sababu atakuja JF hapa na kukuta qoutes za hapa na pale na
Umeshindwa Kuthibitisha kauli yako, Kama huna tafiti kwanini unakuja kuandika utumbo hapa JF

Wenzako wanaotetea kuwa limetoka kwenye neno la Kiingereza waliweka article hapo utafiti toka Uongozi Institute wakishirikiana na wafadhili wa uongozi

Wewe huna unalojua bali unasimuliwa

Leta utafiti hapa JF au Article au Kitabu kinachosema wamachinga wanaoudha bidhaa kwa kuzurula wametoka lindi

Mpaka sasa umeshindwa kuleta utafiti, Kama huna tafiti kaa kimya
 
Kweli tunahitaji kufanyiwa Emancipation from Mental Slavery yaani neno ambalo limetokea ndani ya generation yako mwenyewe unataka mpaka uandikiwe article ndio ili uamini?

Unasema uthibitisho nakwambia kaulize watu waliokuwepo kipindi hicho cha Mzee Ruksa wakati hili neno linashika nguvu... huitaji kuambiwa na watu jambo ambalo limetokea ndani ya generation yako. Hivi unaongelea articles au nikwambie ni myths ngapi ambazo zipo accredited kwa vitu na kwenye vitabu na kumbe ni uongo ambao unakuwa qouted again and again...

Kwahio kama neno limetokea sehemu fulani, kwanini huko halitumiki, (yaani wabongo they master the language kiasi kwamba wakaona hao jamaa wanachofanya ni marching) kwahio wakawaita marching guys na it just happen as a coincidence kwamba wengi wao ni Machinga, alafu cha ajabu zaidi wenyewe ambao tumetoa hilo neno kwao hawalitumii kwa watu ambao ni kama sisi
 
Kweli tunahitaji kufanyiwa Emancipation from Mental Slavery yaani neno ambalo limetokea ndani ya generation yako mwenyewe unataka mpaka uandikiwe article ndio ili uamini ?
Kwa kuwa huna tafiti unaongea mambo kwa kusikia bila ushahidi
Nakusaidia Nenda Taasisi ya kiswahili ya chuo kikuu cha Dar es Salaam utaambiwa hilo neno wamelitohoa toka lugha ipi?
 
Kwahio sababu source ni Taasisi ya Kiswahili Chuo Kikuu ndio tuimeze hata kama logic inakwambia to the contrary ?

Kama nilivyokwambia huenda hio Taasisi ndio mwanzo wa upotoshaji sababu qoutes nyingi kila mtu akizitoa anazitoa hapo..., Jiulize au kama ulikuwa haupo uliza watu waliokuwepo Dar miaka ya 80's watembeza bidhaa hizi majority walikuwa wanatoka wapi...

Common sense itakwambia hili kutoa hili Neno kwenye lugha ya Kingereza either lingekuwa linatumika huko kwa watu kama hao / au nchi inayolitumia ingekuwa ina-master hio lugha au inaitumia sana..., Ukizingatia wengi waliofanya hio Kazi walikuwa wanatokea hilo eneo logic tells you neno chimbuko lake litakuwa hilo (kama ilivyo tabia ya Watanzania kubatia tabia fulani kulingana na Jamii inayolifanya sana)..., Nikuongezee Mchagga na Pesa....
 
That's factual Neno Wamachinga hawa Wachuuzi imetokana na hio Jamii ya Wamachinga kupewa bidhaa na kuzitembeza...

Story za Marching Guys is Just Stories..... ambazo watu wamekuwa wakiambiana mpaka kupelekea watu kuamini
Mimi nilidhani marching niggers ndio neno machinga lilitokea huko Marekani wamarekani weusi walikuwa wanazurura na bidhaa mikononi wakiuza
 
Mimi nilidhani matching niggers ndio neno machinga lilitokea huko Marekani wamarekani weusi walikuwa wanazurura na bidhaa mikononi wakiuza
Naam States kuna watu walikuwa / wanauza bidhaa kwenye buti zao za magari n.k. Hao wapo ulimwengu mzima ila sidhani kama hao wadau wanawaita marching niggers; nimejaribu ku-search the only similarity nimeona kuna wimbo match niggers na that has nothing to do with marching wala kuuza bali match that...

Unajua haya mambo wewe unaweza ukatoa tamko likawa qouted so many time mwisho wa siku ndio likawa ni sawa ingawa huenda makosa yako yanaendeleza upotoshaji.. Mifano ni mingi sana katika misconception kwenye maandiko...

Ila hili sababu limetokea tu hapa 80s na wengi waliofanya hizi kazi walikuwa ni watu Chinga (Wamachinga) it makes sense watu walitumia walipotoka kuhusisha wanachofanya kuliko kutumia lugha wasioijua wala neno lisilotumika pengine popote kwa watu wanaofanya kile wanchokifanya
 
1980. Unafahamu Lindi na Mtwara ilikuwa mikoa imetengwa kama Baghdad vile, Huko ukipangiwa kazi ilikuwa mikoa ya adhabu, Hakukuwa na Biashara huko wala hata dalili, Ni Maduka ya ujamaa tu

Ukifika huko wenzako wanakuuliza umeharibu kitu gani huko?

Huko kulikuwa hakuna mawasiliano, Chakula shida, Hata ukiwa na pesa huna cha kununua

Nyama na mchele vilitoka Dsm, Sijui kama unaelewa au unaongea tu

Mwinyi amekuwa Rais mwaka 1985 akaanzisha sera za mageuzi, Lakini lindi na Mtwara hizo sera za Mwinyi hazikuathiri kitu kwa muda wote wa Mwinyi mpaka 1995

Sera za Mkapa ndio kidogo zikagusa lindi na Mtwara From 1996

Hilo kabila mpaka Leo hawajui Biashara, Wamakonde wanajitahidi sana

Hilo kabila hawafiki hata watu 40,000.Mpaka Leo hawafanyi biashara yeyote ile ni wakulima, Wengi wafanyabiashara ni Wamakonde ambao wapo sana Mbagala

Mbagala kumejaa Wamakonde wachuuzi na watu wanapenda kuwatania Chinga boy

Mtu anaetokea Mtwara na Lindi huwa wanataniwa na watu kuwa ni Chinga boy, Watu wanawaona kama washamba fulani hivi hasa wakiwa wanaingia Mbagala stand toka huko lindi na Mtwara

Wamachinga wa Lindi hata kuoga wanaona Taabu, Mpaka Leo hii, Hivyo hata Wamakonde watu wanawajumuisha kama Chinga boys

Neno Machinga limetoholewa toka kwenye lugha ya kiingereza kwa mujibu wa Uongozi Institute na taarifa za ithibati ya maneno toka Baraza la kiswahili Tanzania (BAKITA)

Taarifa ya BAKITA na machapisho mbalimbali wanaelezea maana ya Machinga kama wafanyabiashara wanazunguka bila kupanga bidhaa, Na neno hilo limetoholewa toka lugha ya kiingereza

Sasa wewe umejigeuza BAKITA mdogo usietambulika wa kutafuta habari za kusikia na kusimuliwa
 
Umeleta story nyingi saana utafikiri tunaongelea kipindi cha zama za mawe..., 80's hapo sio mbali nenda kaulize ni watu gani walikuwa wanapewa bidhaa na wahindi n.k. kwa mali kauli na kutembeza mtaani kama sio hawa watu wa Kusini (Machinga) baada ya bidhaa nyingi kuanza kuingia na watu kumiminika kwa wingi Dar kujitafutia Kipato....

Kipindi cha Ruksa sio mbali ulizia waliokuwepo, na hawa ndio waliolitumia hili neno na kulianzisha sio BAKITA ingawa hii misconception ipo sana kwamba eti marching guy ni machinga sababu wanatembea..., sijui kutembea na ku-March wapi na wapi ? Sijui motive behind ya BAKITA kupindisha huu ukweli labda ni political correctness...

Tupende kuhoji na kuuliza sio kumeza kila tunacholishwa..., Hapa tungekuwa tunaongelea issue ya zama za kale hapo sawa ila haya tunayoongelea yametokea watu tukiwepo...

Nimekupa mfano hai miaka ya nyuma wasukuma matorori wote walikuwa wanaitwa wakara / mkara haijalishi ukubwa wa Kabila au Udogo..., Watanganyika wana tabia ya kubatiza jina Kabila fulani kutokana na shughuli wanazofanya....
 
Lete Tafiti na Machapisho hapa JF

Mkuu Lete Tafiti au Article hapa JF

Umeshindwa kuleta tafiti hapa JF

Wewe ni muongo, Huna Hakika bali unasikiliza simulizi na hadithi

Tunaongelea Mambo ya Mkwawa Chief au Mirambo Chief sio kwa kuhadithiwa au kusimuliwa bali tu nasoma machapisho na Tafiti zao zilizohifadhiwa sio hadithi

Tunaongelea Chanzo cha kanisa la St Joseph Cathedral pale Posta kwa kusoma machapisho na tafiti, Hatusimuliwi story au hadithi

Story na hadithi ni nyingi sana hata Baba au Mama yako anaweza sema Yeye ndie alileta uhuru Tanganyika, Mimi siwezi amini bila tafiti au machapisho kadhaa

Hata wewe unaweza sema ulianzisha chama cha Chadema, Mimi siwezi kuamini bila tafiti au articles hapa kadhaa

Bila tafiti au Article hakuna hoja utakubaliwa hapa JF

Tafiti inapingwa kwa tafiti

Leta Tafiti yako hapa JF

Huna tafiti wewe ni muongo
 
Kwahio tafiti ambazo zilisema kwamba Africans are inferior compared to Caucasians tungeendelea kuziamini tu sababu zipo kwenye maandiko; ukiona maandiko mengi yanaqoute sehemu moja chipuko la marching guys kutoka lugha ya kingereza ajabu ni kwamba huko tulikotoa hilo neno kuna watu kama hawa wala hawajawahi kuitwa kwa jina hilo; mbili machinga they don't march..., they walk..., Tatu hili unaweza ukadhibitisha mwenyewe watu walioanza kufanya hii kazi kwa wingi walikuwa wanatokea sehemu zipi kama sio huko kusini..., kama vile tu omba omba wengi walivyokuwa wagogo....
 
Hapa JF tunachohitaji ni uhakika wa mambo sio hadithi au mambo ya kusikia

Credible Source of Information ndio tunahitaji hapa JF

Mambo ya kusikia yanapotosha Jamii

Leta Tafiti hapa JF au Lete Chapisho au Article inyothibitisha maneno yako,

Mimi nitakuwa wa kwanza kuwapinga BAKITA, Uongozi Institute, Chuo kikuu cha udsm taasisi ya Kiswahili na nitawapelekea tafiti au Article hiyo

Mkuu Mkono mtupu haulambwi, Huna tafiti au Article haueleweki mbele ya watu wanaojitambua

Hata Leo ukisema Magufuli Mbaya tunahitaji ushahidi wa Chapisho au Article wa ubaya wake na uzuri wake

Mfano:Ubaya wa Magufuli umeandikwa kwenye article Ndefu aliyoitoa Tundu Lissu kwenye Public pamoja na Hotuba ya Freeman Mboweb mara tu baada ya kifo cha JPM. Hiyo article ipo kwa aliyoyaeleza na alihojiwa na vyombo vya habari vya KTN Kenya pamoja na Aljazeera juu ya uhakika wa article yake

Huwezi mpinga Tundu Lisu bila kuja na ushahidi wako au Article, Risala ya Jakaya Kikwete ambayo ipo public wakati wa mazishi ya JPM alielezea uzuri wa JPM na Risala ipo

Hivyo ubishi wetu unatakiwa uwe kwenye Risala ya Kikwete ambayo ipo public na itadumu vs Article YA Tundu lissu na Mbowe ambayo ipo Public

Hizo report za Kikwete, Tundu lissu na Mbowe ndio inabidi ziwe reference kwa wewe na Mimi kujibishana kuhusu JPM plus article zingine

Huwezi ongea ongea mambo kwa hisia au kuhadithiwa, Hata ukiambiwa leta ushahidi Mahakamani huna cha kutoa

Mahakamani hakuna kuhadithiwa au kusikia mambo, Leta ushahidi hapa JF

Mtu anayeongea gizani au ameficha utafiti wake au Article yake hana nguvu juu ya article zilizopo Public

Unamfaham Mohamed Said? hapa JF huwa anakuja na Article na Tafiti na tunampinga kwa tafiti na article,

Akija na story anaambiwa live hiyo ni story yako binafsi
 
Tafiti yangu ni logic na watu tuliokuwepo kipindi hicho miaka ya kipindi cha Mzee Ruksa sio zamani hata wewe ukiacha kuwa blinded na one sided ukaamua tu kwenda kuuliza watu waliokuwepo kipindi hicho wengi wa hawa watembeza mizigo waliokuwa wanapewa mizigo ya mali kauli na wenye maduka utaambiwa walikuwa watu wa kusini na waliitwa machinga kutokana na walikotoka hata kama wengine walikuwa wamakonde n.k., au hakuna kabila linaloitwa machinga ila watu wa huko walijulikana hivyo....

Hakuna utafiti zaidi ya kusikia from the horses mouth... hata unaosema wameandikia utafiti wao wamesikia toka sehemu na sometimes you can never tell how bias they are au kama their thesis do not add up watu hatuwezi kumeza tu sababu ni BAKITA au UDSM
Hata Leo ukisema Magufuli Mbaya tunahitaji ushahidi wa Chapisho au Article wa ubaya wake na uzuri wake

Mfano:Ubaya wa Magufuli umeandikwa kwenye article Ndefu aliyoitoa Tundu Lissu kwenye Public pamoja na Hotuba ya Freeman Mboweb mara tu baada ya kifo cha JPM. Hiyo article ipo kwa aliyoyaeleza na alihojiwa na vyombo vya habari vya KTN Kenya pamoja na Aljazeera juu ya uhakika wa article yake
Ubaya au uzuri hauendi na machapisho pekee, wala source moja peke yake mtu anaweza akatoa tuhuma kutokana na chuki binafsi kwahio ndio maana hata kama kuna article au mtu amesema lazima kilichosemwa kiweze kuchujwa na sources mbalimbali kuulizwa..., na pamoja na hayo kinachosemwa kimefanyika lazima kichunguzwe na real time events kuona kama logically ina make sense..., sio sababu fulani kasema ichukuliwe kama msaafu....
Huwezi mpinga Tundu Lisu bila kuja na ushahidi wako au Article, Risala ya Jakaya Kikwete ambayo ipo public wakati wa mazishi ya JPM alielezea uzuri wa JPM na Risala ipo

Hivyo ubishi wetu unatakiwa uwe kwenye Risala ya Kikwete ambayo ipo public na itadumu vs Article YA Tundu lissu na Mbowe ambayo ipo Public

Hizo report za Kikwete, Tundu lissu na Mbowe ndio inabidi ziwe reference kwa wewe na Mimi kujibishana kuhusu JPM plus article zingine
Kwahio according to you wanaomjua Magufuli ni Tundu Lissu na JK Pekee, sio watu waliokua nae, waliyeishi nae na wengine wandani wake (au unaongelea from public eye) Uzuri au Ubaya wa JPM unaweza kuongelewa na wale waliopatwa na mazuri au mabaya yake.., na kila mwananchi ambaye policies zake aliziona zinafaa au hazifai kulingana na mlengo wake huwezi kumwambia amsikilize JK au Tundu Lissu kuhusu ubaya au uzuri wake..., huko ni kuazima fikra zako na akili zako ili wengine wakuchambulie kwa niaba yako....

Kila mtu mwenye kujua kusoma anaweza kusoma hizo Articles na kuona kwamba huenda something does not add up..., mfano mdogo tu Kitabu cha Mkapa alivyosema uuzaji na ubinafsishaji wa vitu ulikuwa na Baraka za Mwalimu (ila mtu yoyote aliyemjua Mwalimu angejua fika kwamba Asingekubaliana na hizo Sera)
Huwezi ongea ongea mambo kwa hisia au kuhadithiwa, Hata ukiambiwa leta ushahidi Mahakamani huna cha kutoa

Mahakamani hakuna kuhadithiwa au kusikia mambo, Leta ushahidi hapa JF

Mtu anayeongea gizani au ameficha utafiti wake au Article yake hana nguvu juu ya article zilizopo Public

Unamfaham Mohamed Said? hapa JF huwa anakuja na Article na Tafiti na tunampinga kwa tafiti na article,

Akija na story anaambiwa live hiyo ni story yako binafsi
Ndio maana nikasema acha uvivu miaka ya 80 sio miaka ya 47 nenda kaulize hawa watembeza mizigo wengi walikuwa wanatokea maeneo ya wapi..., wewe ndio wale unaona kabisa mvua inanyesha alafu unabisha mpaka uambiwe hio ni mvua...

Kwahio ili twende sambamba nijibu kwanza..., unakubaliana na mimi wengi wa waliokuwa wanapewa hizi bidhaa kwa mali kauli ili watembeze walikuwa watu wa kusini ambao watu waliita Machinga (au na hilo unakataa)

Pili Unasema hilo neno marching guys lilitokea katika lugha ya Kingereza, je tulichukua hilo jina huko sisi ndio tukaanza kuwaita hawa watu hivyo au na wenyewe walikuwa wanalitumia kwa watu kama hao?

Kama mtu akileta article yake ni rahisi sana hata kama mtu ulikuwa haupo kuona kwamba something is illogical...

By the way huyo Mzee Said Mohamed Said huenda akakusaidia sababu alikuwa Dar na ni mtu wa Dar kutoa jibu hawa watembeza mizigo hapo mwanzo kama wengi wao walikuwa hawatokei huko Kusini na hivyo watu kuwaita Machinga na kupelekea tasnia mzima ya wafanya hizi kazi kuitwa Machinga
 
Back
Top Bottom