Biashara United wamekwama tena kifedha. Mkuu wa mkoa yuko wapi?

BIASHARA UNITED NI TIMU KUBWA YENYE WACHEZAJI WAZURI,NINGELIKUWA NA UWEZO NINGELIINUNUA ISAIDIWE HARAKA HATA KWA HARAMBEE,AU CHADEMA IINUNUE TWENDE NAYO KWA HARAMBEE**kuliko kukichangia chama mfu
 
Biashara United inakabiliwa na changamoto ya nauli kwenda kwenye mechi ya marudiano na hata pesa za waamuzi ilikuwa changamoto, Yule mkuu wa mkoa Yuko wapi au anahaidi mechi ya Simba
Zile Hela ziliahidiwa na RC Hapi ila zikiwa zinatokea Mfukoni mwa GSM na asikudanganye Mtu Hela ya Rais Samia ( ya Hazina Serikalini ) haichezewi hivyo na Mtu kama Ally Hapi anajua fika kuwa Bi. Hangaya hamkubali na anamtafutia tu Kosa ili nae 'amlime' kama alivyofanya kwa Yule wa Mbeya kisha akahamishiwa Mwanza ambaye alikuwa 'akimvizia' Siku nyingi tu kwakuwa nae alikuwa ni 'Team Mkemia wa COET UDSM' aliyeondoka ghafla Ulimwenguni.
 
Efm walimuuliza kuhusu kuisaidia biashara akadai hawezi kutoa pesa za mshahara wake tayari keshajiumbua ile ahadi haikuwa yake Bali gsm ila ushabiki wake maandazi kwa biashara unaweza kuiharibu timu badala ya kuisaidia
 
Naona mashabiki maandazi wa Simba na Yanga mmegeuka haters wa Biashara.

Wote 🖕🖕🖕🖕
 
Kutupa Jongoo Na Mti Wake Ndiyo Huko

Yaani Wale Wababaifu Ndiyo Hawapo, Hata Maji Hawatoi
 
Klabu sio mali ya serikali, TFF majukumu yao ya msingi ni kusimamia mpira ,Chaguzi za wanachama wake,na Maendeleo ya Timu za Taifa tu, Viongozi wa Biashara moja ya majukumu yao ni kuitafutia club mapato ndani na nje ya uwanja kwa sponsorship.....Watajijua wenyewe.
Hivi TFF au Serikali haiwezi kuwasaidia? Au hadi wakifuzu ndio tuitafute TBC tuwaonyeshe kwenye TV?
 
Back
Top Bottom