mkoa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    JamiiForums Tanzania Maua yangu kwa Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Queen Cuthbert Sendiga, apige kazi

    Kipindi Chama cha Alliance for Democratic Change (ADC) kinamuunga mkono na kumuita Mgombea wake wa nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Queen Cuthbert Sendiga akitambulika pia kwa jina la ‘Mama wa Taifa’, kuna baadhi ya Watanzania hawakuelewa dhana ya chama hicho. Moja kati ya...
  2. G

    JamiiForums Tanzania Huu Mjengo wa Boniface Jacob ni kwa kuuza mayai? Mbona watu kibao wa mkoa wa Mara ni wakongwe tunasikia wana maisha ya kawaida?

    Siwezi kuliita kasri lakini itoshe kusema kijana angalau kajenga nyumba nzuri. Mayai naona ni zuga tu, watu kibao wa Mkoa wa Mara wanaoishi Dar wanapiga hii business ila wana maisha ya kawaida.
  3. JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa wa Tabora apewa tano na Rais Samia

    DAR ES SALAAM: Rais Samia Suluhu Hassan amesema utendaji mzuri wa Mkuu wa Mkoa wa Tabora Paul Chacha ndio sababu iliyompa nafasi ya kuaminiwa zaidi na kupandishwa cheo. Mkuu huyo wa nchi ametoa kauli hiyo wakati wa hafla ya uapisho wa viongozi walioteuliwa hivi karibuni uliofanyika Ikulu Dar es...
  4. JamiiForums Tanzania Serikali ituonee huruma wananchi mkoa wa Arusha katika masuala ya uhifadhi

    Habari za Alfajiri Watanzania wenzangu. Bila shaka kila mmoja wetu ni shahidi kwamba Mkoa wa Arusha umekuwa ni HOST wa uhifadhi hapa nchini hasa unaohusisha Wanyama Pori. Na hili sio automatic. Sababu kubwa ni nature ya watu wa asili wa mkoa wa Arusha kutokuwa adui kwa Wanyama Pori kwa maana...
  5. S

    JamiiForums Tanzania 2030 nikiwa rais, kila mkoa utakuwa na wabunge 2 tu. MaRC, maDC na maDED kukatwa

    Panapo majaliwa 2030 nitatimiza miaka 40 umri amabao utaniruhusu kugombea urais. Nikiukwaa urais nitafanya mabadiliko makubwa ya muundo wa serikali na sera zake. Ili kuyapata mabadiliko haya nitaunda jopo la wataalamu 16 (8 toka Zanzibar na 8 toka Tanganyika) litakaloandika katiba mpya kwa...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Waziri Bashungwa: Serikali imejipanga kufungua mkoa wa Lindi kwa kuboresha miundombinu

    SERIKALI IMEJIPANGA KUFUNGUA MKOA WA LINDI KWA KUBORESHA MIUNDOMBINU: WAZIRI BASHUNGWA Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa, ameeleza kuwa Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan imejipanga kikamilifu kuboresha na kufungua mawasiliano ya barabara na madaraja...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Afisa Mfawidhi LATRA mkoa wa Arusha Michael John wananchi wa King'ori na Kikatiti wanateseka mabasi yanaishia Maji ya Chai

    Tumesema mara nyingi kuwa kuna haya mabasi yanaitwa Covid-19 yamesajiliwa na serikali kupitia LATRA kufanya safari zake kutokea maeneo ya Oldonyosambu, Ngaramtoni, Monduli, Kisongo, Morombo, Intel, Mapambazuko kupitia Stand ndogo Arusha mjini kwenda Kikatiti na King'ori. Ukweli ni kwamba hakuna...
  8. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge Martha Mariki atoa mashuka 100 katika Hospitali ya Rufaa Mkoa wa Katavi

    Mbunge Martha Mariki Atoa Mashuka 100 Katika Hospitali ya Rufaa Mkoa wa Katavi MBUNGE wa Viti Maalumu Mkoa wa Katavi, Mhe. Martha Mariki kupitia Chama cha Mapinduzi [CCM] Mkoa wa Katavi ametoa Shuka 100 kwaajili ya kuwasidia wagojwa katika Hospitali ya Rufaa Mkoa wa Katavi na Vituo vya afya...
  9. JamiiForums Tanzania Bashungwa amsimamisha Meneja wa TANROADS - Lindi, akuta mtaalam wa Falsafa na Wananchi wakisimamia ujenzi

    Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amemsimamisha kazi Meneja wa TANROADS Mkoa wa Lindi, Eng. Andrea Kasamwa kwa kushindwa kusimamia urejeshwaji wa miundombinu ya barabara na madaraja katika Wilaya ya Liwale Mkoani Lindi na kupelekea barabara kuu zinanounganisha wilaya hiyo na maeneo mengine...
  10. JamiiForums Tanzania Kwanini mkoa wa Njombe una vilima vingi?

    Nimeishi Mwanza! Nimefika Chunya mkoani Mbeya. Nimeshafika Iringa. Zanzibar napafahamu. Nimefika na maeneo mengineyo ya Tanzania. Ni mikoa miwili tu ndiyo bado sijafika: Mtwara na Lindi. Japo nimeona vilima na miinuko maeneo mbalimbali ya Tanzania, sidhani kama kama kuna inayofikia ya...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Ipi ni Shule Bora ya girls advance mkoa wa Dodoma

    Viongozi naombeni mnisaidie kujuwa Shule ipi ya girls ni Bora kweny ufaulu ya advance combination HGE au HGL. Location Dodoma:
  12. JamiiForums Tanzania KERO Hali mbaya ya huduma Hospitali ya mkoa Temeke

    Hali ya huduma Hospitali ya Mkoa Temeke ni mbaya sana Nimekuja na mgonjwa ni zaidi ya dakika arobaini hakuna huduma yoyote, vyumba vya madaktari viko wazi, Waliopo wanadai kila mmoja sio zamu yake. Wagonjwa tuliopo hapa hata hatuwaelewi, wengine hawajui wanasaidiwa na nani na...
  13. JamiiForums Tanzania Kwa online business mkoa wa Mbeya una watu Smart sana sio washamba kama Mwanza

    Hua nafanya online business hasa ya electronics kama simu, computer,na laptops before nilikua nafanyia mwanza nikahamia mbeya tangu January Biashara mwanza ilikua ngumuh Sana wateja pasua kichwa mwanza Ina watu wengi na Kundi kubwa la watu wanakaushamba Flani Ivi laiti mwanza ingetambua...
  14. JamiiForums Tanzania Kwanini mnapenda kuujumu mkoa wa Kagera?

    Katika takwimu zote za miaka yote ya makusanyo ya TRA, mkoa wa kagera ni miongoni mwa mikoa iliyojuu katika kuchangia pato la taifa. Kwa report ya hivi karibuni ya TRA, mkoa wa Kagera katika uchangiaji wa pato la taifa imeshika nafasi ya 9. Sasa linapokuja suala la kugawanya pato la taifa kwa...
  15. JamiiForums Tanzania TANZIA Mwenyekiti wa CCM Tabora Hassan Wakasuvi afariki dunia akiwa ofisini

    Hassan Wakasuvi enzi za uhai wake Chama Cha Mapinduzi (CCM), kimepokea kwa masikitiko na huzuni kubwa taarifa ya kifo cha Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Tabora na Mjumbe wa Kamati Kuu Ndugu Hassan Wakasuvi kilichotokea Leo tarehe 22 Februari, 2024 Mkoani Tabora. Chama Cha Mapinduzi kitamkumbuka...
  16. JamiiForums Tanzania Mkuu wa mkoa Chalamila umekuwa mchekeshaji

    Sija bahatika kuwa maeneo ya kwako ukishika nyazifa za mikoa kama mkuu wa mkoa. Ila kuna muda umekuwa stand up comedy kuliko uongozi yako. Mtu ukishakuwa kwenye steji ya kuwaongoza watu sio kila mda unatoa meneno ambayo utafakari maana mda wote watu wanataka kukusikiliza na hatma yao. Ili...
  17. JamiiForums Tanzania Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Mbeya yatoa ufafanuzi madai ya kukosekana kwa Mashine ya Kuchomea Taka

    Akizungumza na Jamii Forums, Afisa Mawasiliano na Uhusiano wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Mbeya, Agrey Layson Mwaijande amesema: Tuna mashine mbili, moja ya mafuta na nyingine ya umeme, kupata hitilafu ni vitu vya kawaida, faida yetu ni kuwa ikiharibika moja tunatumia nyingine. Hivyo...
  18. JamiiForums Tanzania Ukiwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam wewe ni kuwa vuvuzela la siasa, kazi yako kubwa ni 'kutrend'

    Kiukweli sifa za kuwa mkuu wa mkoa zimebadilika sana hususani kwa Dar es Salaam. Yaani mkuu wa mkoa an amajukumu kuliko hata Meya, Mkurugenzi na wengine ambao wapo kwa ajili ya majukumu yao. Imekuwa sifa siku hizi kuwa trend sana mpaka ukiwauliza watoto wadogo kuwa kazi za wakuu wa mikoa...
  19. JamiiForums Tanzania Mbeya: Mkuu wa Mkoa feki akamatwa akisilikiza kero za Wananchi

    Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Juma Homera anatakiwa awe Mkoani kwake Mbeya. Lakini yeye miezi kadhaa yupo Mkoa wa Jirani huko Ruvuma akifanya mikakati ya Ubunge wa 2025 Hata wananchi walishamsahau wala hawajui kiongozi wao nani. Sasa leo kajitokeza Mkuu wa Mkoa feki wa Mbeya na kuanza kusikikikiza...
  20. JamiiForums Tanzania Mbunge Minza Mjika Ahoji Mkakati wa Serikali wa Kujenga Vituo vya Afya kwenye Kata za Mkoa wa Simiyu

    Mbunge Minza Mjika Ahoji Mkakati wa Serikali wa Kujenga Vituo vya Afya kwenye Kata za Mkoa wa Simiyu Katika kipindi cha miaka mitatu ya fedha 2021/22, 2022/23 na 2023/24 serikali imejenga jumla ya vituo vya afya 466 vilivyogharimu shilingi bilioni 718.1 katika maeneo ya kimkakati kote nchini...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…