mkeka

  1. Street Hustler

    Ukiona viongozi fulani wametawala kwenye vyombo vya habari basi jua bosi wao anatoa mkeka mpya karibuni

    Imekuwa ni tabia sasa au tuite formula kabisa kwa hawa viongozi wa kiserikali wanaopata ajira zao kupitia teuzi. Kipindi hiki utasikia maekezo mengi sana kuhusu wakuu wa wilaya hasa kwenye vyombo vya habari sana sana wanaonekana kama ndiyo wametoka kuamka au ndiyo wamepewa kazi leo. yaan...
  2. resonanceiduufu

    Naomba ufafanuzi kuhusu huu ‘Mkeka wa mbao’ (Floor Decor)

    Mwenye idea kuhusu "mkeka wa mbao" au "Floor decor" __ nimekuwa nikiona katika movies za nje (Ufilipino) na kwenye matangazo vifaa vya ujenzi hasa kenya. Uzuri? wake na Ubaya? wake__ nimekuwa nikiona matangazo wakisema warranty miaka 25! Vipi ubora wake unaweza kupiku tiles (vigae)? Nawasilisha!
  3. Amina68

    Mkeka umetoa Tsh Milioni 165, utazame hapa, maisha ni kamari pia

    Mkeka wa MIL 165 UMETOA,utazame hapa, maisha ni kamari pia
  4. Sildenafil Citrate

    Rais Samia: Wakuu wa wilaya hamfanyi kazi, mnasubiri mkeka

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amesema kuwa Wakuu wa wilaya nchini wameacha kufanya kazi kwa hofu ya kuondolewa au kuhamishwa vituo vya kazi. “Wakuu wa wilaya hamfanyi kazi, mnasubiri mkeka. Sikusema nitawabadilisha leo au kesho, kwahiyo kama hamfanyi kazi hao ndiyo...
  5. 911sep11

    Weekend hii unaimalizaje? Manchester amepigwa, simba amepigwa na mkeka wako umechanika!!!

    Naona kana kwamba unapitia wakati ulio mgumu. Hongereni yanga kwa ushindi wa kishindo. Henu fikiria Simba chali Man u chali Mkeka umechanwa na hizo timu huku wewe ukiwa ni shabiki kindakindaki
  6. Bujibuji mafuriko

    Mkeka wa DAS wa wilaya na wakurugenzi bado??

    Kama umepita basi ni kwa sababu ya mambo ya usiku usiku
  7. RRONDO

    EWURA wametoa mkeka mpya!

    Haya wakuu mkeka mpya ndio ushatoka. Angalia mkoa wako petrol au diesel imepanda Kwa kiasi gani #KaziIendelee
  8. Mama Debora

    EWURA: Bei kikomo za bidhaa za mafuta ya petroli kuanzia Jumatano, tarehe 3 Agosti 2022

    Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), inatangaza bei kikomo za bidhaa za mafuta ya petroli hapa nchini. Bei hizi zitaanza kutumika kuanzia Jumatano, Tarehe 3 Agosti 2022. Bei za Mafuta katika soko la dunia zimeendelea kuongezeka na kusababisha bei za mafuta katika soko la...
  9. The Evil Genius

    Rais Samia afanya mabadiliko Wakuu wa Mikoa. Ally Hapi, Kigaigai, Kafulila na Eng. Robert Gabriel watemwa

    Rais Samia Suluhu amefanya mabadiliko ya wakuu wa mikoa nchini huku akiingiza majina mapya tisa akiwemo Albert Chalamila aliyeteuliwa kuwa mkuu wa mkoa wa Kagera. Wakuu wa mikoa 10 wamebaki kwenye vituo vyao vya kazi vya awali huku 7 wakihamishwa. Aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Mara, Ally Hapi...
  10. Mnyakyusa5000

    SoC02 Acheni kutusimanga sisi wasomi wa Tanzania

    Sio kwa nia mbaya ila ni ukweli kuwa kwa miaka ya hivi karibuni imezuka kasumba ya kila mtu anayetaka hoja zake kuhusu maendeleo zisikilizwe basi lazima awaseme vibaya wasomi wa nchi (Tanzania) na kubeza kabisa mfumo wa elimu yetu. Kama wasomi hatukatai kukosolewa lakini kwa sasa watu...
  11. luangalila

    Msaada: Mkeka wa Sensa Kibaha TC hauonekani

    Mkeka wa sensa wa Kibaha TC hauonekani, msaada mwenye access ya huu mkeka please share.
  12. J

    Self Microfinance mkeka tayari

    Mkeka wa self microfinance umetoka huko tayari baada ya muda mrefu hatimaye
  13. L

    Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imewaita kazini vijana 1,453 kati ya 2,100 baada ya kupata kibali cha Rais Samia

    Habari wakuu, nimeona taarifa kadhaa kwenye mtandao hasa kwenye page ya HabariLeo ya kwamba TRA wameshaita vijana kazini. Hii inaukweli wowote? Na kama ni kweli wanawezaje kuita kimya kimya bila kutoa pdf? ====== #HABARINJEMA: Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imewaita kazini vijana 1,453 kati...
  14. figganigga

    Wakuu wa Mikoa na Wakuu wa Wilaya Mguu sawa. Mkeka wa Mama Umechanika analeta mpya

    Salaam Wakuu, Baada ya rais Samia kukaa mwaka mmoja na siku kadhaa madarakani, macho yake yamemuwezesha kuwaona Wakuu wa Wilaya na Mikoa Wachapakazi na wale Wauza Sura. Japo Mkeka wa Wakurugenzi haupo wazi, ila nao panga linawapitia. Makatibu Tawala kidogo Wanajitahidi. Wanamfurahisha Mama...
  15. N

    Oral Interview za UTUMISHI (PSRS)

    Habari za humu wa forum? Nilikuwa naomba kujua maswali common ya ORAL INTERVIEW za UTUMISHI Asante.
  16. JAMBONIA LTD

    Naomba Msaada wa kisheria kuhusu hili la ndoa ya mkeka

    Habari wakuu, kuna binti anadai kijana wetu amempa mimba. Hivyo wamekuja wazazi wa binti kudai ndoa ya mkeka, kinyume na hapo wanatishia kumfunga kijana wetu kwani binti kamaliza form four mwaka jana. Mimba ina miezi 4/5 hivo iliingia wakati akiwa mwanafunzi ingawa kwa sasa amemaliza. Kijana...
  17. The Sunk Cost Fallacy

    Wapi mkeka wa Makatibu Wakuu wa Wizara?

    Nimemsikia Katibu Mkuu Kiongozi akisema Rais pia kateua Makatibu Wakuu lakini hadi sasa sijaona Mkeka wa hao . Mwenye nao auweke hapa.
  18. Econometrician

    Utabiri wangu kuhusu Mkeka wa Baraza la Mawaziri!

    Nionanvyo mie Mawaziri wafuatao kuna uwezekano wa kutokuwepo kwenye Baraza la Mawaziri. 1.Prof.Palamagamba John Idani Mwaluko Kabudi-Waziri wa Sheria. 2.Prof.Aldof Mkenda-Waziri wa Kilimo 3.Dr.Dotto Biteko-Waziri wa Madini 4. George Mkuchika Nb. 1.Dr.Ashatu Kijaji Waziri wa habari,anaweza...
  19. VinJoe

    Kwa Experience yangu ya muda mfupi kwenye "Betting" nimegundua mambo machache

    Jambo la kwanza na kubwa kabisa betting is addictive very addictive hutaamini itakavyo kukamata na kuingia kwenye mishipa ya damu yaani kuna wakati kukaa bila kua na ka mkeka unakokasubiria ka tick ✅ basi unahisi kama kuna kitu hakiko sawa hivi. Jambo lingine ni kwamba utakua na matumizi yasio...
Back
Top Bottom