Mkeka wa CAF kwa vilabu Afrika: Kuna timu kama Medeama hata utafute kwa tochi hutaziona

mbingunikwetu

JF-Expert Member
Feb 17, 2015
13,664
18,039
ORODHA ya Vilabu Bora Afrika 2023 (CAF Club Ranking)

Rank za caf ngazi ya vilabuCAF rankings,Vilabu 20 bora afrika 2023,Nafasi ya Simba Afrika 2023Nafasi ya yanga afrika 2023,Yanga ranking in Africa 2023,Vilabu kumi bora africa,CAF club points,Rank za caf ngazi ya vilabu,CAF club points,CAF rankings.

Klabu Al Ahly SC ya Misri imeshuka kutoka nafasi ya kwanza (1) kwa Ubora Afrika hadi nafasi ya Pili (2).

Kwa upande wa Tanzania Klabu ya Simba SC imepanda hadi nafasi ya nane (8) kutoka nafasi ya (11), huku Young Africans ikipanda hadi nafasi ya (23). kutoka nafasi ya (26).

Vilabu vitakazofanikiwa kuingia hatua ya Nusu Fainali kwenye michuano ya (CAF) vitaongeza alama (5) nyingine.

Orodha ya Vilabu Bora Afrika 2023/2024 CAF Ranking 2023/2024

Top 𝟏𝟎 CAF clubs ranking before the start of the 2023/24 CAF Champions League and Confederation Cup group stage games:

01. 64 – Wydad Casablanca (Morocco)

02. 63 – Al Ahly SC (Egypt)

03. 51.5 – Raja Casablanca (Morocco)

04. 51 – Esperance de Tunis (Tunisia)

05. 46 – Mamelodi Sundowns (South Africa)

06. 37 – RS Berkane (Morocco)

07. 36 – Cr Belouizdad (Algeria)

08. 35 – Simba SC (Tanzania)

09. 34 – Zamalek (Egypt)

10. 31 – JS Kabylie (Algeria)

These statistics include the progress of the team so they cannot be adjusted for each season depending on the results of that season in the championship. Today we are looking at the levels of the teams under the African football federation CAF where the clubs under it are divided into different geographical classes

Nafasi | Pointi | Timu | Nchi.

11. 30.5 – Tp Mazembe (DR Congo)

12. 30 – Pyramids (Egypt)

13. 28.5 – Petro De Luanda (Angola)

14. 24 – Horoya AC (Guinea)

15. 24 – Orlando Pirates (South Africa)

16. 23 – Al Hilal Omdurman (Sudan)

17. 20 – Etoile Du Sahel (Tunisia)

18. 19 – ES Setif (Algeria)

19. 16 – Coton sport (Cameroon)

20. 15.5 – ASEC Mimosas (Ivory Coast)

21. 15 – Kaizer Chiefs (South Africa)

22. 14 – AS Vita club (DR Congo)

23. 12 – Young Africa (Tanzania)

24. 12 – Al Ahly Tripoli (Libya)

25. 12- Al Masry (Egypt)

26. 10 – Al-Merrikh SC (Sudan)

27. 10 – FAR Rabat (Morocco)

29. 10 – Rivers United (Nigeria)

30. 10 – Marumo Gallants (South Africa)

31. 10 – US Monastir (Tunisia)

31. 09 – MC Alger (Algeria )

Halafu kuna uto fulani anadai eti Wydad ni kibonde, kwa kuwa tu kafungwa na SIMBA!!! Anachokifumbia macho ni kuwa kwa sasa Simba na Wydad ziko kwenye CLASS moja iitwayo THE TOP 10 CLUBS IN AFRIKA!! Tunawatakia mema na wao waingie humo!! Ila hii kupangwa na Medeama halafu unaiogopa ni aibu!! Medeama haipo kabisa kwenye ramani ya soka la Afrika!! Tunawatakia ushindi kesho yanga wasishindwe kusukuma huyo!! Kumfunga Medeama ni kama kusukuma mlevi fulani, akianguka wala hakuna sifa yoyote!! Wakitaka sifa wamfunge Al Ahly!!
 
These stats are not valid.
 
Mimi naangalia kwa ujumla na haya ni maoni yangu binafsi, viwango vya team za Africa clubs zote na haswa kwenye mashindano haya ya ACL yanayoendelea, kiwango cha mpira kwa maana ya quality na ufundi kimeshuka sana. Sijaona kama mashindano baada ya investment kubwa iliyofanywa kwa miaka sasa lakini quality ya mashidano inashuka na kipimo changu nashindwa kutumia dakika 90 kuangalia game kwenye TV.
 
ORODHA ya Vilabu Bora Afrika 2023 (CAF Club Ranking)

Rank za caf ngazi ya vilabuCAF rankings,Vilabu 20 bora afrika 2023,Nafasi ya Simba Afrika 2023Nafasi ya yanga afrika 2023,Yanga ranking in Africa 2023,Vilabu kumi bora africa,CAF club points,Rank za caf ngazi ya vilabu,CAF club points,CAF rankings.

Klabu Al Ahly SC ya Misri imeshuka kutoka nafasi ya kwanza (1) kwa Ubora Afrika hadi nafasi ya Pili (2).

Kwa upande wa Tanzania Klabu ya Simba SC imepanda hadi nafasi ya nane (8) kutoka nafasi ya (11), huku Young Africans ikipanda hadi nafasi ya (23). kutoka nafasi ya (26).

Vilabu vitakazofanikiwa kuingia hatua ya Nusu Fainali kwenye michuano ya (CAF) vitaongeza alama (5) nyingine.

Orodha ya Vilabu Bora Afrika 2023/2024 CAF Ranking 2023/2024

Top 𝟏𝟎 CAF clubs ranking before the start of the 2023/24 CAF Champions League and Confederation Cup group stage games:

01. 64 – Wydad Casablanca (Morocco)

02. 63 – Al Ahly SC (Egypt)

03. 51.5 – Raja Casablanca (Morocco)

04. 51 – Esperance de Tunis (Tunisia)

05. 46 – Mamelodi Sundowns (South Africa)

06. 37 – RS Berkane (Morocco)

07. 36 – Cr Belouizdad (Algeria)

08. 35 – Simba SC (Tanzania)

09. 34 – Zamalek (Egypt)

10. 31 – JS Kabylie (Algeria)

These statistics include the progress of the team so they cannot be adjusted for each season depending on the results of that season in the championship. Today we are looking at the levels of the teams under the African football federation CAF where the clubs under it are divided into different geographical classes

Nafasi | Pointi | Timu | Nchi.

01. 64 – Wydad Casablanca (Morocco)

02. 63 – Al Ahly SC (Egypt)

03. 51.5 – Raja Casablanca (Morocco)

04. 51 – Esperance de Tunis (Tunisia)

05. 46 – Mamelodi Sundowns (South Africa)

06. 37 – RS Berkane (Morocco)

07. 36 – Cr Belouizdad (Algeria)

08. 35 – Simba SC (Tanzania)

09. 34 – Zamalek (Egypt)

10. 31 – JS Kabylie (Algeria)

11. 30.5 – Tp Mazembe (DR Congo)

12. 30 – Pyramids (Egypt)

13. 28.5 – Petro De Luanda (Angola)

14. 24 – Horoya AC (Guinea)

15. 24 – Orlando Pirates (South Africa)

16. 23 – Al Hilal Omdurman (Sudan)

17. 20 – Etoile Du Sahel (Tunisia)

18. 19 – ES Setif (Algeria)

19. 16 – Coton sport (Cameroon)

20. 15.5 – ASEC Mimosas (Ivory Coast)

21. 15 – Kaizer Chiefs (South Africa)

22. 14 – AS Vita club (DR Congo)

23. 12 – Young Africa (Tanzania)

24. 12 – Al Ahly Tripoli (Libya)

25. 12- Al Masry (Egypt)

26. 10 – Al-Merrikh SC (Sudan)

27. 10 – FAR Rabat (Morocco)

29. 10 – Rivers United (Nigeria)

30. 10 – Marumo Gallants (South Africa)

31. 10 – US Monastir (Tunisia)

31. 09 – MC Alger (Algeria )

Halafu kuna uto fulani anadai eti Wydad ni kibonde, kwa kuwa tu kafungwa na SIMBA!!! Anachokifumbia macho ni kuwa kwa sasa Simba na Wydad ziko kwenye CLASS moja iitwayo THE TOP 10 CLUBS IN AFRIKA!! Tunawatakia mema na wao waingie humo!! Ila hii kupangwa na Medeama halafu unaiogopa ni aibu!! Medeama haipo kabisa kwenye ramani ya soka la Afrika!! Tunawatakia ushindi kesho yanga wasishindwe kusukuma huyo!! Kumfunga Medeama ni kama kusukuma mlevi fulani, akianguka wala hakuna sifa yoyote!! Wakitaka sifa wamfunge Al Ahly!!
Inachomaaaa
 
Back
Top Bottom