mke

The MPT (stands for Turkish: Millî Piyade Tüfeği, English: National Infantry Rifle) is a modular rifle family designed by MKEK and produced by MKEK, Sarsılmaz Arms and Kalekalıp to meet the demands of the Turkish Armed Forces and to replace its aging rifles such as Heckler & Koch G3 and Heckler & Koch HK33 due to most of them being near the end of their service life. The MPT was designed for robust high altitude, all weather combat, capable of functioning in extreme hot and cold weather. The MKEK MPT is a rifle intended to take abuse and extreme mistreatment and still maintain high accuracy and reliability in order to survive in true battle environments. The Turkish government has invested US$22 million into the project.It made its first public appearance at the Eurosatory 2014, ADEX 2014 and the MSPO 2014 events.

View More On Wikipedia.org
  1. Dodoma: Naibu Waziri wa TAMISEMI Festo Dugange apata ajali akiendesha gari

    Kuna taarifa za ndani juu ya ajali ya Naibu Waziri wa TAMISEMI Festo Dugange kupata ajali ambapo inadaiwa ameumia sana. UPDATE Jioni hii makamu wa Rais wa Tanzania Dkt. Philip Mpango amefika hospitali ya mkoa Dodoma maarufu kama General hospital kumjulia hali naibu waziri wa TAMISEMI (afya) Dk...
  2. W

    Nimekamata Ujumbe Katika Simu ya Mke Wangu Akimtumia Mama Yake Majina ya Wanawake Anaohisi Kuwa ni Michepuko Yangu, Nimeshangaa na Kufadhaika.

    Msaada wenu tafadhali. Amechambua jumbe zangu katika simu yangu, kila jumbe ya kike iliyokuwa tata kidogo kwake amelitafuta jina la namba hiyo na sasa amemtumia mama yake majina yote. Hili nimeligundua leo baada ya kuinasa katika siku yake.....bila shaka alijisahau kuifuta. Majina haya...
  3. A

    Sitosahau nilipopata Gono na UTI kwa mke wa jirani yangu

    Nikiwa nimehamia kigezi kwenye kamjengo kangu, nilikuwa naishi bado single sijapata jiko ratiba yangu naondoka zangu asubuhi naingia job narudi zangu usiku na napitia Tariano pale nakunywa vibia kazaa na kula msosi narudi home. Wikend nilikuwa nashinda home kwa shughuli za usafi majirani...
  4. Kumuhudumia mwanamke asiye mke wa ndoa ni umbumbumbu

    To be honest, mimi kumuhudumia mwanamke ambaye ni mwenza tu siwezi kabisa. Eti mwanamke ananiambia usisubiri nikuombe uwe unajiongeza, nikamuuliza hivi mimi kukuhudumia ni wajibu, akasema wajibu! Nikamwambia wewe sio mwanangu wala mke wangu wa ndoa, wala si baba yako, hivyo kuniambia nijiongeze...
  5. Amuua mke wake kisa tamaa ya mali

    Mwanaume mmoja mwenye umri wa miaka 56 Mkazi wa Buzilayombo Wilayani Chato Mkoani Geita anatafutwa na Polisi kwa tuhuma za kumuuwa Mkewe aitwaye Kasaka January (48) kwa kumkata mapanga sehemu mbalimbali za mwili wake chanzo kikidaiwa kuwa ni tamaa za mali zilizokuwa zinamilikiwa na Mwanamke huyo...
  6. Napata Wanawake sana ila mke sipati sijui shida iko wapi?

    Habari za asubuhi ndugu zangu... Katika harakati zangu nataka kuoa ila mwanamke wa kuoa sipati kabisa pia napenda sana niwe na familia ila mama mtoto ndie awe mke na awe mama kweli kweli maana sitaki kabisa wanangu waishi katika mfumo wa malezi ya mzazi mmoja au walio achana mademu napata...
  7. S

    Mke havai hivi wala tusibishane

    Pichani hapa chini ni Hakimi na aliyekuwa mkewe. Kwa kuangalia tu mavazi yake, sisi makungwi tunapata jibu kuwa huyu alikuwa siyo mke, bali ni kahaba lililokubuhu. Nawaonya enyi wanaume mnaopinga kampeni ya "Kataa ndoa" mkitaka kuoa angalieni mavazi ya mwanamke. Mavazi huakisi tabia, hulka...
  8. Nimepata kuamini kuwa, hakuna mwanaume anayekula mke wa mtu kwa kudhamiria

    Wiki iliyopita nilikutana na mwanamke niliyefahamiana zamani sana, tena utotoni kabisaa, hata ugwadu wa barehe niliumalizia kwake, sio mimi tu, hata na marafiki zangu waliponea kwake na kwa marafiki zake kwa ujumla. Nilikutana nae maeneo ya Sinza Siku iliyofuata alinialika kwake maeneo ya...
  9. Vijana msidanganyike, kuoa si guarantee ya kupata tendo. Nina mwezi nanyimwa sasa

    Ni Jumatatu njema! Mfungo mwema kwa ndugu Waislamu!. Vijana mimi huwa nawachora sana! Nawaangalia tokea mbali mno mnavyodanganyana kuwa ukioa muda wowote utakaotaka tendo basi ni kufunua tu sketi na kuchomeka, haya endeleeni kudanganyana. Mimi si mara ya kwanza kunyimwa unyumba kwa sababu...
  10. Miaka 39 sina mke wala mtoto. Je, hii ni kawaida?

    Natamani kujua kama hii ni kawaida au mimi ni mtu ajabu. Nakaribia miaka 39 na sina mke wala mtu naetegemea awe mke wangu. Sina mtoto japo ninauwezo wa kuzalisha vizuri sababu nilishawai wapa mimba wanawake watatu tofauti tukazichomoa. Japo bado sina mke lakini naamini sana kwenye ndoa na kuzaa...
  11. Nahitaji mke wa kuoa

    Namuhitaji mke ambaye Yupo tayari kwa ndoa na siyo utani. Kama Yupo aje PM. Vigezo: 1. Umri usizidi miaka 30 2. Mkristo 3. Awe anapenda ujasiriamali 4. Mweusi na Mnene 5. Asiwe amesomea kozi za sheria 6. Awe na utayari wa ndoa, Asiwe na tamaa SIFA ZANGU 1. Mkristo 2. Muajiriwa sekta...
  12. F

    Bilionea Msuya angetumia akili ya Hakimi wa PSG kwenye ndoa yake. Dada yake asingeuliwa na Mke wake, ukoo wa mke kusimamia mali zake wasingeweza

    Habari wadau. Wengi tumeona trend kubwa mtandaoni ya divorce ya mcheza mpira Hakimi. Nimekumbuka story ya Marehemu Bilionea Msuya wa Arusha. Mali zake alizoacha zimesababisha dada yake bilionea msuya achinjwe kama kuku na wifi yake. Pia mali za bilionea msuya zimesababisha ugomvi mkubwa...
  13. Je, alichofanya mke wa Emmanuel Eboue miaka ile ilikuwa ni ubinadamu?

    Star wa zamani wa Arsenal, Bwana Emmanuel Eboue ilibaki kidogo tu ajinyonge baada ya mahakama kumpokonya mali na pesa zake zote na kumpa mkewe baada ya kuachana. Mchezaji huyo wa zamani wa Aresenal alikuwa analipwa mabilioni kwa mwezi, ila baada ya mkewe wa kizungu kupata mchepuko ambaye ni...
  14. Suala la Achraf Hakimi na Mke wake: Watu ni wepesi kuongea, hawataki kufanya reasoning

    Baada ya Mahakama kutamka kuwa Hakimi hamiliki pesa wala mali yoyote, Hakimi akaanza ku trend mitandaoni. Watu wakampatia sifa zenye rangi, harufu na maumbo yote. Ikumbukwe kwamba, suala hili halijaisha wakati ndiyo kwanza game ipo mapumziko. Inathibitishika kuwa Hakimi ni muajiriwa, hivyo...
  15. Mke wa Mchezaji Achraf Hakimi aambulia patupu baada ya kudai talaka akidhani atapata mali

    Mke wa Ashraf Hakimi amempeleka mahakamani ili kupata talaka na alitaka Mahakama iwagawanyishe mali. Baada ya Talaka kufanikiwa na kukubaliana kugawana mali, ikagundulika kuwa Ashraf Hakimi hakuwa na mali yoyote na hata akaunti zake benki hazikuwa na pesa yoyote. Inaelezwa kuwa mahakama...
  16. Kukosa hamu ya kula na uchovu, mate kujaa mdomoni sana ni dalili ya nini?

    Habari JF, mke wangu mimba yake ilitoka ikiwa na mwezi mmoja. Lakini tangu itoke ni mwezi sasa na bado anatema mate mengi sana. Je inaweza ikawa ni dalili ya nini? Ni mimba au inaweza ikawa tatizo lengine?
  17. Hatimaye Fred Saganda Ntogwishango apata mke.

    Apataye mke apata kitu chema. Hatimaye msanii mkongwe mjini Fred Saganda Ntogwisango amepata mke. Fred Sanganda ni msanii mwenye vipaji lukuki, ni mchekeshaji, mwimbaji, mpigaji wa ala za muziki, ni producer, ni sound engineer, ni mchora katuni, na pia ndiye twiga wa kwenye katuni za Ubongo Kids.
  18. M

    Natafuta Mchumba au Mke mtarajiwa

    ,
  19. Machozi ya mtoto wa jirani yangu yamenisikitisha sana

    Habari muda huu Wana JF, Kuna kisa nilileta hapa kuwa mtoto wa Jirani yangu amezoea kuniita baba. Jana majira ya saa 5 asubuhi, ilibidi niwaage Jirani zangu baadhi ambao tumeishi vizuri muda wote niliokuwepo hapa, sehemu niliokuwa naishi Ina nyumba 3 Ila ziko kwenye fensi moja Jirani yangu...
  20. Geita: Mwalimu atuhumiwa kumuua mkewe

    HABARI Polisi mkoani Geita wamelazimika kufukua ndani ya nyumba ya mwalimu Francis Elizeus wa shule ya msingi Lubanga baada ya ndugu wa mke wake kumtuhumu kuwa amemuua mke wake Jenifer Mashimo na kumfukia ndani hali iliyopelekea ndugu hao kumtishia maisha mwalimu huyo. Mke wa Mwalimu huyo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…