Napata Wanawake sana ila mke sipati sijui shida iko wapi?

Napata Wanawake sana ila mke sipati sijui shida iko wapi?

jjs2017

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2019
Posts
2,027
Reaction score
4,316
Habari za asubuhi ndugu zangu...

Katika harakati zangu nataka kuoa ila mwanamke wa kuoa sipati kabisa pia napenda sana niwe na familia ila mama mtoto ndie awe mke na awe mama kweli kweli maana sitaki kabisa wanangu waishi katika mfumo wa malezi ya mzazi mmoja au walio achana

mademu napata wakutosha na nyapu za kutuliza maomivu ya kukosa mke napata tuu kirahisi , kweli mademu wote naopata hawana hata sifa ya kuwa mke au angalau hata mama mtoto. Imefika mahali nasema sometime kama hali ni hii bora nikubali kukosa mke ila watoto wapate mama bora kwa kweli na dhani wa Baba wameelewa hapa kwenye kukosa mke ila watoto wapate mama bora.

Kiukweli hii hali inatisha sana mpaka nahisi labda ni mkosi japo nimepiga maombi naona sasa yanagonga mwamba nataka nigairi kila kitu niishi kama kivuli au upepo na niwe mbinafsi sana na kujijali mwenyewe na swala la kuoa ni gairi ila moyo na nafsi havitaki kusikilizana napo taka kugairi huu mpango.

Nimefikiria niangalie mwanamke mwenye afadhali ni mwombe anibebe mimba hata kwa kumlipa ila nikiwaza mwanangu atakua mbali na mimi au mimi kua mbali na mwanangu, au wakati mwingine mtoto kuwa mbali na mama yake naona kabisa sitomtendea mtoto haki yake na moyo unakataa japo mwili unaforce nifanye hivyo..

Ndugu zangu. Nishaurini nifanyaje wakuu

Umri wangu ni ule ule 31+ wakuu
 
Habari za asubuhi ndugu zangu...

Katika harakati zangu nataka kuoa ila mwanamke wa kuoa sipati kabisa pia napenda sana niwe na familia ila mama mtoto ndie awe mke na awe mama kweli kweli maana sitaki kabisa wanangu waishi katika mfumo wa malezi ya mzazi mmoja au walio achana


Umri wangu ni ule ule 31+ wakuu
Kanuni za kupata Mke hazifanani na kanuni za kupata Demu, niamini mimi hata kama ni mwongo..
 
Mke ni miongoni mwa hao mademu. so chagua mmoja weka ndani maisha ndio hayahaya
Tatizo yani ni wadangaji na waongo waongo si kawaida mkuu... Na pia hawapendi kuoa.. nimewapima wote kwa kujaribu kuwaomba wazae wakishika mimba yangu ila majibu ni kwamba hawataki kulea
 
Kupata mke bora yakupasa utulie haswaa na usitarajie awe na sifa 100%zote unazo zitaka hata 50%tu zinatosha chukua jiko
Ni kweli mamy.... Kuna vitu tuu mwanamke akiwa navyo unajua huyu ni mke au ni mama bora. Sasa unakuta kwa mke hafiti na kwa umama bora hana sifa
 
Tafuta demu mmoja,mtunze,mgaramie,mfanye malaya wako mwisho lazima awe mke wako..
 
Back
Top Bottom