Kukosa hamu ya kula na uchovu, mate kujaa mdomoni sana ni dalili ya nini?

Termux

JF-Expert Member
Oct 7, 2017
406
980
Habari JF, mke wangu mimba yake ilitoka ikiwa na mwezi mmoja. Lakini tangu itoke ni mwezi sasa na bado anatema mate mengi sana. Je inaweza ikawa ni dalili ya nini?

Ni mimba au inaweza ikawa tatizo lengine?
 
Mimba ikitoka bado mwili unakua una secrete pregnancy hormones kwa kipindi kingine kifupi.
So mpka ziishe hizo hormones thats when she wil get back to normal
 
HABARI JF: MKE WANGU MIMBA YAKE ILITOKA IKIWA NA MWEZI MMOJA. Lakini tangu itoke ni mwezi sasa na bado anatema mate mengi sana. Je inaweza ikawa ni dalili ya nini? Ni mimba au inaweza ikawa tatizo lengine
ngoma
 
Hicho ni kingereza.
Sasa shida iko wapi, ni wewe hujaelewa au ni mtoa mada hajaelewa?
Bado sijaona changamoto yoyote hapo.

Changamoto ni mimi sijaelewa kwani mada yoyote inapowekwa wazi hiyo haiwi tena ni mada inayomuhusu mtoa mada pekee bali jamii nzima ya jf, kama ingemuhusu mtoa mada pekee hapo ndipo mtu anaweza kuandika lugha yoyote anayoitaka lakini kupitia PM ya mtoa mada.

Shida ni kwamba maneno yale hayana maneno ya kiswahili kwa faida ya sisi sote ??!
 
Well ni vyema ungesema tangu mwanzo kua hujaelewa maana ya maneno hayo.
Maana kila neno unaloliona humu lina tafsiri yake katika lugha mbali mbali.
Anyway, maana yake ni kwamba, "akifika hapi atarudi katika hali yake ya kawaida"
 
Too late and the soup is too cold to drink, I managed to searched for the meaning by myself for myself. 😀😀
 
Back
Top Bottom