Je, alichofanya mke wa Emmanuel Eboue miaka ile ilikuwa ni ubinadamu?

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Sep 4, 2013
36,066
40,725
Star wa zamani wa Arsenal, Bwana Emmanuel Eboue ilibaki kidogo tu ajinyonge baada ya mahakama kumpokonya mali na pesa zake zote na kumpa mkewe baada ya kuachana.

Mchezaji huyo wa zamani wa Aresenal alikuwa analipwa mabilioni kwa mwezi, ila baada ya mkewe wa kizungu kupata mchepuko ambaye ni mzungu mwenzake, akaona afanye visa na kudai talaka, ambapo Eboue aliamrishwa pesa zake na mali zake zote akabidhi kwa mkewe na akafukuzwa kwenye nyumba yake na kuwa homeless asiye na pa kulala, na hata watoto wake watatu hakuruhusiwa hata kuwaona kwa macho tu, maana walishatafutiwa baba mpya mzungu na ndio walikuwa wanamwita baba.

Ilifika wakati hata pesa ya chai na chapati asubuhi akawa anakosa, ilibaki kidogo tu ajiue.

Je, alichofanya huyo mke ni ubinadamu?

 
Alichofanyiwa ni unyama sana Eboue, ila ndio hivyo sheria ilikuwa upande wa mkewe. Na hili tatizo wanalo waafrika/blacks wengi, wanapenda sana kuoa whites wakifika kucheza ulaya, matokeo yake ndio kama hivyo.

Huyo mmoroko alitumia akili, wachezaji wengi wanafilisika kizembe sana.
 
Back
Top Bottom