mkataba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. comte

    Tupate mkataba wa uendeshi wa hospital za Bugando (TEC) na KCMC (KKKT) ili tujadili bandari vizuri

    Hospital za Bugando na KCMC zinamilikiwa na makanisa na zinaendeshwa kwa ubia na serikali ya JMT. Ninafikiri mikataba yake ingetusaidia sana kwenye mjadala unaoendelea wa bandari
  2. M

    Shura ya Maimamu yataka Mkataba wa Bandari Uboreshwe na haki itendeke kwa Makumi ya Masheikh walioko Jela nchi nzima

    Bismillahir Rahmanir Rahiim SHURA YA MAIMAMU TANZANIA BARAZA LA IDD ADH-HA, ALKHAMISI TAREHE 29.06.2023 -1444. “HAKI NA UKWELI VITHAMINIWE” FALSAFA YA IBADA YA HIJJA Awali ya yote tunamshukuru Mwenyezi Mungu Mwingi wa rehema kwa kutupa fadhila nyingi. Tunamuomba Azidi kuturehemu kwa namna...
  3. chamilo nicolous

    Mkataba feki vs Mkataba sahihi

    Kila uchao Waziri mkuu analioloma oooh DP hawachapewa Bandani, Tumuamini nani??? Hakuna mwanasheria au kiongozi mwenye hekima amejitokeza kutetea huu mkataba, yuko wapi Makamba mzee wa kulamba asali, Ana Makinda, PIUS Msekwa ??? Kama mmmebugi mnyamaze , Tanzania tunapungukiwa viongozi bora, na...
  4. R

    Wanasheria walioandaa mkataba na DP World ni Watanzania au ilipewa tenda kampuni ya kigeni?

    Wanasheria wote wa Tanzania pamoja na waalimu wa sheria nchini pamoja na nchi jirani wameukataa mkataba wa Tanzania na DP World. Je, haiwezekani kwamba kazi hii ilifanywa na makampuni ya nje kuifanya kazi hii? Kama wasomi wetu wameshindwa kupata tafsiri inayoitwa nia njema ya serikali naamini...
  5. Mwande na Mndewa

    Je ni mkataba wa bandari au makubaliano ya bandari? Je ni mkataba au makubaliano ya Tanganyika na Zanzibar?

    JE NI MKATABA WA BANDARI AU MAKUBALIANO YA BANDARI? JE NI MKATABA AU MAKUBALIANO YA TANGANYIKA NA ZANZIBAR? Leo 13:15hrs 29/06/2023 Rais Museveni alipokuja Chato aliwahi kusema Watanzania tuna uhaba wa maneno ya kiswahili,Ukweli ni kwamba neno "mkataba" kwa kiswahili lina maana pana sana...
  6. Akilindogosana

    Kama mkataba mmoja tu ndio uko hivi, je ile mingine ina hali gani?

    Najiuliza tu, kama mkataba mmoja tu ndio uko hivi, je ile mingine ina hali gani? Nawapongeza "wazee wa kuvujisha" Ninyi mmefanya kazi kubwa sana, tumejua hali halisi 😂. Nawaomba sana "wazee wa kuvujisha" zoezi hili liwe endelevu, maana mikataba ilisainiwa mingi sana. Tunawaomba msikate tamaa...
  7. Zanzibar-ASP

    Makubaliano yaliyopitishwa bungeni ni makubwa kisheria kuliko mkataba wowote wa bandari utakaotengenezwa

    Kumekuwa na upotoshaji wa kimakusudi unaofanywa na spika, baadhi ya wabunge, viongozi wa serikali na wapiga debe wengine wa sakata la Bandari kupewa DP world. Wapiga debe hao wamekuwa wakisema kilichopitishwa bungeni ni makubaliano tu ya ushirikiano na sio mkataba, hivyo makubaliano hayo ni...
  8. JumaKilumbi

    DP WORLD: Uliza swali lolote kuhusu Mkataba wa Tanzania na Dubai kuhusu Bandari

    Wakuu, Sabalkheir na Eid Mubarak! Sakata letu la Bandari limechukua taswira tofauti tofauti mitandaoni, wengine wakisema “Bandari imeuzwa” wengine wakilalamikia Mkataba, wengine wakipotosha, basi alimradi tafrani. Lengo la uzi huu ni kuweka wazi na kwa ukweli kuhusu Mkataba huu. Kwa dhamira ya...
  9. Magufuli 05

    Kwa saini yako kwenye mkataba wa DP World, Waziri wa Ujenzi na uchukuzi bado upo madarakani kweli?

    Najiuliza tu, ni kweli wewe waziri wa Ujenzi ulisaini ule mkataba ukiwa na akili timamu? Nini hasa ilikuwa dhamira yako? Nani alikuwa nyuma yako? Wewe na waliokuwa nyuma yako mnajisikiaje kwasasa? Je, ni Mtanzania yupi mwenye akili timamu anaweza kukuamini wewe kwasasa? Huoni aibu kwani? Na...
  10. B

    Upotoshaji mkataba na DP world kwa manufaa ya nani?

    Nguvu nyingi inatumika bIla shaka kupotosha kuhusiana na mkataba huu. Kwamba tuna aina hIzi za watu mezani: Ni dhahiri bin shahiri kuwa, kuna wanufaika hapa na bila shaka si wananchi.
  11. M

    Mwanasheria wetu Nguli Hashim Rungwe, sema neno kuhusu mkataba wa bandari nyoyo zetu zipone!

    Kwako mzee wetu Hashim Rungwe. Shikamoo. Hivi sasa nchini mwetu kuna mjadala mzito sana wa mkataba wa bandari. Mjadala huu umewahusisha wananchi wengi wakiwemo wasomi na wataalamu wa sheria, wansnchi wa kawaida n.k Sehemu kubwa ya wananchi, wanapinga mkataba huu kuwa in a long run ni kitanzi...
  12. gstar

    Prof Shivji: Nini kifanyike ili kujitoa kwenye mkataba wa DP-World?

    Baada ya hotuba ndefu nimenukuu haya machache kutoka kwa Prof Shivji juu ya nini kifanyike ili kujitoa kwenye mkataba huu wa kinyonyaji wa DP- World. naandika kama anavyo sema:- "Kwa ujumla kwa kuhitimisha, mkataba huu sisi wanasheria tunauita honoracy provisions na tukikubaliana hivyo je kuna...
  13. B

    Chuo Kikuu cha Dar (UDSM) chajadili Mkataba wa Bandari

    Chuo Kikuu cha Dar es salaam, Ndaki ya Sayansi ya Jamii Kitivo kikongwe cha chuo kikuu cha UDSM chajadili kwa pamoja na jamii nzima mkataba wa bandari Mwenyekiti wa mjadala wa leo Dr. Ng'wanza Soko Kamata wa kitivo cha CoSS UDSM aliwakaribisha wote waliojumuika ukumbini na wale walioshiriki...
  14. BARD AI

    Prof. Shivji: Mikataba ya Bandari na Dubai inayokuja itakuwa Siri na haitapelekwa Bungeni

    "DP WORLD wakipata faida huwezi kuwatoza kodi lakini pia hakuna kifungu chochote (katika mkataba wa bandari) kinachozungumzia revenue sharing (mgawanyo wa mapato), kama nchi itafaidika vipi?" Prof. Shivji "Mkataba huu (wa bandari) unaegemea zaidi upande mmoja na pia hauna ukomo wa muda. Wajibu...
  15. BARD AI

    Shivji ataka Bunge libatilishe azimio la Mkataba wa Bandari na Serikali ya Dubai

    Mwanazuoni Profesa Issa Shivji amekosoa mkataba baina ya Tanzania na Dubai unaohusu uboreshaji na uendeshaji wa bandari, huku akishauri Bunge kubatilisha azimio la kuridhia mkataba huo wa awali. Profesa huyo ambaye ni nguli wa sheria amependekeza njia hiyo leo Jumatano Juni 28, 2023 wakati...
  16. M

    Profesa Shivji anasema mkataba wa Dubai/DP World uko kinyume na katiba; Je kusigina katiba sio kosa la uhaini?

    Leo wakati akiongea katika mdahalo uliofanyika UDSM, mhadhiri mwandamizi wa sheria profesa Issa Shivji ameeleza kuwa mkataba wa uendeshaji bandari kati ya Tanzania na Dubai una dosari kutokana na vifungu vilivyotajwa hapo juu kukinzana na matakwa ya kikatiba ya Tanzania. Na akaeleza kesi inaweza...
  17. Doctor Mama Amon

    Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Jaji Feleshi, anapotosha Taifa, ukweli ni kwamba mkataba wa DP World unaongelea uuzwaji wa Bandari

    Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Jaji Feleshi, anasema kuwa katika Mkataba wa awali kati ya Tanzania na Dubai "hakuna kipengele kinachosema kuwa Dubai imeuziwa Bandari za Tanzania." Kisheria, kauli hii sio kweli hata kidogo. Hivyo, napenda kujenga hoja ya kuonyesha kwamba, katika Mkataba wa awali...
  18. peno hasegawa

    Kuna la kujifunza kuhusu mkataba wa DP World na wabunge wa CCM,

    Nimeuliza tu !! Japo mada hii itafutwa nusu saa ijayo
  19. D

    Wanaotetea Sakata la mkataba wa bandari hawana tofauti na waliokanusha kifo cha Rais enzi zile ilikuwa hivi hivi

    Wanaotetea Sakata la mkataba wa bandari hawana tofauti na waliokanusha kifo cha rais enzi zile ilikuwa hivi hivi! Wengine walikwenda mbali zaidi wakidai wameongea nae kwa simu asubuhi kawaambia wachape kazi yuko mzima! Watu walizidi kuhoji rais wetu yuko wapi walijibiwa yupo chato anawageni...
Back
Top Bottom