Asante CCM
JF-Expert Member
- Jun 22, 2023
- 346
- 1,301
Duru za kweli zinatabanaisha aliyekuwa boss wa Mamlaka ya BANDARI alifutwa kazi kwa sababu zilizodaiwa kutoonyesha ushirikiano na wawekezaji kule Dubai alipokuwa ameambatana na ujumbe wa Rais.
Jamaa walidai hawaonyeshwi ushirikiano wa haja na boss wa TPA kwa waziri na hazikupita siku mbili Erick akatolewa TPA.
Tatizo la Eric alihisi ule ulikuwa mtego na hakufahamu wakubwa na wale lao moja ndiyo maana alisita kufanya baadhi ya maamuzi kwa upande wake alihisi atanasa.
Kama yupo Mtanzania mwenye kuyafahamu mengi kuhusu huo MKATABA Eric yumo sema yule jamaa mwoga sana hata hawezi kutoa japo ABC kwalo.
Duru.
Pia soma