mkataba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Ukiona mtu anatetea mkataba huu wa kuuzwa kwa bandari basi hana akili au amehongwa

    "Hii biashara ya Rais wetu na maswaiba zake wa Dubai imekataliwa na watu wengi sana wenye akili na ambao hawajahongwa. "Bandari zetu zimeuzwa zote zilizopo na zitakazokuwepo. "Hao watu wanaotetea ndio wanatetea kuuzwa kwa bandari zetu, jibu ni nini, hawana akili au wamehongwa. "Tusiruhusu...
  2. Dr Matola PhD

    JamiiForums Tanzania Mikataba haikuanza leo, ni miaka mingi kabla hata ya kuzaliwa kristo, angalia mkataba huu kati ya Israel na Lebanon ndio utaujuwa ukweli

    MKATABA WA KALE WA KIUCHUMI KATI YA ISRAEL NA LEBANON U SAWA NA MKATABA WA BANDARI KATI YA TANZANIA NA DUBAI? Mkataba wa kwanza wa kimataifa kurekodiwa katika Biblia ni Mkataba wa kiuchumi baina ya Israeli na Lebanon uliosaniwa mwaka c. 950 BK (miaka 2973 iliyopita). Mkataba ule ulihusu Lebanon...
  3. FaizaFoxy

    JamiiForums Tanzania Uhuru wa maoni uwe na mipaka. Kinachoendelea sasa hivi Tanzania ni uchokozi

    Hakuna shaka yoyote, kwa sasa hivi tunaona Watanzania wengi, wanaojiita wasomi, wanaojiita mawakili wakitowa maoni yao kwa lugha ambazo ni za kuudhi, kukebehi, kukejeli mpaka kutusi. Haya yanayoendelea si maoni tena bali ni uvunjifu wa amani uliokusudiwa. Uhuru wa maoni ni lazima uwe na mipaka...
  4. K

    JamiiForums Tanzania CCM iwe maakini sana na mkataba huu wa bandari

    Suala la Mkataba wa Bandari kati ya Serikali ya Jamhuri wa Tanzania na DP World umejadiliwa sana na wananchi kuhusu changamot zote zilizopo kwenye mkataba huo. Huku nje wengi wa wananchi ni waelewa sana wengine ni Maprofesa, PhDs na nakadhalika wameishauri Serikali uupitie tena mkataba huu kwa...
  5. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania TANROADS imesaini mkataba wa Ujenzi wa Daraja la Simiyu lenye urefu wa mita 150 na barabara za Maingiliano zenye urefu wa km 3 kwa kiwango cha lami

    Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia TANROADS imesaini mkataba wa Ujenzi wa Daraja la Simiyu lenye urefu wa mita 150 na barabara za Maingiliano zenye urefu wa km 3 kwa kiwango cha lami kwa gharama ya shilingi bilioni 48.788. Akizungumza kwenye hafla fupi ya utiaji saini mkataba...
  6. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Mkataba wa bandari na DP World umetusaidia kujuana zaidi

    "Na hivi ndivyo tunavyoweza kutambua wazi kati ya walio watoto wa Mungu na walio watoto wa shetani. Mtu ye yote asiyetenda lililo haki si wa Mungu; wala asiyempenda ndugu yake si wa Mungu." (1 Yohana 3:10) KWANZA, Nimekubali kuwa ndugu hujuana vizuri wakati wa matatizo na migogoro. Hata...
  7. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Rais Samia ameuza bandari zetu zote zilizopo na zitakazokuwepo

    MKUTANO WA TUNDU LISSU, MBOPO, KAWE. "Samia ameuza bandari zote zilizopo na zitakazokuwepo, ametukosea sana" "Nimeshuhudia vitu vingi vya hovyo lakini sijawahi kushuhudia, mkataba wa hovyo kama huu, sijui huyu Mama anashauriwa na nani" "Mkataba huu haurekebishiki, ni wa kuufuta tu hakuna...
  8. mrdocumentor

    JamiiForums Tanzania Mnaopinga na mnaounga mkono mmeusoma mkataba?

    Bandari imetawanya watanzania katika makundi tofauti tofauti, kuhusu bandari mambo mengi yameibuka Kama siasa, udini, na muungano pia umehatarishwa katika suala hili la bandari. Na sio watu wote waliogawanyika wanafahamu chochote kuhusu mkataba husika kuna wale akina sisi ambao huwa tumezoea...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Lissu: Mkataba na DP World Rais Samia ametukosea sana!

    Huu ndiyo ulio ukweli: "Hatupoi!" Alipo sasa Rais Samia anayo namna moja pekee: "Kuufuta tu, mkataba huu ambao ni wa hovyo mno, usiorekebishika!"
  10. chiembe

    JamiiForums Tanzania Wakati tukiendelea kujadili mkataba wa DP World, wanachama wa Chadema tunataka iweke hadharani mkataba wa ununuzi wa jengo la Ofisi

    Mimi mwanachadema, na kwa muda Sasa tunapiga mdomo kuhusu mkataba wa Bandari na DP. Katikati ya mjadala, Kuna jengo limenunuliwa na chama chetu kwa mabilioni. Chama hakijatueleza nani alifanya uthamini wa jengo akapata thamani hiyo, nani katuuzia, fedha imelipwaje, na mkataba wa ununuzi uko...
  11. comte

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kama mnataka tuwaamini ili tuwape nchi wekeni hapa mkataba wa uhusiano wenu na NGO ya Kijerumani The Konrad Adenauer Stiftung (KAS)

    Mwaka 2004 CHADEMA iliingia ubia na NGO ya Kijerumani The Konrad Adenauer Stiftung (KAS) ili iwajengee uwezo wa kisiasa, kiutawala na kiufundi (technical assistance including capacity building for local leaders, programmatic support and structural coordination). TUWEKEENI HUO MKTABA HAPA WA UBIA
  12. Mr Why

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Malalamiko ya mkataba wa DP World yapelekwe CCM, Rais Samia hana makosa sababu anatekeleza sera za chama chake

    Ndugu zangu Wananchi, kuna jambo tunasahau kuhusiana na mkataba wa DP World. Malalamiko ya mkataba huo yamekuwa mengi sana lakini tatizo letu wananchi tumeshindwa kujua kuwa Rais Samia Suluhu Hassan hapaswi kulaumiwa hata kidogo, ni Rais msafi na mcha Mungu. Malalamiko yanayohusiana na mkataba...
  13. D

    JamiiForums Tanzania Toka mkataba wa kijambazi wa DP World uanze sijawasikia Hawa makamarada

    Toka sakata hili lianze sijasikia kauli thabiti kutoka kwa Mzee Philip Mangula na Abdulhaman Kinana. Kwenye mambo kama haya kauli za wazee ni muhimu sana. Hata David Cleopas Msuya. Kulikoni?
  14. V

    JamiiForums Tanzania Mkataba hauifungi DP World isiwekeze Congo na Rwanda. Waliizunguka Djibouti mizigo ya Ethiopia na Somalia ikawa kesi

    Associated Press Djibouti walicheza ngoma bandarini siku ya kwanza. Leo Djibouti wanalia machozi, DP World wamefukuzwa, Djibouti wanasema wameibiwa, wamelipa madola ya mafaini na magharama ya kesi za kimataifa. Hukumu ya siku za karibuni ilitoka mwezi May 2023 Washington DC. Kesi mahakamani...
  15. The Shah of Tanganyika

    JamiiForums Tanzania Yawezekana Mkataba huu wa DP World ni malipo (Retribution) ya Waarabu dhidi ya Tanganyika kuikalia Zanzibar?

    Nimesoma na kusikiliza hoja nyingi zilizojaa hisia kali juu ya hili sakata la DP World ya Uarabuni (Imarati ya Dubai) kukabidhiwa bandari zote za bahari, maziwa, mito na hata nchi kavu, alimradi imehusiana na bandari. Ni mambo ya ajabu sana ukitulia na kusoma kwa kutafakari. Lakini jambo...
  16. Doctor Mama Amon

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa UWT, UVCCM, Jumuiya ya Wazazi: Namna bora ya kumsafisha Rais Samia dhidi ya vumbi la mkataba wa Dubai hii hapa

    Mary Chatanda, Mwenyekiti wa Taifa wa UWT (Taifa) Leo mchana wa tarehe 03 Julai 2023, Mwenyekiti wa Taifa wa UWT (CCM), Mary Chatanda, amehutubua Taifa kupitia TBC, akiwa mkoani Njombe. Ameonyesha dhamira ya kupangusa “uchafu” unaotishia kuzima nyota ya Rais Samia. Lakini mbinu aliyoitumia ni...
  17. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mawakili wataka Serikali ieleze sababu ya 'Kusaini’ Mkataba wa Bandari bila kushirikisha Wananchi

    Mahakama Kuu Kanda ya Mbeya itaanza kusikiliza maombi ya kupinga mkataba uwekezaji wa bandari kati ya Serikali ya Tanzania na Dubai kupitia Kampuni DP World baada ya kupokea majibu ya Serikali. Katika maombi hayo ya kikatiba, waleta maombi wanaitaka Serikali kuieleza mahakama sababu za kile...
  18. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania IGA ni nini na inatofauti gani na HGA (Na mkataba nini na unatofautiana vipi na makubaliano?

    Samahani wadau nawaalika katika huu mjadala wa kuelezea kwa kina juu ya mada tajwa hapo juu inayosema "IGA ni nini na inatofauti gani na HGA (Na mkataba nini na unatofautiana vipi na makubaliano?) Kumekua na mkanganyiko juu ya hizo terminologies, mwenye kujua maana zake tunaomba ufafanuzi wa...
  19. Mparee2

    JamiiForums Tanzania Kwenye Mkataba wa DP world Watanzania wanapotoshwa!

    Nafikiri huu mkataba ulichokosa ni Schedule of amendment au kikomo cha mkataba, mengine yanaongeleka
  20. J

    JamiiForums Tanzania Anna Tibaijuka: Dubai ni Mshindani Wetu kwenye kuendeleza Transhipment potential, tukimkabidhi Bandari zote ni sawa na Kujinyonga!

    Prof Anna Tibaijuka anasema Dubai ni Mshindani Wetu kwenye kuendeleza Transhipment potential so tukimkabidhi Bandari zote ni sawa na Kujinyonga Tibaijuka anasema kupitia Ukurasa wake wa twitter kwamba bado ana Imani Mkataba Huo wa DP World utarekebishwa kwa kutumia Wataalamu Wetu wa Uchumi...
Back
Top Bottom