mkapa

Benjamin William Mkapa (12 November 1938 – 24 July 2020) was a Tanzanian politician who served as the third President of Tanzania. He was in office for one decade from 1995 to 2005. He was Chairman of the Revolutionary State Political Party (Chama Cha Mapinduzi, CCM).

View More On Wikipedia.org
  1. Roving Journalist

    Rais Samia Suluhu Hassan alivyotembelea kaburi la Hayati Benjamin Mkapa

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiweka shada la maua kwenye kaburi la aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tatu Hayati Benjamin William Mkapa, Kata ya Lupaso, Masasi Mkoani Mtwara tarehe 16 Septemba, 2023. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan...
  2. T

    Nimeota robo robo fc atapigwa mkono na al ahly kwenye mechi ya ufunguzi, AFL, October, 5 kwa Mkapa

    Leo mchana nimeota ndoto mbaya inahusu kolowizadi kupigwa mkono na Al ahly October 5, kwa mkapa na kule Masri nikasikia watu kama waarabu wanaimba sabah sabah sabah. Wala Sijui walimaanisha nini
  3. GENTAMYCINE

    Kwanini Misafara ya Nyerere mpaka Mkapa haikuwa na gari za wagonjwa kama ilivyo kwa Marais waliofuatia?

    Katika hi mada yangu (huu Uzi wangu) leo kipaumbele changu kikubwa kitakuwa ni kusoma tu comments zenu ili nami GENTAMYCINE niwe mjuvi wa mambo mengi hasa yale yaliyojificha/yaliyofichwa.
  4. DELETED ACCOUNT

    Tujihadhari tunapoendelea kujaza uwanja wa Mkapa kuzidi uwezo wake

    Mainjinia waliochora na kuujenga uwanja wa Ben Mkapa walijenga uwanja huo kwa uwezo wa kuchukua uwezo siyo tu wa idadi ya mashabiki wanaotajwa wa 60,000 lakini pia makadirio ya uzito fulani. Ni kawaida kwenye mechi kubwa, mfano kama shughuli ya jana ya Simba Day kwa watu kuingizwa kuzidi idadi...
  5. Nsanzagee

    Lissu alimkemea Magufuli na Mkapa ambao ni wakatoliki wenzie, huo udini anaopakaziwa sasa unatoka wapi?

    Watu wakiishiwa hoja, husingizia jinsia ama dini! Lissu sifahamu kama ni Mkristo ama dini gani. Ninachojua Tundu Lissu kwake suala la dini, ni la mtu na Mungu wake na siyo Tanzania inajisiwe na mtu awaye yote kwa sababu ya dini yake Inapotokea kiongozi yeyote anakuwa kinyume na sheria za nchi...
  6. BARD AI

    Kupandikiza Uume Hospitali ya Benjamin Mkapa ni Tsh. Milioni 6 hadi 10

    Hospitali ya Benjamin Mkapa imetaja gharama za kupandikizwa uume kuwa ni kati ya Sh6 milioni hadi Sh10 milioni. Hayo yamesema leo Jumanne Agosti Mosi mwaka 2023 na Mkurugenzi Mtendaji wa hospitali hiyo, Dk Alphonce Chandika wakati akielezea vipaumbele vya bajeti kwa mwaka wa fedha 2023/24. Dk...
  7. DELETED ACCOUNT

    Je, ipo nia ya dhati kuukarabati uwanja wa Benjamin Mkapa kwa wakati?

    Habari za mipango ya kufanyiwa ukarabati uwanja wa Benjamin Mkapa zimeanza kutolewa zaidi ya miezi 3 iliyopita. Najua serikali ina taratibu zake kuanzia kutafuta pesa hadi wazabuni wa kufanya kazi husika, ila naona kuna hali fulani ya kujikongoja na kujivuta kwenye suala hili. Zamani kabisa...
  8. GENTAMYCINE

    Kama Uwanja wa Benjamin Mkapa una jumla ya Taa 248 kwanini zinazowaka ni 124 tu?

    Yaani Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Bwana Said Yakubu ni kweli hujui kwanini Taa hizo Nusu ndiyo huwashwa kama ulivyotanabaisha katika Mkutano wako na Waandishi wa Habari leo? Sasa Mimi GENTAMYCINE kabla sijakupa Jibu kwanini Taa ziko 248 kwa Ujumla wake pale Benjamin Mkapa...
  9. Superintendent kimura

    Serikali yasaini mkataba wa Bilioni 30 kukarabati Uwanja wa Benjamin Mkapa

    Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni Sanaa na Michezo, Said Yakubu amesema Serikali ya [emoji1241] imetoa Tsh 30 𝘽𝙄𝙇𝙇𝙄𝙊𝙉 kwa ajili ya kuufanyia ukarabati uwanja wa Mkapa. Amesema maboresho hayo yatafanyika katika maeneo ya kuchezea, vyumba vya wachezaji na kutoa viti vyote vya uwanja huo. Uwanja...
  10. Ileje

    Tetesi: Simba hati hati kutumia uwanja wa Benjamin Mkapa!

    Wizara ya michezo kupitia kwa Kaimu Mkurugenzi wa michezo imesema huenda club ya Simba ikazuiwa kutumia uwanja wa Benjamin Mkapa wakati wa kusherehekea kilele cha wiki ya Simba kwa sababu ya matengenezo yatakayoanza mapema wiki ijayo. Matengenezo hayo ni maandalizi michuano ya Super League...
  11. USSR

    Nani anakumbuka ajali ya msafara wa Rais Hayati Mkapa dhidi ya lori kwenye kona ya Bwiru mkoani Mwanza

    Nakumbuka harakati za ubifsishaji enzi za Mkapa na mwamko uliokuwepo enzi zile dhidi ya mzee Mkapa hasa wakosoaji wakubwa wakiwa wastaafu hasa kundi la Nyerere, wananchi wa kawaida nao wakikomaa na kusema kuwa nchi yao inauzwa Mkapa akawa adui wa watu wengi hadi watu kuita umaskini eti "ukapa" ...
  12. Poa 2

    Mashirika ya umma na rasilimali za nchi zinazoendelea kuuzwa kwa kivuli cha mikataba

    Ni uchungu sana kuona kwamba rasilimali za taifa, mashirika ya umma na hata utu na uhuru wetu unaendea kuchezewa na wachache au yeyote atakayepewa mamlaka ya urais wa nchi hii. Yaani yeye na watu wake kwa kipindi chake. Kila rais anayeingia madarakani hupiga pake na kutulia kimya akijua...
  13. mtwa mkulu

    Hayati Benjamin William Mkapa na uwekezaji

    Benjamin William Mkapa katika hotuba ya uzinduzi wa kitabu chake alikiri kuwa, Moja ya kosa alilojutia ni suala la Ubinafsishaji. nanukuu kauli yake; "Nikiri kuwa moja kati ya kitu kinachoniuma zaidi nilichokifanya kipindi cha utawala wangu ni kuruhusu sera ya ubinafsishaji. Sera hii...
  14. The Boss

    Kabla ya kumkosoa Rais Samia, tumuombe radhi kwanza Hayati Mkapa na familia yake na washauri wake

    Sisi wengine tulikuwepo wakati Rais Mkapa (1995-2005)anatukanwa kila siku kuwa "anauza nchi Kwa makaburu".....ilifikia wakati hadi nyimbo zilitungwa zikimuimba naukumbuka wimbo mmoja .."Kama sio juhudi zako Nyerere, Mkapa angeuza nini"???..Mkapa alikuwa anatukanwa kisa ni kuleta wawekezaji wa...
  15. Mwanadiplomasia Mahiri

    FT: Tanzania 1-0 Niger | AFCON Qualifier | Estadio Benjamin Mkapa | 18.06.2023

    Leo majira ya saa 10 alasiri Taifa stars itachuana na Niger katika mchezo wa kufuzu Afcon 2024. Tutakuwa mubashara kupitia uzi huu
  16. The Burning Spear

    Watanzania Hotuba hii ya Mkapa itufumbue Macho

  17. The Father of All

    Nyerere, Mwinyi na Mkapa walipewa udaktari wa heshima lakini hawakutumia kunani hawa wanaoutumia?

    Ni kawaida kwa marais wa Kiafrika kupewa udaktari wa heshima japo ni nadra kwa marais wa nchi za magharibi. ingawa rais Barak Obama anaweza kuvunja rekodi ya kuzipokea lakini asijiite dokta hata mara moja. Je, ni kwanini? Je ni ile hali ya kutaka sifa, kutojiamini, kupenda ujiko bila kuusotea...
  18. DELETED ACCOUNT

    Kwanini Uwanja wa Mkapa usiezekwe bati?

    Moja ya changamoto kubwa ya Uwanja wa Mkapa ni kuharibika mara kwa mara kwa sehemu ya kuchezea kutokana na jua kali au mvua. Leo nakuja na pendekezo kuntu, kwa nini tusiezeke bati kumaliza changamoto hizi? Kule Singapore wana uwanja ambao paa lake linaweza kufungwa au kufunguka kulingana na...
  19. Bill

    Sendoff ya Yanga imefanyika kwa Mkapa, Harusi na kuvaa Madela/Medali itakuwa Algeria Jumamosi

    Yanga, amemaliza sherehe ya kuaga Mashindano ya Losers, CAF confederation CUP. Wageni na washuhudiaji karibu milioni 60 walihudhuria sherehe ya sendoff au kuagwa kwa Yanga Mashindano ya Losers. Harusi ni Jumamosi, Yanga wanaenda tayari wamejiandaa kuvalishwa madela au medali. Hili ni tukio la...
  20. GENTAMYCINE

    Kama Waalgeria 10 juzi Waliwanyamazisha Kiushangiliaji Mazuzu FC 60,000 kwa Mkapa. Kwao wakiwa 17,000 hiyo Juni 3 itakuwaje?

    Asikudanganye Mtu hapa Barani Afrika hakuna Watu wanaojua Kushangilia Viwanjani na Kufanya Fujo na Vitimbi vya kila aina ili Kummaliza kabisa Mpinzani Kama Mwarabu na hasa hasa Waarabu wa Misri na Algeria. Kama juzi tu kwa Mkapa walikuwepo Waarabu Kumi ( 10 ) tu ila Shughuli yao Kiushangiliaji...
Back
Top Bottom