Waziri wa Uchukuzi, Profesa Makame Mbarawa ametembelea Mradi wa Ujenzi wa Reli ya SGR eneo la Makutupora - Tabora na kusema “Kazi inaendelea vizuri ingawa kuna changamoto kadhaa, kubwa ikiwa ni kasi ya mradi ambayo tuliitegemea imepungua, leo tulitegemea Mradi ufikie takribani 22% lakini tupo...