Mkandarasi wa Reli ya SGR, Yapi Merkezi atangaza zoezi la kupunguza wafanyakazi 648

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Apr 18, 2017
2,812
11,987
Yapi 2.JPG

TAARIFA YA KUSUDIO LA KUPUNGUZA WAFANYAKAZI (BAADHI)
TAREHE 25/11/2023

KWA: YAPI MERKEZI INSAAT VE SANAVI AS MAKUTUPORA TABORA

Rejea kichwa cha habari hapo juu
Wiki ladhaa nyuma kulikua na mchakato wa kupunguza wafanyakazi, mchakato huo ulifutwa baada ya sintofahamu ya namna waathirika wa zoezi walivyopatikana na hata malalamiko ya orodha kuwa inabadilika mara kwa mara.

Menejimenti ilisikia malalamiko hayo na kufuta zoezi ili kufuatilia kila idara na kuja na orodha ambayo inakidhi matakwa ya kisheria na ivyotarajiwa kuleta manung’uniko.

Zoezi linaanza upya na hii ni TAARIFA, "NOTICE RASMI YA KUSUDIO LA KUPUNGUZA WAFANYAKAZI (BAADHI)

Baada ya kufikiria kwa uangalifu, mwajiri wako YAPI MERKEZI INSAAT VE SANAYI AS anafikiria kuanza mchakato wa kupunguza wafanyakazi kwa majibu wa sheria, mazungumzo ama mashauriano yanatakiwa kufanywa kati ya uongozi na wafanyakazi walengwa kupitia uwakilishi watakao uchagua hii ikiwa ni pamoja na chama cha wafanyakazi wa sekta husika.

Uamuzi wa mwisho wa mwajiri unategemea mapendekezo yatakayofikiwa kwa pamoja kati ya wafanyakazi walengwa wasio wanachama wa chama cha wafanyakazi TAMICO na uwakilishi wa chama cha wafanyakazi (TAMICO), Mambo muhimu ya kuzingatia:

1. Kwa nini mwajiri anafikiria kupunguza wafanyakazi.
Kumetokea ulazima wa kiutendaji kufunga kambi za Manyoni na Nyahua na hali ya mvua kwa mujibu wa mamlaka ya hali ya hewa (TMA) hatua hii inapunguza shughuli za utendaji na kampuni haiwezi kuendelea kuwa na idadi kubwa ya wafanyakazi kama awali kabla ya kufungwa kwa kambi hizi.

2. Njia mbadala kabla ya kupunguza.
Mwajiri hakupenda kuachisha wafanyakazi, alikuja na mapendekezo ya likizo isiyo na malipo ILA ina nafuu ya kulipiwa 6% yote ya NHIF na asilimia 14.28 ya kima cha chini cha mshahara ndani ya kampuni kwa wote na kwa mkupuo mmoja, hili halikuafikiwa na wafanyakazi, limekataliwa.

3. Idadi ya wafanyakazi wanaoweza kuathiriwa.
Zoezi hili linatarajiwa kuathiri wafanyakazi wapatao 648 mara baada ya makubaliano, na upunguzwaji utaendelea hatua kwa hatua hadi kufikia 648.

4. Vigezo vya uteuzi:
Kielelezo cha uteuzi ni wakwanza kuajiriwa wa mwisho kupunguzwa na wa mwisho kuajiriwa wa kwanza kupungurwa (Last-in, First-On) katika kitengo/idara itakayoathirika.

5. Muda wa kuanza kupunguza.
Imekusudiwa kwamba mchakato wa ushauri uweze kukamilika ifikapo tarehe 06/12/2023 au KABLA YA HAPO. Ni kusudi la mwajiri kushauriana na wewe kwanza katika kipindi hiki kabla ya uamuzi wowote wa mwisho kuchukuliwa.

Ili kuhakikisha sheria ya Ajira na Mahusiano mema kazini inafuatwa, mwajiri anakujulisha rasmi kuhusu kupunguzwa kwa wafanyakazi.

Unaalikwa kutoa awasilishaji kushiriki kupitia mwakilisha utakayemchagua akuwakilishe katika kikao cha mashauriano au majadiliano juu ya kusudio la kupunguza wafanyakazi (BAADHI).

Inapaswa kusisitizwa kuwa hakuna uamuzi wa mwisho ambao umechukuliwa jua ya suala hili, uamuzi wa mwisho utachukuliwa baada ya mashauri kamili na wewe au mwakilishi wako.

Ikiwa utahitaji msaada wowote zaidi au una maoni yoyote kuhusu yaliyoelezwa hapo juu, tafadhali jisikie huru kuyaleta wakati wa vipindi vya mashauriano.

Imetolewa na;
IDARA YA RASILIMALI WATU
YAPI MERKEZI INSAAT
MRADI WANJIA YA TRENI YA MWENDO KASI MAKUTOPORA - TABORA 25/11/2023
 
YEPI anaogopa kusema ukweli kuhusu ...kutolipwa na serikali zaidi miezi 8 sasa anadaiwa kila kona ....watoa huduma wootebwanamdai sana zaidi miezi 8 hajawalipa kabisa ....
 
View attachment 2825348

Hapo kwenye "kumuita mfsnyakazi, atoe maoni yake kuhusu zoezi LA kupunguzwa" Huwa ni upuuzi, kampuni imeishanitangazia kuwa panga linakuja! Harafu unaniita nije tujadiliane, nitoe maoni, ! Mimi hapo na kuwa nimeisha panick! Stress kibao! For fucks sake, tajeni package mnayotoa, na toeni hata notice ya miezi mitatu, kingine kuwasaidia, kama mna miradi mingine, au kuna kampuni zipo tayari kuwachukua baadhi, weka mezani!
 
Kweli Watanzania hakuna kitu tutafanya na kikafanikiwa.

Huo mradi wa Reli pamoja na ule wa Bwawa la Mwl Nyerere ilianza vizuri wakati wa mwanzoni ila kwasasa zimebaki danadana kwenye ukamilishaji wake.

Serikali imeshindwa kuwalipa Wazabuni ili miradi ikamilike, mwisho wa siku Wazabuni wanaamua kupunguza matumizi kwa kupitisha redundancy kwa Watumishi wao.

Hii ina implies kuwa Miradi hiyo haitakamilika leo ama Mwakani.

Ndiyo maana Serikali imeanza kutoa majibu ya kujikanganya.

Waziri anasema Mradi utakamilika Mwezi February, baadaye wanasema April baadaye wanakwambia Mwakani.

Iwapo Mhe. RAIS angefanyia kazi hii miradi na ikakamilika, ilikuwa ni tiketi yake kuendelea kuaminiwa na Wananchi.

Lakini kwasasa Wananchi wengi wamepunguza Imani yao kwake.

Maana hali ya Umeme imekuwa shida, ina maana Bwawa lingekamilika walau tungeona Userios wa Serikali badala ya kuendelea kutupiga danadana utasema tumekuwa watoto wa shule za msingi.

Haina Maana kuendelea kudanganya kuwa Mnakusanya trilioni 1.7 kila Mwezi alafu mshindwe kuwalipa Wazabuni.

Pole Mama Tanzania 😢🙌
 
Kwel mkuu.aisaidii chochote wakati umeshasema ntapunguzwa.
 
Imeisha hiyo
 
Back
Top Bottom