Kwa mtumiaji yeyote wa barabara ya Morogoro Rd, atakubali Ubungo Mataa - Kimara ni sehemu fupi ila ya kero sana kwenye foleni.
Sasa huyu mkandarasi yeye amechimbua chimbua kila sehemu halafu ameacha na magari ametoa, inapelekea foleni moja kubwa sana.
Mfano, pale Kimara Mwisho pana foleni kali...
Barabara ya kimara - ubungo mwanzo walikuwa wanapiga kazi hadi usiku ukipita unaona mataa watanzania tukasema hapa kazi tu kweli pilika pilika fasta fasta ila miaka nenda rudi huu mwaka ni watatu Barabara bado haijakamilika ..........?
Nini kifanyike tuweze kwenda kasi katika mambo ya ujenzi
Mkandarasi wa Kampuni moja ya ujenzi mjini moshi(jina kapuni kwa sasa)anadaiwa kuingia mitini na shilingi Milioni 51 alizopewa na Askafu Mstaafu wa Kanisa la Tanzania Asseblies of God(T,A.G).Glorious Shoo.
Mkandarasi huyo aliingia mkataba na kupewa kiasi hicho cha pesa kama malipo ya awali kwa...
Habari za muda huu
Naomba nitoe taarifa kwaa mamlaka husika waweze kutusaidia raia na Wafanyabiashara wa Buguruni , hususani wa kipande kinachoelekea Buguruni Kwa Mnyamani kuanzia Mataa, maana vumbi linatuathiri sana.
Kutokana na ujenzi unaondelea wa Barabara mkandarasi anamwaga maji upande wa...
Waziri wa Maji, Jumaa Aweso, amewaonya Wakandarasi wanaochekelewesha ameonesha Miradi ya Maendeleo na kuonyesha kutoridhishwa na kasi ya utekelezaji wa Mradi wa Maji wa Miji 28 unaotekelezwa katika Wilaya za Wanging’ombe na Makambako, Mkoani Njombe.
Akizungumza katika ziara yake ya kikazi...
Mwanachama wa JamiiForums.com aliandika "Ningependa kutoa kero yangu kuhusu hali ya Vitambulisho vya Taifa vinavyotolewa na Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) kufutika kwa haraka mno, na hii ni kwa vitambulisho vinavyotolewa kipindi hiki vinapoteza maandishi kwa muda mfupi tangu vitolewe...
Waziri wa Maji Jumaa Aweso (Mb) amemtaka mkandarasi wa mradi wa maji wa miji 28 wilayani Mafinga kampuni ya Jandu Plambers LTD kuongeza kasi ya utekelezaji wa mradi ili kufanikisha hitaji la huduma ya majisafi kwa wakazi wa Mafinga kwa wakati.
Mradi huo katika mji wa Mafinga ni sehemu ya mradi...
Hivi huyu mkandarasi anayejenga Daraja la Mkuyuni hapa Mwanza anakuwa na shida gani ya kutomwaga maji kwenye barabara ya muda.
Unakuta inaweza kuchukua mpaka siku mbili Watu tunateseka na vumbi hii, kwanza watumiaji wa vyombo ni hatari kwao kwa kuwa vumbi likiwa jingi ni vigumu kuona...
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais- TAMISEMI, Mohamed Mchengerwa amemtaka Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam na mamlaka zilizo chini yake kumsimamia kwa ukamilifu mkandarasi anayetekeleza ujenzi wa Barabara ya Banana-Kitunda-Kivule-Msongola kwa kiwango cha lami na kuchukua hatua za kisheria ikiwemo kuvunja...
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania chini ya uongozi wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, imeanza utekelezaji wa mradi mkubwa wa ujenzi wa ofisi mpya ya Mkuu wa Mkoa wa Kagera kwa gharama ya jumla ya shilingi bilioni 9, ambapo awamu ya kwanza imepokea shilingi bilioni 4.6.
Ujenzi huo...
Wakuu
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Dkt. Juma Zuberi Homera amemwagiza Mkuu wa Wilaya ya Mbarali kumweka Ndani Saa 48 Mkandarasi anayejenga daraja la Mto Ruaha mkabala na Itipingi-Mkandami endapo atashindwa kukamilisha Mradi huo mpaka ifikapo June 30,2025
Ameyasema hayo Leo akiwa Wilayani Mbarali...
ULEGA AMBANA MKANDARASI BARABARA KUELEKEA MAKAO MAKUU YA JESHI (JWTZ).
Amtaka akabidhi barabara ifikapo Disemba mwaka huu
Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega amemtaka Mkandarasi Kampuni ya CHICO kukamilisha ujenzi wa barabara ya Kikombo – Chololo - Mapinduzi (Makao Makuu ya Jeshi la Ulinzi la...
Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega amemtaka Mkandarasi Kampuni ya CHICO kukamilisha ujenzi wa barabara ya Kikombo – Chololo - Mapinduzi (Makao Makuu ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi-TPDF) yenye urefu wa kilometa 16.4 kwa kiwango cha lami ifikapo mwezi Disemba, 2025.
Ulega ametoa maelekezo hayo...
Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega ameeleza msimamo wa Serikali wa kutomwongezea muda mkandarasi atakaechelewesha kukamilisha mradi.
Waziri Ulega ameyasema hayo leo tarehe 26 Mei 2025 alipokuwa akikagua ujenzi wa barabara ya Mitesa-Masasi (km 60) yenye thamani ya Shilingi Bilioni 92 na...
Mkuu wa Mkoa wa Dar ea Salaam, Albert Chalamila amemtaka mkandarasi anaefanya upanuzi wa barabara ya Morogoro kuanzia eneo la ubungo mataa hadi kimara kuongeza kasi ya ujenzi wa barabara hiyo ili kupunguza adha ya msongamano wa magari kwa wananchi
RC Chalamila ameyasema hayo Aprili 10,2025...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Mohamed Mchengerwa, amemtaka mkandarasi wa Kampuni ya Nyanza Road Works kuongeza kasi ya ujenzi wa Daraja la Mbambe lenye urefu wa mita 81 ili likamilike kwa wakati na kuondoa adha inayowakabili wananchi wa Wilaya ya Rufiji.
Mchengerwa akitoa maelekezo...
Nimefanikiwa kupita kwenye Stendi ya Bukoba ambayo iliezwa na Viongozi wetu wa Serikali kuwa inafanyiwa ukarabati mkubwa, nimekuta kwa sasa ujenzi unaendelea baada ya kusimama kwa zaidi mwaka mzima.
Mnamo Januari 2025 nilileta hoja hapa Jukwaani nikaeleza kwamba ujenzi umesimama na mkandarasi...
Serikali imehimizwa kumsimamia mkandarasi wa mradi wa ujenzi wa barabara ya Tanga-Pangani ili kuhakikisha anamaliza kwa wakati. Katika mradi huo hatua ya kwanza (lot one) ya ujenzi wa barabara ya Afrika Mashariki, kipande cha kilomita 34 kilichosalia cha Tanga-Pangani, ambacho kwa mujibu wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.