Kagera: Serikali yaagiza Mkandarasi anayejenga Barabara ya Kanyinabushwa kuchukuliwa hatua

Papaa Mobimba

JF-Expert Member
Jan 27, 2018
754
3,097
Serikali kupitia Wizara ya Ujenzi imeagiza Mkandarasi anayejenga Barabara ya Kanyinabushwa hadi Mbale A Wilayani Misenyi achukuliwe hatua baada ya kujenga Makaravati bila kuzingatia Viwnago

Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amezitaka Bodi za Usajili ya Wahandisi (ERB) na Bodi ya Usajili ya Wakandarasi (CRB) kufika haraka kwenye mradi huo ikiwa ni baada ya kusambaa kwa Video inayoonesha malalamiko ya Wananchi kuhusu ujenzi

Bashungwa ametoa onyo kwa Wakandarasi na Wasimamizi wanaojenga na kusimamia ujenzi wa Miundombinu ya Barabara chini ya kiwango hali inayosababisha kuharibika mepema na kuhatarisha maisha ya watumiaji wa Barabara
IMG-20240117-WA0033.jpg


IMG-20240117-WA0034.jpg
 
Untitled.png

KAGERA: Serikali kupitia Wizara ya Ujenzi imeagiza Mkandarasi anayejenga Barabara ya Kanyinabushwa hadi Mbale A Wilayani Misenyi achukuliwe hatua baada ya kujenga Makaravati bila kuzingatia Viwnago.

Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amezitaka Bodi za Usajili ya Wahandisi (ERB) na Bodi ya Usajili ya Wakandarasi (CRB) kufika haraka kwenye mradi huo ikiwa ni baada ya kusambaa kwa Video inayoonesha malalamiko ya Wananchi kuhusu ujenzi.

Bashungwa ametoa onyo kwa Wakandarasi na Wasimamizi wanaojenga na kusimamia ujenzi wa Miundombinu ya Barabara chini ya kiwango hali inayosababisha kuharibika mepema na kuhatarisha maisha ya watumiaji wa Barabara.
 
Back
Top Bottom