mjini

Mjini is a settlement in Kenya's Central Province.

View More On Wikipedia.org
  1. TODAYS

    JamiiForums Tanzania Kuwasili kwa treni ya abiria jijini Arusha kwa mara ya pili baada ya miaka 30

    Katibu wa itikadi na uenezi wa CCM ndugu Polepole leo anazindua Huduma ya usafiri wa treni kati ya Moshi na Arusha. Mkoa mzima umetulia kimya na watu wote wameelekea stesheni kushuhudia treni ya kwanza ya TRC iliyobeba makada wa CCM ikianza safari ya kihistoria.
  2. Course Coordinator

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ilikuwaje Deo Mwanyika wa ACACIA aliyehukumiwa kwa Uhujumu Uchumi achaguliwe na CCM kugombea Ubunge Njombe Mjini?

    Kama ambavyo Rais Magufuli amekuwa akijigamba kuwa anapambana na mafisadi wakwepa kodi na wahujumu Uchumi pamoja na mabeberu kwa kupitia kauli yake ya vita ya kiuchumi. Huyu Mwanyika ndo Rais aliyetutangazia kuwa amawasiliano na wanasiasa wa upinzani ili wamuhujumu hadi kutoa ile kauli yake...
  3. MAHANJU

    JamiiForums Tanzania OCD Mbeya mjini acha chuki binafsi kwa SUGU, kuwa makini usiuletee mji matatizo. Jifunze!

    Wasalaam wajumbe humu! Leo hii kila jimbo ambapo CCM wamechukua form za ubunge na udiwani maeneo mengi nchini wameandamana kwenda ofisi za NEC.Lakini huyu OCD wa mji wa Mbeya sijui kaishia darasa la ngapi, nimeona live akiongea maneno yaliyojaa chuki dhidi ya SUGU eti akidai ana heshima gani...
  4. thetallest

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mechi kali nne za Uchaguzi Mkuu wa Wabunge ni majimbo ya Arusha Mjini, Kawe, Mbeya Mjini na Tarime Vijijini

    1: Mwita Waitara Vs John Heche - Tarime Vijijini 2: Tulia Acskon Vs Sugu - Mbeya Mjini 3: Askofu Gwajima Vs Halima Mdee - Kawe 4: Mrisho Gambo Vs Godbless Lema - Arusha Mjini Hizi ni mechi kali sana za kukata na shoka . Nategemea wote wafanye kampeni za kistaarabu, wakinadi sera zao ili...
  5. CUF Habari

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mgombea Ubunge jimbo la Tabora Mjini kupitia CUF, Mirambo Camill akabidhiwa fomu ya uteuzi

    Mgombea Ubunge Jimbo la Tabora Mjini Mhe. Mirambo Camill amekabidhiwa fomu ya uteuzi na Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Tabora Mjini mapema leo
  6. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Mapokezi ya Tundu Lissu, mjini Morogoro leo

    Mikumi kata ya Ruaha
  7. ACT Wazalendo

    JamiiForums Tanzania GE2020 Orodha ya wagombea ubunge chama cha ACT Wazalendo

    Majina ya waliopitishwa kugombea ubunge ACT Wazalendo
  8. Tajiri Tanzanite

    JamiiForums Tanzania GE2020 Wana Arusha tumrudishieni Dkt. John Magufuli asante ya kufikisha usafiri wa treni Arusha, kwa kuifuta CHADEMA hapa mjini

    Hapo vipi! Ni kwa muda mrefu Arusha imezorota kimaendeleo,mpaka vimikoa vidogo vinakua kasi ukilinganisha na Arusha yenye fursa nyingi za kiuchumi. WanaArusha nyie ni mashaidi juu ya kupwaya na kulala kwa fursa mbalimbali zilizopo katika mkoa wa Arusha. Arusha kama miaka kumia imegeuzwa na...
  9. The Palm Tree

    JamiiForums Tanzania CHADEMA, Mungu - Yehova anawapenda. Matukio ya Arusha na Hai ni taarifa njema kwenu.!!

    It sounds awkward, lakini ndivyo ilivyo. Kwamba iweje ofisi kuchomwa moto iwe ni jambo jema? Iweje msafara wa mgombea Urais Tundu Lissu ushambuliwe mbele ya macho ya polisi liwe jambo jema? Iweje Tundu Lissu ashambuliwe kwa Risasi za kivita za SMG na AK47 iwe ni jambo jema? Well. Tufutane ili...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Victor Njau mtia nia ubunge Arusha Mjini (CCM) aokotwa akiwa hana fahamu na majeraha mwilini, alazwa hospitali ya Mt. Meru

    Mgombea ubunge wa Arusha mjini kupitia CCM Victor Njau ameokotwa akiwa na majeraha huku amepoteza fahamu. Hivi karibuni Njau aliwatuhumu wagombea wenzake kuwa wametoa rushwa iliyotukuka kwenye zoezi la kura za maoni. Victor Njau amelazwa katika hospitali ya Mt. Meru.
  11. dubu

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu alakiwa na Maelfu ya Wakazi wa Bunda Mjini, Wajaza fomu za Udhamini

    Kutoka Kushoto: Salum Mwalim Mgombea Mwenza wa Urais wa Tanzania(CHADEMA), Tundu Lissu Mgombea Urais wa Tanzaniana(CHADEMA) Esther Bulaya Mgombea ubunge Jimbo la Bunda Mjini Kupitia CHADEMA Mgombea Urais wa Chadema Mhe. Tundu Lissu akiwa ameambatana na Mgombea mwenza Mhe. Salum Mwalim...
  12. A

    JamiiForums Tanzania GE2020 Musoma yarindima Lissu akilakiwa kwa Shangwe kubwa, fomu za dhamana zajazwa

    Hali ya hewa siyo rafiki Musoma Mjini Kuna mvua inanyesha tangu saa moja asubuhi. Huwezi amini watu wamefika na mvua hiyo, na Mh. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania hajafika, bado yuko Mwanza. Haijapata kutokea! Mgombea Urais kupitia Chadema Tundu Lissu ameingia Musoma kwa Shangwe...
  13. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Yaliyojiri mjini Kahama katika mapokezi ya Tundu Lissu

    Ni Kama vile shughuli zimesimama katika mji wa Kibiashara wa Kahama. Mamia kwa Mamia ya wakazi wa mji wa Kahama wako majiani wakisubiri ujio wa kipenzi chao Tundu Antipass Lissu anayetarajia Kuwasili hapa wakati wowote kuanzia sasa Kuna idadi kubwa ya vijana wa bodaboda wameondoka kwenda...
  14. N

    JamiiForums Tanzania Tujengewe Chuo Kikuu mjini Singida kwa maendeleo ya mji

    Mji wa Singida uko katika ya Inchi lakini kitu cha ajabu sana ni kwamba hakuna hata chuo kikuu kimoja. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Dr. Pombe John Makufuli anapotangaza kuwa anatoa mikopo kwa zaidi ya Wanafunzi 100,000, kwa mwaka ni pesa nyingi sana inalipwa. Katika pesa hii...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Nyerere 1995 Mjini Iringa: Rais mchagueni Mhe. Mkapa lakini Mbunge chagua Mgombea atakayewafaa Jimboni

    Sabato ya leo nimejikuta najikumbusha kizungumkuti cha Uchaguzi Mkuu wa 1995 katika jimbo la Iringa Mjini. Wagombea wetu walikuwa Ben Mkapa ( CCM) vs Lyatonga Mrema ( NCCR mageuzi) kwa urais. Mwalimu wa Kemia Mfalamagoha Kibassa ( NCCR mageuzi) vs Kachero mbobezi Dr Hassy Kitine ( CCM) kwa...
  16. M-FINANCE

    JamiiForums Tanzania Utaratibu wa Mikopo midogo midogo kwa Bukoba Mjini- Wakopeshaji

    Nani mwenye kuwajua wakopeshaji Binafsi kwa Kagera? Kiwango kinachoanzia angalau 5m and above Tuwasiliane kuna jambo la joint
  17. mfalmeselemani

    JamiiForums Tanzania CCM yaombwa kuchunguza rushwa Tarime Mjini

    Na Mwandishi Wetu HALI ya sintofahamu inazidi kugubika ushindi wa Jackson Kangoye kwenye kura za maoni katika jimbo la Tarime Mjini, baada ya viongozi wa Chama wilaya kukiuka taratibu na kumbeba Kangoye. Taarifa za kuaminika ilizozipata zilidai kuwa Kangoye ametumia fedha lukuki ikiwemo kutoa...
  18. Blessed Keinerugaba

    JamiiForums Tanzania UHITAJI WA FUNDI WA COMPUTER DODOMA MJINI

    Ninawasalimka ndugu wajumbe. Ninatafuta mtaalamu wa Kompyuta kwa Dodoma. Komyuta yangu imekuwa na changamoto inapowashwa hai-display chochote. Kama yuko fundi humu kwa upande wa Dodoma tunaweza kuwasiliana PM, ikiwa kuna mtu anamfahamu fundi mikini nitashukuru kupata mwongozo tafadhali!
  19. N

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ubunge Tarime Mjini: Ngicho ahamishia nguvu zake kwa Gerald Martin

    UBUNGE TARIME MJINI: NGICHO/WAITARA WAHAMISHIA NGUVU ZAO KWA GERALD MARTIN Kura za maoni Jimbo la Tarime Mjini zilifanyika tarehe 21 Julai 2020 na Jackson Kangoye akafanikiwa kuongoza kwa idadi ya kura. Inafahamika kwamba Jackson Kangoye na Mwita Waitara walitengeneza muungano ili kusaidiana...
  20. Mkogoti

    JamiiForums Tanzania Yaani tukutane kimjini mjini harafu nikukabidhi tu simu yangu Umerogwaa?

    Habari za usiku huu wapendwa katika Bwana Natanguliza shukrani zangu za dhati Kwa Mpendwa wetu Aliyetutoka Mh. William Benjamin Mkapa pia Umomi R.I.P🙏🙏 Baada ya salamu hizo niingie sasa kwenye kufoka😅🤣 Nipo maeneo ya mjini Mida kama ya saa 11 jioni nimeskilizia tu kushangaa magorofa, mara...
Back
Top Bottom