Hivi karibuni tuliambiwa kuwa kutakuwa na Kimbunga cha Bernard Membe. Kiko wapi? Je aliwalaghai wananchi mbona hata hajatoa taarifa za Kukacha Kampeni?
Je, ulaghai kama huu wananchi watauvumilia kweli na Kumpa kura tarehe 28?
Uwanja wa Samora umefurika na kutapika na hii haijawahi kutokea tangu uwanja huu umejengwa 1976.
Ni kampeni za kihistoria, karibu.
==========
Updates;
MIGORI, IRINGA
LUKUVI: Tunaomba kawilaya, utawala ni mgumu sana. Wasiwe wanawafata wakurugenzi, wakuu wa wilaya kilomita 125. Namuombea...
Huu ni mkutano uliopigwa leo na Mbunge wa milele wa jimbo hilo Joseph Mbilinyi kata ya Ilemi ambaye pia wenyeji wa hapo humuita Rais wa Mbeya .
Mtu huyu ambaye pia ni mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA hana mambo mengi kwenye mikutano yake, hushirikiana na watu wa Mbeya tu akiwemo Mtu mzito John...
Ni zamu ya Musoma leo.
Rais Mtarajiwa Tundu Lissu atatikisa viunga vya Musoma kwenye Mkutano wa Kampeni leo.
Ni Kama Musoma imesimama kwa ujio wa Shujaa huyu aliye gumzo Afrika na duniani kwa Sasa.
Lissu anayeungwa mkono na Makundi yote hususan wafanyabiashara na Wafanyakazi kote nchini...
Wakati wa kipindi cha tishio la corona, kulitokea upunguaji mkubwa wa idadi ya wasafiri jijini Dar es Salaam.
Niliwahi kuleta uzi nikauliza ile hali inamaanisha nini? Je, watu walilikimbia jiji au kwamba wasafiri wengi ni watu wasio na shughuli maalumu za kila siku kiasi kwaamba wanaweza...
Mgombea Urais kupitia Chadema Tundu Lissu yupo Mkoani Geita akiendeleza kampeni zake za kuingia Ikulu.
Lissu aliyewasili mkoani Geita hapo Jana na kupata mapokezi yaliyovunja Rekodi ya Tanzania katika mji wa Katoro Jimbo la Busanda.
Mkoa wa Geita ni nyumbani kwa mgombea wa CCM John Magufuli...
Tundu Lissu akiwa Bukoba Mjini amesema anasikia taarifa za kuwa wakishinda hawatotangazwa.
Amemuasa Rais Magufuli kutothubutu kufanya hivyo akimwambia kuwa hana Jeshi la kuzuia wao kutangazwa hasa ukitegemea hajawalipa wanajeshi vizuri kwa miaka 5.
Ameenda mbali zaidi na kusema endapo...
Mgombea wa Urais wa JMT kupitia CCM, Dkt. Magufuli
Dkt. Magufuli anaendelea na kampeni na leo yuko Itigi mkoani Singida.
Magufuli akiwa na Mwigulu na wanaCCM wakiserebuka
Akiwa huko akaongelea uzuri wa nyumba za Singida na kusikitika zinavyopigwa vumbi ndipo ghafla akaitwa meneja wa Tanroad...
CCM walidanganyika mno kudhani Uchaguzi wa 2020 ungekuwa rahisi, haifahamiki kama aliyewadanganya alikula njama au ilikuwa bahati mbaya ( tunaendelea kuchunguza )
Hapa chini nimeweka video fupi ili hata wale wenye bando la mashaka kutokana na kufa kwa Uchumi wa Tanzania wajionee kifo cha CCM...
Kuna jirani yangu hapa anazidi kurefusha mjengo tu, nadhani ni hizi hela zaTASAF ni mrembo balaa huwa na muona kila siku jioni anatoka ila sijajua ni anakazi gani
Hii hapa ni kata ya Iganzo, huyu mtu anasafisha mji kwa kushirikiana na watenda kazi wa hapohapo Mbeya akiwemo mtu mzito, John Mwambigija .
Ufafanuzi kwa wageni na wengine, hii TRIANGLE ATTACK au Pembe tatu ndio mfumo mpya wa CHADEMA kwenye mashambulizi ya uchaguzi huu unaowafanya wengine...
14 September 2020
Iringa Mjini
MGOMBEA UBUNGE IRINGA MJINI ROBERT KISININI "AFUMANIWA" AKIFANYA HAYA
Mwaka 2020 huu yupo NCCR-MAGEUZI akitumaini kuchaguliwa kuwa mbunge
HISTORIA MWAKA 2015 aligombea Uspika
Mgombea Uspika DP Mhe. Robert Kisinini aahidi kurudisha imani ya kweli kwa wananchi...
Hali ni tete kwa mgombea wetu wa CCM hapa katika Jimbo la Shinyanga Mjini, Patrobas Katambi. Katambi ambaye alikataliwa na 'Wajumbe' wakati wa kura za maoni ndani ya CCM, alipitishwa 'kibabe' na Kamati Kuu na NEC ya CCM kule Dodoma. Katambi, katika kura za maoni, aliachwa mbali mno na aliyekuwa...
Huyu kijana kuna haja ya Africa kumpa tuzo maalum , si rahisi kwa raia kuikalisha chini serikali yote Mbeya , kwa jinsi anavyoungwa mkono Mbeya Mjini imefanya hata yule polisi aliyemkamata siku anarudisha fomu kuogopa hata kujitokeza hadharani , inasemekana anaogopa hata kwenda dukani kununua...
Kamwambieni Abood kuwa asiyempenda kaja, atoke mafichoni akanadi sera.
Devotha wa Chadema ni mgombea halali wa jimbo hilo.
Hongera kamanda, ulipambana mpaka ukalala ndani!
===
MKINICHAGUA KUWA RAIS WA NCHI HII NITATOA HUDUMA BORA YA AFYA NA KUDHIBITI VIFO VYA WAJAWAZITO NA WATOTO."PROF.LIPUMBA" DODOMA MJINI
Nitahakikisha kuwa Bajeti ya Wizara ya Afya inapanda na kufikia asilimia 15 ya
Bajeti ndani ya miaka 10 ijayo.
Ongezeko la bajeti litawezesha katika kuandaa...
Mgombea Urais wa Chadema anafanya kampeni kata kwa kata. Usikose kuyasikia madini ya Lissu, leo kata ya Isman.
=====
"Mafurikoo Ya Wananchi Wa Iringa Kwenye Viwanja Vya Mwembe Togwa KatiKati Ya Mji Wa Iringa.
Mheshimiwa Tundu Lissu Akiwa Jukwaa Amenadi Sera Zifuatazo...
1. Itakuwa Jambo La...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.