mizigo

  1. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Haji Manara una mizigo mingi kutua-baki nayo,achana na Simba Sc

    Jana huyu mpayukaji aliitia press conference isiyo na kichwa wala miguu. Press conference isiyo na ajenda yeyote zaidi ya kupayuka na kupovuka. Kama kawaida yake,katika kutoa povu amejikuta anaijadili Simba Sc. Kwamba hata yeye anatamani Simba Sc ishinde kombe la CAF. Hatutaki maombi ya...
  2. Tony254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Baadhi ya meli zimekataa kutia nanga Dar es Salaam port kwa msongamano. Zimeacha mizigo Mombasa port ili kufanyiwa transhipment

    Ukiona baadhi ya meli zinaprefer kuwacha mizigo Mombasa port kuliko kupanga foleni ndefu huko Dar port ujuwe kwamba Malazy wameshindwa kabisa kuliendesha bandari lao. ====== Mombasa port transshipment business grows Different shipping lines have opted for Mombasa port due to what they claim are...
  3. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Changamoto za kupata mtoto mchanga ukiwa umri wa kustaafu, unakuwa ni Baba Babu. Dawa ni kujipanga kabla, vinginevyo ni kubebesha watu mizigo yako

    Leo Ijumaa ya Tarehe 8 April, ni siku yangu ya kuzaliwa, nikiwa nimeipiga mingi nikikaribia 60! ambao ndio umri rasmi wa kustaafu, nikiwa tayari ni father of 8 +1= 9, Grand Pa of 6, and about to retire!. Sababu ya makala hii ya leo sio kusherehekea siku yangu ya kuzaliwa, bali kutoa mbinu za...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Kufunguliwa kwa tawi la kiwanda cha Sino-Truck nchini Tanzania kutatatua changamoto ya usafirishaji wa mizigo

    Fadhili Mpunji Mwanzoni mwa mwezi Machi mwaka huu kampuni ya serikali ya China inayotengeneza malori aina ya Sino-Truck, imetangaza kufungua tawi la kiwanda chake nchini Tanzania, likianza kwa uwekezaji wenye thamani ya dola za kimarekani milioni 20, na kutoa ajira kwa watu 500. Hatua hii sio...
  5. Orketeemi

    JamiiForums Tanzania Usafiri wa mizigo Mwanza - Dodoma

    Wakuu habari. Nina Shida ya usafiri wa mizigo yangu kidogo pamoja na mimi mwenyewe kutoka Mwanza kwenda Dodoma. Nikipata gari ya mizigo inayoenda Dodoma nitashukuru. Naomba connection
  6. danmarc

    JamiiForums Tanzania Ni wapi naweza pata usafiri wa fuso za kubeba mizigo yangu kutoka Singida hadi Mwanza, baada ya kuhamishwa kikazi

    Habari nimehamishwa KIKAZI kutoka mkoa wa singida kwenda mwanza , na ninauhitaj kuhama na vitu vyangu vyote kama meza ,vitanda ,sofa , TV ,friji NK , Naomba kujua Kwa wenyeji wa singida Mjini wapi naweza nikapata ma FUSO yatakayonibebea hivi vitu vyote Kwa pamoja kutoka hapo singida Hadi mwanza
  7. Tony254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Asilimia mbili tu ya mizigo ya Uganda ndio inayopitia Dar es Salaam port, huku asilimia 98% ikipitia Mombasa port, asema mkurugenzi mkuu wa TRC

    Wadau mimi nilijua kwamba asilimia 20 ya mizigo ya Uganda hupitia Dar es Salaam port sasa leo nimepigwa na butwaa kusoma maneno aliyosema mkurugenzi mkuu wa TRC Masanja Kadogosa kwamba asilimia mbili tu ya mizigo ya Uganda ndio hupitia Dar es Salaam port. Hio ina maana kwamba asilimia 98 ya...
  8. Evari77

    JamiiForums Tanzania Mwenye uzoefu wa kusafirisha mizigo kwa njia ya meli

    Habari wakuu, Nimekuwa mzoefu kidogo kuagiza vitu kwa njia ya air kupitia makampuni mbalimbali. Kwa leo nahitaji mwenye uzoefu wa njia ya meli. Maana mizigo ya ndege inaenda kwa uzito. Ila ya meli wanatumia cubic meters. Naombeni ndondo zake.
  9. Jicho la Tai

    JamiiForums Tanzania Nimechoka kutembea na mizigo isiyo ya lazima mwilini mwangu

    Baada ya jana kurudi nimechoka sana nyumbani, nikaanza kuwaza kwanini nafika nmechoka nyumbani ilihali sikuwa na kitu cha maana nilichokifanya wala kubeba mzigo wowote. Nikasema nuvue kila kitu ili mwili upate hewa vizuri, ndipo nikagundua kuna mizigo binadamu tunaibeba kila siku na inatuchosha...
  10. Tony254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uganda na Total wamechagua Mombasa port badala ya Dar port kupokea mizigo kutoka Ulaya ya kujenga viwanda vya mafuta vya Uganda

    Kuna wakati Watanzania fulani hususan Geza Ulole alipinga vikali nilipomueleza kuwa Uganda watatumia port ya Mombasa kuingiza mizigo itakayotumika kujenga viwanda vya mafuta. Vifaa vingi vitakavyotumika kujenga viwanda hivi vitaagizwa kutoka ulaya na Dar port ipo mbali na Uganda na ndio sababu...
  11. N

    JamiiForums Tanzania Je, FedEx wana ofisi pale airport Dar? Kuna anaefahamu mizigo ya FedEx inafikia ofisi ipi Kwa ajili ya custom clearance

    Kuna mzigo wangu(laptop) umefika Dar Kwa kutumia FedEx, Mimi npo Dom (na nililipa Pesa ya na nauli na kuweka address ya Dom). Lakin naona mzigo umefika upo customs, ila wamenipigia simu ili kufanya mchakato wa kufanya clearance, lakini bado wanataka Pesa nyingine 118000(Kwa ajil ya kufanya...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Tumeshalipia treni 19 za Umeme na mabehewa 89, Seti 10 za treni na mabehewa 80 kwaajili ya mizigo

    === Serikali ya Tanzania imesema imeingia mkataba wa ununuzi wa mabehewa ya abiria 89, vichwa vya treni ya umeme 19, seti za treni za kisasa 10 zenye behewa 80 vikiwa na gharama ya US$381,428,465 karibu TZS 880BL, Hayo yamebainishwa leo siku ya Jumanne Desemba 28, 2021 na Rais wa Tanzania...
  13. CM 1774858

    JamiiForums Tanzania SGR ikikamilika Bila Bandari ya Bagamoyo malori yatalazimika kupaki

    === Reli ya SG ikikamilika bila uwepo wa bandari ya uhakika kama Bagamoyo tegemeeni malori mengi kupaki SGR ikikamilika inaweza kubeba mizigo yote ya Bandari ya Dar es Salaam kwa siku 250 tu, Kama SGR itakamilika bila ya Bandari ya Bagamoyo kujengwa basi Malori mengi ya mizigo mnayoyaona...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Kampuni gani ya kusafirisha mizigo kutoka Pakistan kuja Tanzania?

    Habari wakuu! Kama title inavojieleza hapo juu napenda kufahamu ni kampuni gani ambazo zinajihusisha na kusafirisha mizigo kutoka Pakistan kuja Tanzania? Na kama zipo wanatumia njia gani ya anga ama?
  15. May Day

    JamiiForums Tanzania Hii kusema kuwa Waamuzi wanazibeba timu kubwa ni kuwatwika mzigo isiyostahili

    Kumekuwa na mijadala iliyoibuka haswa kwa hizi timu zetu kongwe huku kila upande wakijaribu kutumu kuwa Refa alipendelea timu kubwa. Mbaya zaidi ni pale hata wale wenye nafasi ya kusikilizwa au kuaminiwa kama Makocha, nao wakiingia kwenye mkumbo huo. Inashangaza na kuhuzunisha kwa Mtu Mzima...
  16. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania 1898 Poplar Dock London, farasi walitumika kubeba mizigo kati ya bandarini na kwenye treni

  17. The druid

    JamiiForums Tanzania Ombi la nyimbo za cosmas chidumule za injili

    Yeyote mwenye nyimbo original za cosmas chidumule za "libarikiwe neno hili" na "ya nini mizigo hiyo" naomba anisaidie whatsapp no 0717297545 Kwa upendo wa kristo.
  18. aka2030

    JamiiForums Tanzania Naomba ufafanuzi treni ya SGR haitakuwa inabeba mizigo?

    Ukitazama picha hata mwanzo wa reli yake imeanzia station ya zamani hamna reli iliyoelekea bandarini Pia hapo station reli yenyewe ipo juu sana naomba ufafanuzi nijue kuwa itakuwa ya kubeba watu tu ama na mizigo?
  19. Mjomba Fujo

    JamiiForums Tanzania Msaada anaejua Kampuni inayosafirisha mizigo kwa meli kutoka UK

    Habarini wakuu wa jukwaa. Naomba kufahamu yeyote anaejua kampuni ya uhakika wanao safirisha loose cargo kutoka UK. Kuna Machine nataka ninunue zije kwa maji, kuzipandisha ndege kwa uzito wake gharama ya usafiri ni bei ya kiwanja. Pia Mashine nyingi zimejaa madukani, wafanyabiashara wanaleta...
  20. Elivate

    JamiiForums Tanzania Delivery ya mizigo midogo Mbeya Mjini, Songwe na Mbozi (Mlowo na Vwawa)

    Habari wana jukwaa, kwa wakazi wa Mbeya mjini wenye uhitaji wakusafirisha 🚚bahasha ndogo ndogo, mizigo kama furniture, gunia za mahindi n.k. kwa hapa hapa mbeya mjini na pia kuelekea Mkoa wa Songwe hapo chini tu, ningependa kuwakaribisha. Gharama zetu ni nafuu na rafiki, wasiliana nami...
Back
Top Bottom