Hizi ni jitihada za kuhakikisha reli bora inaunga kwenye bandari ya Kisumu iliyokamilishwa hivi majuzi, itasaidia pakubwa kuharakisha mizigo kuwafikia DRC, Rwanda na Burundi maana ikifika Kisumu inapokezwa kwenye meli.
Izingatiwe hayo mataifa yanatumia pia bandari yetu ya Mombasa, na...
Marine Salvage ni kitendo cha uokoaji meli na mizigo endapo meli inataka kuzama, imepata hitilafu kwenye hali mbaya ya hewa baharini, meli imekwama au kupatwa na janga lolote.
Kwanini inafanyika Marine Salvage
1. Kuokoa mizigo na vitu vya thamani katika meli
2. Kuzuia uchafuzi wa bahari endapo...
Sekta ya usafirishaji wa mizigo kwa kutumia magari (malori) ni muhimu sana hapa nchini na duniani kwa ujumla. Magari ya mizigo yanafika jirani zaidi na mlaji wa mwisho au sokoni ambako meli, reli na ndege haviwezi kufika.
Uzi huu ni mahususi kwa kupeana taarifa mbalimbali kuanzia kwenye...
Trucks caring goods are parked at Isebania border at Kenya customs parking yard on May 19, 2020. Six truck drives from Kenya were denied access to Tanzania, [Caleb Kingwara, Standard]
Kenyan truck drivers urge the state to intervene and facilitate their release after being detained in...
Uchaguzi wa Njia ya usafirishaji hutegemea mambo yafuatayo
- 1. Thamani ya mzigo
- 2. Ukubwa wa mzigo
Mizigo yenye thamani kubwa na midogo chini ya KG 2, safirisha kwa njia ya EMS - Ni hakika na salama, mzigo utamfikia mlegwa kwa wakati.
Kwa mizigo mikubwa bila kujari thamani yake, Njia hizi...
Hali ya ubabe inaendelea mpaka wa Rwanda na Tanzania huku madereva wa Tanzania wakigomea kuingia Rwanda kwa sababu ya kunyanyapaliwa.
Pamoja na jitihada za kuwabembeleza zinazofanywa na maafisa wa Rwanda kwa kuwaahidi hali itakuwa tofauti na awali lakini bado madereva wamesimamia kile...
Inaitwa man to man!
Congo wamekata umeme wao wanaowazalishia Wazambia hiyo ni kwa hatua ya kujibu mapigo kwa sababu ya Zambia kufunga mpaka wa Tunduma na kupelekea mizigo wa Congo kuchelewa kufika kwa wakati na hali hiyo imepelekea wafanyabiashara wa Congo kuingia hasara kubwa!
Chanzo ni...
Virusi vya corona: Anna Mghwira atangaza malori ya Kenya kutovuka mpaka wa Holili
17 Mei 2020
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Anna Mghwira amesema kwamba malori ya mizigo kutoka Kenya hayataruhusiwa kupita katika mpaka wa Holili.
Katika muongozo mpya unaolenga malori ya mizigo ya mataifa mengine...
Mbunge wa Chadema mh Silinde ameitaka serikali kuiongezea Tozo mizigo ya Zambia iliyoko bandarini kama majibu kwa wao kutufungia mpaka.
Silinde amesema hayo wakati akichangia hotuba ya makadirio ya wizara ya mambo ya nje na kutoa mfano kuwa hata Marekani na China hulipana visasi kwenye vita vya...
Serikali ya Uganda imeanza kutumia mashine za GeneXpert mipakani, ili kuwapima madereva wa magari ya mizigo kabla ya kuingia nchini humo
Taarifa kutoka Wizara ya Afya imesema kumekuwa na ongezeko la maambukizi kutoka kwa madereva wa magari ya mizigo
Taasisi ya Utafiti wa Virusi ya Uganda...
Nchi jirani za Uganda ,Rwanda ,Burundi, Sudan Kusini, Congo zitapokea mizigo Naivasha inland container depot baada ya kusafirishwa zaidi ya 600 km kwa SGR kutoka Mombasa. Mtihani mkubwa kwa bandari ya Dar es Saalam.
======
SGR moves regional cargo to Naivasha
Kenya has launched direct SGR...
HALI ILIVYO RWANDA: Dereva wa Lori kutoka #Tanzania haruhusiwi kuvuka Mpaka wa Rusumo ili kuepuka kuingiza Corona nchini humo.
Badala yake; akifika kituo cha Kiyanzi, mzigo wote utapuliziwa dawa kisha atakabidhi Lori kwa dereva wa Rwanda ambaye atalipeleka hadi kituo cha mwisho. Serengeti Post...
Wadau,
Nahitaji mawazo na ushauri wa kisheria nataka niwashitaki DHL TANZANIA kwa kuchelewesha kutoa mizigo yangu ambayo ilifika Dar es slaam tangu tarehe 8 April, 2020 lakini hadi leo tunaongea hakuna mzigo uliotoka.
Kwanza kabisa hawakunijulisha taarifa za mzigo kuwa umefika mpaka siku saba...
Ndege za mizigo hazijapigwa ban na bado zinaruhusiwa kufanya kazi kimataifa, mwanzo wakati huu wa corona ambapo kila nchi inaagizia vifaa na madawa yanayohitaka kwa haraka, kuna demand kubwa sana ya safari za charterd cargo flights .
KQ inazo ndege ambazo ni spesheli za cargo lakini kwavile...
Waziri wa biashara mh Bashunga amesema Zambia inafanya faulo katika biashara ya mahindi kwenye soko la DRC.
Mh Bashunga amesema kama Zambia wataendelea na faulo zao japo wote tuko kwenye SADC basi serikali haitasita kuizuia kupitishia mizigo yao hapa nchini.
Source ITV habari!
Habari ndugu zangu nina gari yangu Cresta ina Injini ya GX 100 ambayo bado mpya ila bodi limechoka,nataka kubadili matumizi iwe ya mizigo je ni bodi la gari gani inaweza kuingiliana na injini hiyo? Gari ni automatic.
Wanajamvi habarini za mchana, kama ambavyo kichwa cha mada hii kinasomeka hapo naomba kufahamu au mtu ambaye analijuwa kampuni lolote linaloweza kunisafirishia mzigo kutoka kwenye mataifa haya China na Marekani kuja Tanzania.
Naombeni na ushauri pia kwa wale wanaonunua bidhaa mtandaoni hasa kwa...
Serikali imesema itakodi ndege kupeleka matunda na mbogamboga nje ya nchi kutoka katika viwanja vya ndege vya Songwe na Mwanza, wakati huu ikijiandaa kununua ndege ya mizigo kwa kazi hiyo.
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Isack Kamwelwe alisema hayo wakati akijibu swali la nyongeza la...
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Isack Kamwelwe amesema serikali imeshaanza mazungumzo ya namna ya kupata ndege ya mizigo kwaajili ya kubeba mazao ya mbogamboja kuyepaleka nje ili kuwasaidia wakula.
Ametoa kauli hiyo bungeni leo Jumatano Novemba 13, alipokuwa akijibu swali la Mbunge...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.