mizigo

  1. Tony254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kimbunga kizito kinakuja kutandika Dar es Salaam Jumatatu ijayo. Mjitahadhari

    Majirani mjitahadhari dhidi ya Kimbunga Kikali kinachokuja kubamiza Dar juma tatu ijayo. Kimbunga kitakuwa na upepo unaovuma at 100 kph Rare tropical cyclone is approaching one of Africa's most populated cities By Pedram Javaheri, CNN Meteorologist Updated 7:51 PM EDT, Thu April 22, 2021...
  2. H

    JamiiForums Tanzania Naomba tufahamishe njia mnazotumia kutuma mizigo kutoka China kuja hapa Tanzania

    Habari za leo wakuu, Naomba leo tujadiri mambo ya msingi sana, mambo ya biashara. Ni njia zipi mnazotumia kutuma mizigo ya biashara kutoka China kuja hapa Tanzania. Mfano mzigo wa nguo, simu au mzigo mwingine wowote wa baishara mnatumia njia zipi kutuma. Njia ambazo ni haraka, za bei rahisi...
  3. Sam Gidori

    JamiiForums Tanzania Meli kubwa ya mizigo yashindwa kukwamuliwa katika Mfereji wa Suez kwa siku ya tatu

    Shughuli ya kuondoa meli kubwa ya mizigo iliyokwama katika mfereji wa Suez nchini Misri na kuziba njia kwa vyombo vingine vya maji kupita imeingia siku ya tatu hii leo bila mafanikio yoyote. Jitihada za kugeuza meli yenye uzito wa tani 220,000 na urefu wa mita 400 iliyopewa jina Ever Given...
  4. G

    JamiiForums Tanzania Leo nimeona mwenyewe usumbufu wa polisi wa usalama barabarani dhidi ya magari ya mizigo

    Nilichukua gari kwenda kupokea mzigo wangu kutoka mkoani pale Mbezi Kibada cha mkaa. Wakati tunaenda tulipiti njia ya wazo hili na kutokea barabara ya Goba. Njiani nilisimamishwa na maaskari mara tatu, kila mala wakimwambia dereva wanataka kukagua lesseni yake. Kumbe hiyo ni lugha ya kutaka...
  5. S

    JamiiForums Tanzania WanaCCM hawamuelewi Rais anasema kwenye maono gani, wao ni kupiga makofi tu

    Ilikuwa mnafanya siri na kuudanganya umma leo Mwenyezi Mungu amewaadhiri vibaya sana sana hamna pa kujificha. Tena si kuudanganya umma wa Watanzania bali kuidanganya dunia nzima. Mnacheza na Mwenyezi Mungu atu dua zetu zimekubaliwa. Mmekwiba kura sawa tumepotezea, lakini kumsingizia Mwenyezi...
  6. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Safi sana. Hata Kenya na Msumbiji naona wakipitisha Mizigo yao Bandari ya Dar Es Salaam

    Mambo yamepamba moto kweli kweli ufanisi umeongezeka. Baada ya South Africa kuanza pitisha mizigo ya TZ sasa itafuatia Kenya, Msumbiji, Somalia n.k tuendelee kufanya kazi kwa style hii hii.
  7. J

    JamiiForums Tanzania Afrika Kusini waanza kupitishia mizigo yao yakiwemo magari katika bandari ya Dar es Salaam

    Nchi ya Afrika Kusini imeanza kupitishia mizigo yake katika bandari ya Dar es salaam baada ya ufanisi kuongezeka bandarini hapo. Msemaji wa TPA amesema jambo kama hili zamani lisingewezekana lakini sasa shughuli za kutoa mzigo bandarini hazichukui zaidi ya siku tatu jambo lililowavutia sana...
  8. Royal Warrior

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kampuni inayosafirisha mizigo kwa Meli kwenda nchi za Uarabuni

    Habari zenu wakuu, Nahitaji kusafairisha kiroba cha kilo 50 (nguo) kuepeleka OMAN. Nipo Dar, ila kama hiyo kampuni itakua na branch Zanzibar itakua vizuri zaidi. Mwenye kufahamu naomba anijuze. Natanguliza shukrani
  9. Emygidius George

    JamiiForums Tanzania Je, naweza pata gari la mizigo ya ndani kutoka Dar tu Kagera

    Nahitaji kupata namna ya kusafirisha vitu vya ndani kutoka Dar kwenda mkoani Kagera, naweza pata kampuni gari ya usafirishaji au mtu anayehusika ambae gharama zake si kubwa.
  10. Tony254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mombasa port inahandle mizigo mara tisini ya Mtwara port

    Nimecheka sana wakati nimesoma tweet fulani inasherehekea Mtwara port kuongeza mara dufu kiwango cha mizigo inayohandle kutoka 106,000 tonnes hadi 273,000 tonnes. Jambo ambalo linachekesha sana ni kuwa wakati Mtwara port wanasherehekea kuhandle mizigo ya 273,000 tonnes kwa mwaka, Mombasa port...
  11. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Zanzibar: Dkt. Mwinyi atembelea bandari ya Malindi pamoja na Maruhubi kwa lengo la kutatua kero ya ucheleweshwaji wa mizigo

    RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi ametembelea Bandari ya Malindi Jijini Zanzibar pamoja na eneo la Maruhubi kwa ajili ya kutafuta muwarubaini wa ucheleweleshwaji wa kutolewa kwa mizigo bandarini hapo. Ziara hiyo ya Dkt. Hussein Mwinyi ni ya kwanza...
  12. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Tujuzane uzuri, changamoto, gharama za kuagiza mizigo kutoka china kupitia Silent Ocean na kampuni nyingine

    Habari wadau, Nataka kuagiza mizigo kutoka China Nimejuzwa kwamba kuna makampuni yanahusika na kuleta mizigo mpaka hapa Tanzania. Sasa najua wengi pengine kwa haraka haraka mmeona ni heri ningeongea nao hizo kampuni moja kwa moja, Ni jambo zuri lakini kwa uzoefu wangu nimeona wataongelea tu...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kufungua ofisi ya kusafirisha mizigo na kufanyia clearance naombamsaada kwa mwenye uzoefu

    Ndio nataka kufungua ofisi ila nahitaji ushauri na kunielekeza pa kuanzia, usajili brela nina fahamu pa kuanzia ila sasa taratibu zingine mfano nini cha kufanya kama kuwa certified na TRA na process zingine. Msaada tafadhali.
  14. D

    JamiiForums Tanzania Mwibara: Baada ya Tundu Lissu kuzuia njia ili kivuko kisishushe magari na mizigo, azua tafrani baada ya maiti kukwama kwenda kuzikwa. Tazama video

    Jana niliweka video humu ikionyesha Tundu Lissu kuzuia njia kwa magari yake ili kivuko kisiweze kushusha abiria na mizigo. Wapo waliosema kuwa nilikuwa nadanganya umma. Haya fuatilieni video hapo chini watu wanalalamika kuwa maiti zao zinachacha kwenye kivuko.
  15. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uchache wa abiria na mizigo wafanya SGR nchini Kenya kuendeshwa kwa hasara. Je, Tanzania tutakwepa hali hii?

    Hi ni habari katika mtandao wa The Africareport.com ambapo imeripoti kuwa, uchache wa abiria na volume mdogo ya mizigo plus madhara ya COVID19, kumesababisha reli hiyo kuendesheshwa kwa hasara na sasa wanashindwa kulipa mkopo uliotumika kujenga reli hiyo. Habari hii inaeleza kuwa, tatizo...
  16. LorenzoA

    JamiiForums Tanzania GE2020 Michango kwa Tundu Lissu: Huyu mbeba mizigo Kariakoo amenitoa chozi

    Katika Mishe mishe zangu Kariakoo kuna jamaa huwa ananishushia mizigo kwenye gari, Kijana mchangamfu mwenye bashasha na anependa sana kujadili mambo ya siasa, nimemfahamu kwa muda sasa.. anampenda sana Rais Magufuli... Sasa Jana kama kawaida niakenda kariakoo (Sijaonekana kwa muda)...
  17. politicians

    JamiiForums Tanzania Natafuta dereva wa magari ya mzigo anayekwenda Kenya Nairobi

    Habari wadau!, natafuta dereva wa magari ya mizigo anayekwenda kenya,ambaye anayeweza kunichukulia mzigo wangu kidogo kutoka nairobi kuleta Tz,anitext +255687234549,tutaelewana.
  18. K

    JamiiForums Tanzania Treni ya kwanza ya mizigo yafika Arusha baada ya miaka 30

    DC Arumeru Leo Tarehe 13/08/2020 Majira ya saa mbili kasoro asubuhi tumepokea Gari Moshi (train) ya majaribio ya kwanza ya mizigo baada ya miaka 30 ya kukosa huduma hii ya usafirishaji katika mkoa wetu wa Arusha. #ArumeruYetu
  19. Freddie Matuja

    JamiiForums Tanzania Tanzania soon tunawapiga bao Kenya kwenye kupata mizigo mingi zaidi EA

    Ijumaa Karim ndugu zangu Watanzania. Tanzania kupitia bandari ya Dar kwa sasa imevutia kupitisha mizigo mingi hasa toka Burundi kwa ku-charge bei ambayo wateja wanaweza kumudu. Kwa mujibu wa gazetu la the East African ninanukuu "On average it costs $1.80 per kilometre per container to transport...
  20. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Hivi Kamati Kuu ya CCM hamuwezi kututeulia wagombea wapya kabisa wa Ubunge? Ziara za Rais Magufuli zilithibitisha Wabunge wengi ni mizigo

    Kwa bahati nzuri niliweza kufuatilia ziara zote za Rais Magufuli katika awamu yake ya kwanza ya uongozi. Kila aliposimama kusalimia wapiga kura wake alielezwa matatizo lukuki na wananchi wa maeneo hayo kana kwamba hawana mbunge na hii ni ishara kuwa Wabunge wengi wa awamu hii ni mizigo...
Back
Top Bottom