mitumba

The Mitumba Mountain range stretches along the Western Rift Valley in Eastern Congo (DRC), west of lake Tanganyika. The two main peaks, Mount Kahuzi (3,308 m) and Mount Biéga (2,790 m) are dormant volcanoes.

View More On Wikipedia.org
  1. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Jinsi mitumba inavyotuunganisha na watu tusiowapenda!

    Asubuhi ya leo wakati navua raba nilipotoka mazoezini, ghafla lilinijia wazo la ni nani alikuwa anaivaa raba hiyo kabla haijaletwa Tanzania kama mtumba? Nikaanza kuangalia jinsi mitumba ilivyotawala maisha ya Watanzania kwa kiasi kikubwa Sana. Lakini huwa tunajiuliza hiyo mitumba ilikotoka...
  2. navigator msomi

    JamiiForums Tanzania Natamani sana biashara ya kudaka mitumba na kuitembeza mtaani!

    Wakuu nisaidieni kunipa mbinu,nina ka mtaji kama laki hivi nataka daka mitumba kadhaa na kupita nayo kitaa kuizungusha, Mm ni mgeni mwanza ila nataka hii iwe starting point yangu ya kuijua mwanza, ni eneo gani zuri nitapata hii mitumba na je ni sehem zipi nzuri naweza tembea mitumba yangu...
  3. MIXOLOGIST

    JamiiForums Tanzania Mpaka lini tutakuwa watu wa vitu vya mitumba?

    Swine Yaani nimekaa sehemu ya uwazi hivi mitaa ya nyumbani jimbo la muheshimiwa Gwaji Boy, kila mchuuzi anapitisha mitumba. Nimeangalia kwenye parking ya magari 80% ni mitumba Nacheck washkaji na mademu wao yaani wana vitambi na putty za kutosha usoni, yaani full mitumba Nimeletewa beer...
  4. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Kigoma: Soko la mitumba linateketea kwa moto

    Soko kubwa linaloitwa Soko la Mitumba linalopatikana Manispaa ya Kigoma Ujiji Mkoani Kigoma linateketea kwa moto usiku huku chanzo cha moto huo kikiwa bado hakijajulikana. Tayari Jeshi la Zimamoto na uokoaji limefika eneo la tukio na kushirikianana baadhi ya Wananchi kuokoa mali na kuzima moto...
  5. H

    JamiiForums Tanzania Habari naomba ushauri au mwongozo kuhusu biashara ya Raba za mitumba za wakubwa na watoto bei ya Balo na wapi pakuzipata.

    Habari naomba ushauri au mwongozo jujutsu biashara ya Raba za mitumba za wakubwa na watoto bei ya Balo na wapi pakuzipata.
  6. S

    JamiiForums Tanzania Tanzania tunaweza kuwa na wataalamu wa kuchunguza mitumba ya ndege, reli, mabehewa na vichwa vya treni?

    Baada ya ufafanuzi wa Waziri wa Fedha kuhusu namna mitumba hiyo itavyokuwa inaingizwa nchini, haya ndio baadhi ya maswali ninalojiuliza na mpaka sasa sina majibu. Je, wewe hapo uliopo, unaamini tunao wataalamu wa kukagua vifaa kama hivyo? Je, si kweli kuna wakati itahitajika teknolojia katika...
  7. Etwege

    JamiiForums Tanzania Waziri Mwigulu apendekeza sheria mpya ya Serikali kununua vitu vilivyotumika (mtumba)

    Mwigulu Nchemba amependekeza kwenye sheria mpya ya manunuzi serikali inunue ndege, vichwa vya treni, mabehewa ya treni, meli zilizotumika badala ya kuagiza mpya, na wabunge wanasherehekea bungeni kwa nguvu sana. Yani baada ya vichwa vya treni mitumba kukosolewa na wananchi kwa nguvu sana...
  8. Heci

    JamiiForums Tanzania Jinsi nilivyokuza mtaji wangu wa viatu vya mitumba kwa kuiba viatu (Ni hatari sana, usije ukajaribu utauawa kifo kibaya sana)

    Mbingu na nchi zitapita, lakini neno la Mungu litaishi milele. Wananchi na wana nzengo wenzangu, maisha ya kijana wa kiume ni nusu kuzimu, robo peponi na robo nyingine duniani. Duniani mnayo dhiki nyingi lakini jipeni moyo. Maisha yangu ya ujana yalijawa na changamoto nyingi, uchumi duni...
  9. The Sunk Cost Fallacy 2

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Yoweri Museveni Rais wa Uganda amepiga marufuku Mitumba. Amesema ni Nguo zilizoachwa na Wafu wa Ulaya

    My Take Rwanda tayari,Uganda tayari. --- The President was speaking at the opening of 16 factories at Sino-Uganda Mbale Industrial Park yesterday. President Museveni has re-echoed the need for citizens to embrace the Buy Uganda Build Uganda (BUBU) policy if the country is to develop. In line...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Kuagiza mabelo ya mitumba toka UK, Canada na USA

    Wakuu, Ninapenda kuagiza mabelo ya mitumba toka UK, CANADA na USA. nimejaribu kusearch bila mafanikio. Kwa mwenye uzoefu, naomba maelekezo au ukashare linki ya site inayo uza.
  11. Black Opal

    JamiiForums Tanzania Marufuku ya mitumba wenzangu na mimi tutatoboa kweli?

    Asilimia tisini kama si zaidi ya Watanzania tunapiga mitumba, ndio tunayoweza kumudu. Hatuna viwanda vinavyojitosheleza kwenye sekta hii kiasi cha kuzalisha nguo zenye ubora na gharama nafuu kwa wengi kumudu. Mitumba imekuwa chaguo la wengi kutokana na kwamba unapata bidhaa nzuri kwa bei nafuu...
  12. MWALLA

    JamiiForums Tanzania Serikali kununua vitu vya mitumba Sheria/Katiba inasemaje?

    WAFANYAKAZI wa Kampuni ya Reli (TRL) wanaupinga mpango wa serikali wa kununua mitambo chakavu ya mwekezaji kutoka India ambayo ilikodishwa kwa ajili ya kusaidia kupunguza tatizo la usafiri. Kampuni ya Reli ya India (Rites), ambayo ni mwekezaji mwenye asilimia 51 za hisa za TRL, iliagiza...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Mitumba inapatikana wapi hapa Kahama?

    Habari za mchana wadau wa jukwaa hili. Nimeingia kahama kwa lengo la kuishi hapa baada ya kutoka Arusha. Nataka kufanya kazi ya mitumba (pointa). Natamani sana sana kujua soko kuu la mitumba lipo wapi hapa Kahama ? Asanteni!
  14. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Hongera TRL kwa Mabehewa Mapya. SGR ni Reli Mpya ya Kisasa; Je, Mabehewa Haya ni Mapya ya Kisasa? Hakuna Ubaya Kutumia Mitumba, Ila Tuambiwe Ukweli!

    Wanabodi, Kama kawaida yangu, kila nikipata fursa, huja na makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa" Hili ni maslahi ya taifa ya pongezi kwa TRC nimeona mzigo wa mabehewa mapya ya kisasa ya reli ya kisasa ya SGR ukipokelewa bandarini, DSM, hivyo hatua ya kwanza ni kutoa pongezi kwa TRL kwa kazi...
  15. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Kwanini Serikali haipigi marufuku uingizaji wa mitumba?

    Hakuna nchi inayoweza kuendelea bila kulinda na kuendeleza viwanda vya ndani. Na njia kuu ya kulinda viwanda vya ndani ni kuzuia bidhaa cheap kutoka nje ya nchi. Ndiyo maana China waliikataa Google, facebook nk. Ndiyo maana US waliipiga pini Huawei. Hili jambo mataifa karibu yote ya Afrika...
  16. Hamadee

    JamiiForums Tanzania Naomba kuuliza kuhusu chimbo zuri la kununua mitumba balo za mitumba

    HABARI WANAJAMVI, Naomba kuuliza kuhusu chimbo zuri la kununua mitumba balo za mitumba za nguo mbalimbali hapa Tanzania na nje. Connection naomba na kwa ushauri pia nipo tayari kupokea kwasababu ndiyo nataka kuanza hii biashara
  17. Kenyan

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Raila: Serikali nitakayoiongoza haitazuia biashara ya Mitumba

    Raila Says Azimio Gov’t Will Not Ban Mitumba Trade Raila spoke when he met the representatives from Gikomba market on Friday. He said the Azimio government will work hand-in-hand with traders to ensure the cartels that thrive in the market through the back door are dealt with by his...
  18. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania Soko Kuu la Mitumba Memorial Moshi lingejengwa kisasa, linaleta aibu

    Soko la Mitumba aina zote maarufu kama Memorial, lililopo katika manispaa ya Moshi mkoani Kilimanjaro lipo katika hali ya kusitikitisha kutokana na kuwa limejengwa katika mfumo wa vibanda vya miti. Soko hilo pia limekuwa maarufu kutokana na kuwa na wateja wa mataifa mbalimbali wanaokuja kununua...
  19. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania Belo za pochi za mitumba ya kike kwa jumla zinapatikana wapi?

    Mwenye kujua tafadhali, nahitaji kujua chimbo hizo kwa hapa bongo zinapatikana wapi?
  20. K

    JamiiForums Tanzania Naomba kuelekezwa sehemu wanaporusha mitumba ni Ilala ipi?

    Habari wana JF, Kesho nataka kwenda Ilala wanapopoint mitumba asubuhi, naomba kuelekezwa ni Ilala ya boma au hii ya amana hospital, natokea Gongo la mboto. Asanteni [emoji122]
Back
Top Bottom