Mitumba inapatikana wapi hapa Kahama?

Joel360

JF-Expert Member
Sep 21, 2013
981
631
Habari za mchana wadau wa jukwaa hili.

Nimeingia kahama kwa lengo la kuishi hapa baada ya kutoka Arusha. Nataka kufanya kazi ya mitumba (pointa).

Natamani sana sana kujua soko kuu la mitumba lipo wapi hapa Kahama ?

Asanteni!
 
Nenda sehemu moja kunaitwa Masumbwe sikumbuki nauli ila kuna gulio nafikiri j5 au kitu kama hicho .Kuna mitumba mingi na mikali sana hayo majitu ya majengo hapo majanja majanja.
 
Kweli mkuu.
Masumbwe, Tinde ikibidi na Mwanza ndo ataenda kupata nguo nzuri kwa nafuu. Ila Kahama mmmh sijui
 
Nenda masumbwe sehemu wanna ita Lugunga..hapo ni bandari ya mitumba...

Fika masumbwe chukua bodaboda sh.2000/- akupeleke lugunga

Wana belo kali Sana ukizunguka kwenye magodauni yao...

Mengine utajiongeza ukifika..au nenda j5 pale masumbwe ukafungulishe.

Hapo kahama Ni matapeli tu
 
Nitafute 0747 347478 Tufany kazi, Hautajutia
IMG_20221221_114633_229.jpg
IMG-20221206-WA0002.jpg
1670322135423.jpg
 
Nenda sehemu moja kunaitwa Masumbwe sikumbuki nauli ila kuna gulio nafikiri j5 au kitu kama hicho .Kuna mitumba mingi na mikali sana hayo majitu ya majengo hapo majanja majanja.
Asante sana boss. Nitafuata ushauri wako. Watu wa Majengo wana fujo gani boss ?
 
Nenda masumbwe sehemu wanna ita Lugunga..hapo ni bandari ya mitumba...

Fika masumbwe chukua bodaboda sh.2000/- akupeleke lugunga

Wana belo kali Sana ukizunguka kwenye magodauni yao...

Mengine utajiongeza ukifika..au nenda j5 pale masumbwe ukafungulishe.

Hapo kahama Ni matapeli tu
Asante sana boss kwa ushauri wako. Kufungulisha, unamaanisha kufungua belo ?

Utapeli wa Kahama ni upi ? Wanauza nguo mbaya kwa bei juu ?

Asante tena.
 
Asante sana boss kwa ushauri wako. Kufungulisha, unamaanisha kufungua belo Q
Utapeli wa Kahama ni upi ? Wanauza nguo mbaya kwa bei juu ?

Asante tena.
Ndio kufungua, na ni njia pekee ya kuokoa hasara.. ununuaji wa belo muda mwingine ni Kama kubeti , belo za sasa hivi ni kubabatisha
 
Asante sana boss. Nitafuata ushauri wako. Watu wa Majengo wana fujo gani boss ?
Chief unajisikilizia sana mwishowe na huo mtaji utautafuna embu nenda Masumbwe then Lugunga rudi majengo jibu utakua ushalipata.Anza haraka sana hiyo biashara mengine yatajiset mbele kwa mbele .Simu ni moja tu tukutane benki.
 
Ndio kufungua, na ni njia pekee ya kuokoa hasara.. ununuaji wa belo muda mwingine ni Kama kubeti , belo za sasa hivi ni kubabatisha

Chief unajisikilizia sana mwishowe na huo mtaji utautafuna embu nenda Masumbwe then Lugunga rudi majengo jibu utakua ushalipata.Anza haraka sana hiyo biashara mengine yatajiset mbele kwa mbele .Simu ni moja tu tukutane benki.
Asanteni nyote mliotumia muda wenu kunipa ushauri. Mmenipa mwanga kwa kweli.
 
Ungekuwa karibu ningekushauri uje Dar soko la karume kama unaenda Buguruni,hakika ungepata mzigo wa kwenda kupiga pesa juu ya pesa ila bahati nzuri huko mbali. Kila lakheri mpambanaji.
 
Back
Top Bottom