mitumba

The Mitumba Mountain range stretches along the Western Rift Valley in Eastern Congo (DRC), west of lake Tanganyika. The two main peaks, Mount Kahuzi (3,308 m) and Mount Biéga (2,790 m) are dormant volcanoes.

View More On Wikipedia.org
  1. S

    JamiiForums Tanzania Kodi za Mitumba

    Hivi serikali ina-charge kiasi gani? Hiyo kuna uwezekeno / uwiano upi kusaidia viwanda vya ndani?
  2. Rashdind

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Wauzaji wa Nguo za Mitumba Aina Zote

    Tunauza nguo za mtumba quality za jinsia zote. Tupo kituo cha polisi sekei Arusha, mikoani pia tunatuma kwa uaminifu. Nguo zetu ni kwanzia 5,000 mpaka 50,000. Nguo ni nzuri sana, wasiliana kupitia 0763148588.
  3. Lord OSAGYEFO

    JamiiForums Tanzania Chuo cha IFM kimezingirwa na biashara ya mitumba, chips na mama lishe

    Hakika jiji la Dar es Salaam limevamia na wafanyabiashara wajasiamali maarufu machinga, mama lishe, wauza chips wauza mitumba kila kona. Wametanda pembezoni mwa barabara mbalimbali za jiji wakifanya biashara. Posta ndio usiseme kila sehemu ni vibanda vya mitumba, mama lishe wakipika vyakula...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Nani aliwahi kununua mitumba Bujumbura?

    Bismillah. Naomba kujua kwa mtu yeyote aliyeishi au kununua mtumba mji wa bunjumbura. Kat ya Dar na Bujumbura wapi mtumba wao n mkali na bei yao inatofaut sana na huku? Help me niga mi nko kigoma nataka nkapoint vikal buju. Naomba mwenye maujanja ananinasue Asanteni kwa kuja JF
  5. Labile

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa mitumba Kanda ya ziwa pita hapa

    Habari zenu mabibi na mabwana. Naombeni mnisaidie ni wapi pale Mwanza nitapata mtumba grade A, na nitatambua vipi ni grade A na bei zake kwa shati, tisheti na suruali? Natanguliza shukrani.
  6. T 2021 SSH

    JamiiForums Tanzania Wapi nitapata nguo nzuri za mitumba kwa Mwanza

    Natafuta chimbo zuri la kupata mzigo mzuri wa nguo za mtumba grade one kwa Mwanza ni wapi naweza pata, nataka nifanye biashara ya nguo na mtaji wangu ni kidogo siwezi kununua belo lakini pia naogopa kupata lonya ipo 250k Naomba msaada kwa wajuzi?
  7. K

    JamiiForums Tanzania Nataka kufanya Biashara ya Mitumba, ina changamoto gani?

    Habari, Ninatarajia kufanya biashara ya nguo za mitumba ila niliplan kuwa naziuza kwenye minada mwenye kufahamu changamoto zake. Naomba anifahamishe na pia kwa Dar anayejua minada inapofanyika au kwa aliyepo Moro anaejua minada inapofanyika na siku zake na malipo kwa siku inakuwaje na...
Back
Top Bottom