Kuagiza mabelo ya mitumba toka UK, Canada na USA

mambo ya msingi kama haya maoni hakuna haya namimi nasubiri wakujibu nielimike kama watajibu

Sent from my TECNO LE6 using JamiiForums mobile app
Karibu kiongozi FAGO EXPRESS Kwa uhakika wakupata bidhaa zako ukiagiza nasi kutoka china ndani ya siku 3 tu kutokana na ratiba za ndege

Pia tunaeza agiza mzigo hatakama huna pesa Kwa Mda huo, mzigo ukifika ofcn kwetu ndo utakuja ulipia wote namba za sim ni +255765018958 WhatsApp karibu sana boss
 
Namkumbuka mama mmoja alikua anaagiza Canada mizigo ila baadae akaacha akaw anachukua UK.Nitamtafuta nikimpata nitaleta mrejesho
 
Back
Top Bottom