mitandao

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Nimeshangazwa na kauli ya Waziri mwenye dhamana ya mitandao ya kijamii kuwa kura zipo mitaani sio mitandaoni

    Kauli zingine zinafikirisha sana. Maana dunia ya leo kila kitu kipo kidijitali. Maoni ya watu wananapiga kelele kupitia mitandao ya kijamii. Watawala wanaumia. Hao hao wanaopiga kelele mitandaoni wanaishi mitaani. Alafu waziri aliye na digrii anasema hawapigi kura. Inashangaza.
  2. Ulimbo

    JamiiForums Tanzania Matatizo katika mitandao ya simu

    Habari zenu wana jamvi. Kwa muda sasa nimekuwa nakumbana na huu ujumbe/haya maneno ninapopiga simu. NAMBAYAKO IMESITSHIWA HUDUMA KWA SASA. Lakini baada ya muda simu inaunganishwa na mawasiliano yanaendelea kama kawaida. Pia kuna watu wanaponipigia wananiambia kuwa wanapata huo ujumbe. Je kuna...
  3. Zekoddo

    JamiiForums Tanzania Namna ya kuongeza muda wa Maongezi (Vocha) mitandao mingine kutoka Tigopesa

    Wakuu naomba namna ya kuongeza vocha(muda wa Maongezi other networks via Tigopesa. Maana najaribu sana naona nafeli
  4. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Somalia yaifungia Mitandao ya Tiktok, Telegram na 1XBet

    Kwa mujibu wa taarifa ya Serikali, Mitandao hiyo pamoja na Kampuni ya Michezo ya Kubahatisha ya 1XBET zimebainika kutumiwa na Magaidi pamoja na kueneza Uasherati kupitia Picha na Upotoshaji katika Jamii. Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia iliagiza watoa huduma za Intaneti kutekeleza marufuku...
  5. Kichwamoto

    JamiiForums Tanzania Chief Godlove na Chimakeke wa mitandao ya jamii wamejaliwa akili ya kuchochea hasira za maendeleo

    Hello Bazzukulu! Kukaa maghettoni bila michongo ya pesa ni hatari kwa afya ya uchumi wa jamii na taifa. Raha ya maisha ni pesa na maendeleo. Huyu Chief Godlove, na Chimakeke ni madoni na misheni inspirers wa mchongo, wna akili fulani hivi ya kuchochea hasira za maendeleo. Michano yao ya...
  6. Mr Why

    JamiiForums Tanzania Elon Musk hana ujuzi wa maswala ya mitandao ya kijamii

    Elon Musk hana ujuzi wa maswala yote yanayohusiana na mitandao ya kijamii kwasababu amekuwa na tabia za childish tangu awe mkurugenzi wa kampuni ya Twitter. Kwa kawaida mtu anaponunua kampuni yeyote ile anatakiwa kuboresha huduma zilizokuwa zikitolewa hapo awali na sio kuharibu huduma. Bwana...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Nimepokea matusi ya nguoni kutoka kwa ma ex zangu baada ya kumpost my wife kwa mara ya kwanza kwenye mitandao ya kijamii.

    Habari zenu watanzania bara wenzangu. Nimeoa miaka mitatu iliyopita,ila bahati nzuri au mbaya nilikua vizuri kifedha kwa wakati huo hivyo sikutaka kuchangisha mtu pesa,hivyo shughuli ya sherehe ya harusi ilifanyikia huko Bush kwetu,watu walikula,kunywa na kusaza( si mnajua maisha ya Bush tena...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua kuhusu huduma za M-PESA na mitandao mingine nikiwa nje ya nchi

    Habari wakuu. Naomba kujua kama nikienda nje ya Africa nikitumia huduma ya international roaming kama bado naweza kufanya miamala ya kutuma na kupokea pesa kwenye simu. Shukran!
  9. S

    JamiiForums Tanzania Chongolo simamisha ziara yako fanya tathmini msimdanganye Rais

    Katibu Mkuu Chongolo ni vizuri ukasimamisha ziara yako ukapata muda wa kufanya tathmini ili kujua kama hiyo mikutano yako iko connected na wananchi kwa kiasi gani. Msitafute picha za mahudhurio feki na kumtumia DP World na Mh. Rais Samia mkimdanganya kwamba wana CCM wamekubali mkataba huo...
  10. myyola

    JamiiForums Tanzania App ya Tigopesa ni best kuliko App zingine za mitandao ya simu

    Kwanini app ya tigopesa ni nzuri kwasababu ipo security pia ina uwezo kulunch bila Internet (km huna)tofauti na wengine mpaka uwe na bando. Pia unaweza set badala kufungulia password unatumia fingerprint au face id kutokana device yako. Nini maoni yako
  11. K

    JamiiForums Tanzania Nani anayeihujumu TTCL? Kuna tatizo la kuadimika kwa laini, zinauzwa mpaka 7000

    Nani anayeihujumu TTCL kwa kiwango hiki? Kuna mmbo fulani yanaendelea kwenye TTCL kiasi kwamba tunaona kama ni hujuma kwa TTCL: Kwanza, kipindi kirefu sasa ukitafuta laini za TTCL kwa mawakala wanakuambia hamna. Ni kweli shirika likose laini ambazo kimsingi ndio mteja na ndio zitachochea...
  12. I

    JamiiForums Tanzania Nimesikitishwa na kugadhabika jinsi Watanzania walivyopokea suala la wanafunzi waliotoka Sudan

    Wakuu, Mimi nikiwa kama Mtanzania mwenye akili timamu, nimechukizwa sana na jinsi watanzania mbalimbali walivyolishadadia na kuendelea kuchangia maoni yao kwa wanafunzi waliokuja kutoka Sudan kufanya mafunzo yao ya udaktari kwa vitendo katika chuo cha Afya Muhimbili. Nasema nimegadhabishwa kwa...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Serikali kuanzisha mfumo wa kidigitali kukusanya kodi kwenye matangazo ya mitandao ya kijamii

    Mwigulu Nchemba, Waziri wa Fedha na Mipango wakati anawasilisha Bajeti ya 2023/2024 amesema kutokana na ukuaji wa teknolojia, biashara nyingi zinafanyika mtandani na hivyo matangazo yanayofanywa kukuza bishara hizo kwenye mitandao ya kijamii kama Instagram, Facebook, Twitter na blogs mbalimbali...
  14. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Kuna shida ya takwimu za TCRA kuhusu matumizi ya GB kwa mitandao ya kijamii

    Nimeangalia matumizi ya GBs kwa robo mbalimbali nchini nimegundua kuna shida kwenye takwimu wanazotoa TCRA. Kwa robo ya mwisho ya mwaka 2022 walionesha kuwa tulitumia jumla ya GB Trilioni 90.1 Kwa robo ya kwanza ya mwaka 2023, data zimebadilika hadi kufikia GB milioni 48 Mimi niombe...
  15. P

    JamiiForums Tanzania Arusha ni tofauti na inavyozungumziwa kwenye mitandao

    Habari wakuu. Jiji la Arusha lina tatizo gani? Viongozi inabidi wajitafakari sijuwi ni wanafanya kazi kwa mazoea (kwa kukaa kituo kimoja cha kazi kwa muda mrefu) au hakuna ubunifu wa kiutendaji. Hadi leo huu mkoa ni aibu na fedhea ya karne wameshindwa kujenga stand ya mabasi ya kisasa...
  16. Daud Nyanda

    JamiiForums Tanzania SoC03 Matumizi ya mitandao ya kijamii katika utoaji ajira kwa vijana

    Tupo katika dunia ya sayansi na teknolojia ambayo kila siku vitu vipya vimekua, vikigundulika na vya zamani kufanyiwa uboreshaji zaidi ambapo tunaona mabadiliko ya Sayansi na teknolojia yalikua zaidi kwanzia miaka ya 1700 ambapo vifaa mbalimbali vya kisayansi vilitengenezwa Na kuleta mabadiliko...
  17. Advocate_Silayo

    JamiiForums Tanzania Mitandao ya Kijamii na uwajibikaji wa Raia wa kidigitali

    Tangu kuanzishwa kwa mitandao ya kijamii imekuwa ni njia rahisi na nyepesi ya kuwafanya watu kukutana kwa uharaka hata kama wapo katika umbali mkubwa sana, leo hii mtu anaeishi Tanzania anaweza kuongea na kuonana kwa macho na mtu anaeishi katika nchi nyingine nyingi Duniani. Urahisi huu umeletwa...
  18. P

    JamiiForums Tanzania SoC03 Wakati umefika tuwe na somo au mada kuhusu mitandao ya kijamii kuanzia shule za msingi mpaka sekondali juu ya uwajibikaji katika mitandao hii

    Kuwa wawajibikaji katika mitandao ya kijamii kunahusisha kuchukua hatua za kuwajibika na kuheshimu wengine wakati tunatumia jukwaa hilo. Hapa kuna miongozo ya jumla ambayo inaweza kusaidia kuwa na uwajibikaji katika mitandao ya kijamii: Kuwa na ufahamu: Jifunze na elewa sheria na sera za...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Ni sababu zipi zinafanya umfungulie mtoto akaunti kwenye mitandao ya kijamii?

    Habari Wakuu, Naamini wengi sio wageni na akaunti za watoto kwenye mitandao ya kijamii kama vile Instagram, Facebook, TikTok na kadhalika. Akaunti hizi zinazofunguliwa na wazazi/walezi zimekuwa zikisimamiwa na wazazi wenyewe mara nyingi, na mara chache mtoto anaachiwa kuendesha account hiyo...
  20. Ricky Blair

    JamiiForums Tanzania Mitandao ya simu na benki

    Ivi why can't we call customer care directly kupata msaada bila bonyeza iki Mara iki Mara iki Yaani mlolongo hadi unajuta plus dakika zako zinaenda tu. Wekeni number special kila moja ukibonyeza ya kitu fulani. Mnatuchosha na kuboa na minyimbo yenu cjui matangazo Hapana too much sasa
Back
Top Bottom