Airtel Customer Care WhatsApp Number
Vodacom Customer Care WhatsApp Number
Tigo Customer Care WhatsApp Number:0675-100-100
Halotel Customer Care WhatsApp Number: 0620100100
Mitandao ya kijamii imekuwa sehemu muhimu ya maisha ya watu. Inawapa nafasi ya kuwasiliana, kusalimiana na kutengeneza uhusiano wapya. Ingawa ina faida nyingi, mitandao ya kijamii ina madhara kadhaa kwa afya ya akili ya watumiaji wake. Hapa chini ni baadhi ya madhara hayo.
Kuathiri kujiamini...
Nimefuta usajili wa namba ya simu tangu mwaka 2020, lakini hadi leo ukiangalia usajili wa namba zote zilizosajiliwa kwa namba ya NIDA, unaletewa na namba ambazo ulishazifuta, mbaya zaidi namba uliofuta unakuta imeshasajuliwa tena na mtu mwengine.
Ushauri ni kua, NIDA wawe na utaratibu wa ou...
Yalianza jana kupitia airtel, muamala wa malipo haukufanyika
Sasa leo nawapigia simu zuku ili angalau niwafahamishe kuwa nimeshalipa ni airtel ndio wanachelewesha hela yao weeeee dakika 140 zimeisha
Dakika 140 zimeisha bila simu kujibiwa
Na sasa hivi nipo raundi ya pili dakika 70 zimekata ni...
Mie nimekuwa mtumiaji wa tiGo na Airtel. Ilikuwa wakizingua Airtel nahamia tiGO and viceversa.
Hivi sasa Hali imenifika shingoni sina pa kukimbilia. Manake Wote ni majambazi. Unaweka Bando la wiki. unalazimika kushusha mtandao kwenye Simu isome 3G badala ya 4G.
Lakini haujamaliza Dk 5...
Ndugu zangu hivi ni mimi tu au ni kwa wote? Nikipiga Huduma Kwa wateja kwa nia ya kuongea na mhudumu kuhusu tatizo lolote la kimtandao huwa sipati chaguo la kuongea na mhudumu wetu kama ilivokuwa zamani.
Nimeshangaa sana kwa mitandao yangu yote ninayotumia ya Voda na Airtel.
Hili suala...
Upweke ni tatizo kubwa hususani vijana, unashangaa upo online masaa 24 kwenye mitandao ya kijamii.
Lakini...
Huna muda wala ukaribu na mtu wa karibu yako pengine majirani zako, kwa kisingizio unaishi maisha yako hivyo wasikufate fuate, Kumbuka maisha bila watu hayana ladha.
Mitandao ya...
Habari zenu,
Kama kichwa cha mada kinavyojieleza hapo juu kama kuna mtu mwenye ujuzi namna ya kuingiza pesa basi nahitaji kujua angalau nielewe hii kitu maana nimekuwa nikisikia sijui online business lakini sielewi chochote.
Jamani nahitaji mchango wenu nyie wenzetu wenye ujuzi hata kidogo.
Binafsi sio mshabiki wa mpira kabisa ila 2022 mwishoni nilianza kuahabikia timu ya Yanga, nikajikuta die hard fan. Kombe la dunia lilipoanza nikawa naangalia maramoja moja, siku moja nikasearch Google ratiba ya mechi nikaangalia, baada ya muda usiku nikaingia FB nikaona Meme inayohusu mpira...
Hello JF, ni muda umepita toka niandike kitu chochote humu, na kwa leo, since I feel like writing, nimeona niandike kuhusu kitu kinachoitwa Lead Generation; Skillset muhimu ambayo itabidi uwe nayo kama unalenga kutangaza bidhaa au huduma zako kwenye mitandao ya kijamii kama Facebook, Twitter...
Uamuzi huo umetajwa kuwa ni kwa sababu za kiusalama, Serikali ikiamini kuwa taarifa za muhimu zinaweza kuchukuliwa na Serikali ya China
Mwakilishi wa Baraza la Mawaziri, Oliver Dowden amesema hiyo ni tahadhari.
TikTok imekanusha vikali madai kuwa imekuwa ikitoa taarifa za wateja wake kwa...
Ni kama fashion sasa hivi watu kuwarekodi watoto kwa video fupi au kuwapiga picha wakiwa katika harakati zao za maisha ya kitoto.
Kwa kuwa mtandao imekuwa mbadala wa albam kwenye kutunza kumbukumbu ni jambo jema kutunza kumbukumbu za makuzi ya mtoto iwapo unaona ni lazima ukatunze mitandaoni...
Vodacom na Tigo mitandao yote hii inajisifu kwa kuongoza kuwa na kasi kubwa ya internet 5G. Kwa baadhi ya maeneo nchini na baadhi ya watu wamekwisha jaribu kuona Je! Yaliyomo yamo?
Tupe ripoti yako tafadhali.
Zawadi Mkweru, mtumishi wa Jamiiforums, leo ikiwa siku ya wanawake Duniani yupo Mbashara EATV akizungumzia masuala mbalimbali kuhusu matumizi sahihi na salama ya mitandao ya jamii.
Katika mjadala huo Zawadi anafafanua umuhimu wa Elimu ya matumizi sahihi na salama ya mitandao kuanza kutolewa kwa...
Katika jamii ya Kidemokrasia, Uhuru wa kutoa maoni Mtandaoni huupa Umma nafasi ya kuchunguza Shughuli za Serikali na kuwawajibisha Viongozi kwa matendo yao.
Huwafanya Viongozi wawe Waangalifu na wenye busara katika kutekeleza Majukumu yao kwa uwazi kwa Manufaa ya Jamii nzima.
====
Katika...
Mitandao ya kijamii imerahisisha sana uwepo wa majadiliano ya mtandaoni kuhusu masuala yoyote yanayoigusa jamii husika. Mitandao imekuwa ni uwanja wa kutafuta suluhu za matatizo ambayo jamii inakumbana nayo, lakini pia imekuwa kijiwe ambapo watu hubadilishana mawazo na pengine kupeana mbinu...
Na hiki ndio huwa kinawafanya wanaangukia pua, puuu.
Uraiani hawakubaliki kabisa maana ndio kwenye uhalisia.
Lakini wao wanakomaa kueneza propaganda njaa kwenye mitandao ya kijamii.
Kura zikijakupigwa kiuhalisia wanabaki kusema wameibiwa.
Mkuu kwema? Pole na uchovu wa safari ya kuperuzi JF.
Boss, ebu tuongee kidogo kuhusu hii mitandao ya kijamii mpaka leo imekusaidia chochote ?
Au unaonaga mauzauza tu 😅?
Graduate uliyehitimu chuo na hauna Ajira, vipi hii mitandao ya kijamii unaichukuliaje?
Ni sehemu ya kupotezea muda na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.