Jana nilitaka kufanya muamala kutoka M-PESA kwenda Tigo Pesa ikawa inakataa, mpaka hapo asubuhi ya leo nilipoamua kuwapiga.
wakasema wanatengeneza!
Hayaa, nimeingia leo kuperuzi Facebook nimekutana na tangazo la Tigo nao TIGO PESA yao haipo hewani.
Nimeingia JF nakutana na TTCL nao na huduma...
Mpaka sasa hivi makampuni ya simu yanaendelea kuuza vifurushi kwa bei ileile onevu ambayo ililalamikiwa na wananchi hapo jana.
Licha ya Serikali kupitia TCRA kuagiza usitishwaji wa viwango hivyo, bado makampuni hayo yamekaidi na yanaendelea 'kuwaibia' wananchi kwa kuuza bando kwa bei ambazo...
Lilitoka Tangazo TCRA kuwa warudishe vifurushi vya zamani wakati wanapitia upya new rates. Wamegoma kwa viburi na DG hajafanya lolote.
Jana Rais kampa angalizo juu ya "uchafu" uliopo TCRA. Naona bado DG amelala, haamini kama kuna uchafu katika makampuni ya simu! Wana viburi.
Ni kweli tupo kwenye ulimwengu wa kidigital, hivyo huwezi kuwakwepa watumiaji wa mitandao. Maana mitandao kama JF huku watu wanatiririka ukweli tofauti na kwenye magazeti.
Lakini hii sio sababu ya kusema kuwa serikali iwe na watumishi amabo inawalipa mishahara alafu hawajui masuala ya...
Kwa mtazamo wangu ili kumuwezesha kufanya maamuzi akiwa na fikra huru wampunguzie access au kumuweka mbali na mitandao ya kijamii.
Lisipofanyika hilo utendaji wake utaathirika pakubwa kwani maamuzi yake yanaweza athiriwa na opinions za watu ambazo kwa namna moja au nyingine zinaweza zisiwe...
Na hiyo ndiyo mbinu aliyo kuwa akiitumia Magufuli.
Alitumia sana Watanzania wa chini na wenye uelewa mdogo kujipatia umaarufu huku maswala ya kitaalamu yakienda kombo.
Aliwadanganya sana kwa mengi na walimuamini sana kama Kinjeketile Ngwale wao na walidanganyika kwa sababu walio wengi hawakuwa...
*1.Tanzania; Una mgonjwa mahututi ndani lakini unamuacha ili uwahi mazishi ya mtu aliekufa ambae hata sio ndugu yako!*
*2. Tanzania; Mgeni akija nyumbani anakula vyakula vizuri kuliko familia yako na anatumia vyombo vizuri kuliko familia yako.*
*3. Tanzania; Ukiugua Ukaomba michango utibiwe...
Mna Mambo ya ajabu Sana. Yaani mtu akipiga simu atawekewa matangazo mpaka atajuta na kukimbia mwenyewe. Najiuliza lengo la mtu kiwapigia simu ninl kusikiliza matangazo au kuelezea hitaji lake.
Coz wakati mwingine mtu anahitaji huduma ya haraka, huemda amekosea namba or something. Sasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.