Mitandao wa Voda na Airtel wamefuta huduma ya kuongea na mtoa huduma kupitia namba 100?

ryaniza

Member
May 4, 2021
9
12
Ndugu zangu hivi ni mimi tu au ni kwa wote? Nikipiga Huduma Kwa wateja kwa nia ya kuongea na mhudumu kuhusu tatizo lolote la kimtandao huwa sipati chaguo la kuongea na mhudumu wetu kama ilivokuwa zamani.

Nimeshangaa sana kwa mitandao yangu yote ninayotumia ya Voda na Airtel.

Hili suala mnaliaddress vipi wadau wa JF?
 
Ndugu zangu hivi ni Mimi tu au ni Kwa wote nikipiga huduma Kwa wateja Kwa nia ya kuongea na mhudumu kuhusu tatizo lolote la kimtandao huwa sipati chaguo la kuongea na mhudumu wetu kama ilivokuwa zamani nmeshangaa sana Kwa mitandao yang yote nayotumia ya Voda na Airtel hili suala mnaliaddress vp wadau wa JF
Wanakhofia kuulizwa maswali magumu

Wanakata Hela zetu za vocha Kwa huduma walizotuunga wao wenyewe bila kutujulisha

Kenge sana Hawa jamaa
 
Pitia kila chaguo huez kosa njia ipo ila nahisi sometimes kuna sisi wateja shida kidogo tuu tunawatwangia Wanaonga huyu kero ngoja tumuekee menyu yenye haina “bonyeza sufuri kuongea na mtoa huduma wetu”
 
Ndugu zangu hivi ni mimi tu au ni kwa wote? Nikipiga Huduma Kwa wateja kwa nia ya kuongea na mhudumu kuhusu tatizo lolote la kimtandao huwa sipati chaguo la kuongea na mhudumu wetu kama ilivokuwa zamani.

Nimeshangaa sana kwa mitandao yangu yote ninayotumia ya Voda na Airtel.

Hili suala mnaliaddress vipi wadau wa JF?

Nilcho jifunza huduma kwa wateja ya vodacom wabaguzi mim na lain mbili zote za vodacom moja natumia kwenye calls data na sms(Heavy user) na nyingne natumia kwenye whatsapp namba ya vodacom nayo tumia kwenye whatsapp mara nying hua ipo kwenye sim ndogo situmii sana hiyo namba hata nipige 100 hua sipewi option ya kuongea na huduma kwa wateja ila namba yangu nyingne ambayo naitumia kote(heavy user) kasoro whatsapp nikipiga 100 sipewi hata maelezo anapokea huduma kwa mteja moja kwa moja

nilcho jifunza vodacom inatoa kipaumbele kwa mteja anae weka sana vocha na mwenyewe matumiz makubwa ya mtandao wao mfano kwa siku nlkua naweka vocha 6k -9k na hii lain nikipiga huduma kwa wateja(100) yan inaita straight anapokea sipewi hata matangazo itauliza unataka kiswahili au kingereza ukichagua tu anapokea hapo hapo huduma kwa wateja

ukiwa mteja wa kawaida unaweka vocha kwa manat ukipiga 100 hupat option ya huduma kwa mteja huu ni ubaguz
 
Chaguo la kuongea na huduma kwa wateja lipo
Kuwa makini ktk kusikiliza maelekezo.
 
Back
Top Bottom