Amani iwe kwenu.
Mamlaka za Serikali zimeonesha kusuasua kuisajili kampuni ya Elon Musk ( StarLink) ili kutoa huduma ya mawasiliano nchini.
Tuliosoma Cuba tunaelewa sababu za kusuasua huku. Mojawapo ya sababu hizo ni uwepo wa muungano usio wa kawaida kati ya makampuni yanayotoa huduma za...
Kwa nini huduma nyingi za kisasa kama YouTube premium, blue twitter nk hazipatikani Tanzania.
Kwa mfano natumia YouTube premium ila natumia address ya Nigeria hivyo nalipa Naira 1000 kwa mwezi na awali nilikua natumia ya UAE, gharama ilikua kubwa kidogo kuliko Nigeria.
Sasa natumia Twitter...
Takwimu za TCRA zinaonyesha kwamba mtandao wa kijamii wa facebook unaimilikiwa na kampuni ya meta bado ndio mtandao unaotumiwa na watu wengi zaidi Tanzania kuliko mtandao wowote ule.
Kwa mujibu wa TCRA, kiwango cha data kinachotumika kwenye Mtandao wa facebook ni sawa na data zinazotumika...
Leo waziri wa kilimo Hussein Bashe amezungumza na waandishi wa habari amewasihi vijana wanaofikilia kulima kilimo kwenye mitanzandao ya kijamii waache mara moja
"Tunatoa uelewa acheni kulima kwa Twitter na WhatsApp, hakuna mtu anayeweza kukuambia lete milioni 10 na baada ya mwezi utapata 15...
Facebook- Wanawake kwa wanaume
Tweeter-Mtandao wa kiume
Instagram-Mtandao kwa ajili ya wadada
TikTok- Wadada
Kidume akiwa na TL account hashangazi.
Uzi tayari.
Najua kuna baadhi ya mitandao ya simu wahusika wake wapo humu.
Ombi langu, kama mnaweza ondoa ile huduma ambayo kama mtu anaongea na simu nyingine halafu akapigiwa, kusiwepo na ile "the number you're calling is busy..... namba unayopiga inatumika kwa sasa....."
Huu ujumbe umekaa kisnitch sana...
Salam za Jumatatu.
Iwe Voda, Tigo, Airtel nk, kuna madeni ya kukopa iwe songesha, nk.
Kwa bahati njema wateja waaminifu hukopeshwa fedha nyingi sana. Kwa kuwa kimsingi chip ya mteja ndio ya biashara zake Hana budi kulipa deni. Na Kwa kweli hakuna namna.
Mwezi Januari ni wa malipo mengi, hata...
Zaidi ya akaunti 1,000 baadhi zikiwa na wafuasi zaidi ya milioni zimefungiwa kwa kuonekana zinaikosoa Serikali katika mkakati wake unaoendelea kuhusu maambukizi ya ugonjwa huo.
Hivi karibuni China ililegeza masharti ya wasafiri kuhusu tahadhari za ugonjwa huo na inadaiwa imechangia kuongezeka...
sasa bandiko kama hili linajibu swali la bwana yule mliyemtoza mamlioni kwa pampas na viguo vya mtoto. Hamuwezi kutumia mifano rahisi kuwafanya wananchi waelewe?
Mfano shida ya watanzania wengi iko hapa;
Mtu kanunua gari kwa dola 1000 sawa na TZS 2,270,000 inakuwaje anaishia kulipa TZS...
Nashangazwa na viongozi wetu wa siasa kuwa very active kwenye social media kupost mambo wanayoyafanya, but ukisema uwafuate inbox kuwaeleza changamoto yako hawakujibu
Moja kati ya viongozi niliojaribu kwenda nao dm ninpamoja na Waziri wa maji (Juma Aweso) na Nikki wa Pilli.
Habari zenu,
Jamani mimi ningependa kuuliza tu. Hivi wanaposema account zimedukuliwa na data za watumiaji zimeuzwa. Wanamaanisha nini?
Data gani? Wanauza wapi?
Wanaowauzia wanazitumia vipi?
Nakumbuka niliwahi angalia muvi fulani ya kizungu ilikuwa inahusisha kudukua account za watu sasa pia...
Hahahaaa mwenzenu si nikatajwa Kwa midoido yote na vouda kujipendekeza huko wakajibetua Kuniwishi Birthday eti Fulani bini Mwanzenzele Rugaimukamu we wish you a happy birthday ndio ntahamaki nijitwishe niwalipe deni lao. Mmenitesa sana makato ya Tozo za simbanking za muamala na uhuni wa...
Siku hizi imeibuka biashara ya simulizi mitandaoni ikiwemo Whatsapp na Facebook.
Hawa watunzi wamejigawa katika makundi. Watunzi halisi, wanaocopy kazi za wenzao na kuziuza bukubuku. IPO mifano
Mtunzi hapa JF ndg Singano bila shaka anajua mwenyewe anatungaje na kutuma vipande vipande wastani...
Hili jambo kwa mtazamo wangu, watanzania tunaandaliwa kwa jambo kubwa lijalo hapo mbeleni, bado hatujui ni jambo gani, ila linakuja wakati ambao hatutaweza tumia mbadala wowote zaidi ya huo ujao... Ni nini..?? Mimi na wewe hatujui...
Tusubiri tuone kama je
Ni huu ujuo wa mtandao wa Musk..??
Je...
Amepost kwenye insta story yake
MWANAMUZIKI maarufu wa Hip Hop nchini na mbunge mstaafu wa Mikumi, Joseph Haule (Prof. Jay) aliruhusiwa kurejea nyumbani Juni 9, 2022 kutoka hospitali alikokuwa amelazwa baada ya kupatiwa matibabu kwa siku 127 na afya yake kuimarika.
Huu mgao wa umeme unaoendelea kwa kasi, umesababisha wengine tutumie simu za mkononi kuangalia mpira, jambo ambalo linatugharimu sana sisi wapenzi na watazamaji wa mpira wa miguu. Vifurushi vimepanda bei, mafuta yamepanda bei, in short maisha kwa ujumla yamepanda juu.
So, Mgao unaoendelea wa...
Habari ya asubuhi wana JF.
Nimeleta hoja hii mbele yenu, kupata maoni kutoka kwenu. Hii ni kutokana na kubadilika kwa bei za vifurushi mara kwa mara bila kutolewa sababu za kubadilika kwa gharama za huduma hizo.
Kwanini hakuna chombo kama EWURA!? Kinachofanyika kwenye mafuta kifanywe na huku...
Nadhani kila moja anajua kama dunia sasa imekuwa kijiji kwa kuunganishwa na simu . yani mitandao ya kijamii (social media).
Na sijui niseme uzuri au ubaya wa mambo humu kwenye mitandao ya kijamii kumekuwa na makundi ya watu wa aina mbalimbali . na makundi hayo yanazalishwa na kutoka na ulewa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.