NIDA wahuishe taarifa za usajili wa namba za simu ziendane na zilizoko mitandao ya simu

sanalii

JF-Expert Member
Oct 1, 2018
1,435
5,102
Nimefuta usajili wa namba ya simu tangu mwaka 2020, lakini hadi leo ukiangalia usajili wa namba zote zilizosajiliwa kwa namba ya NIDA, unaletewa na namba ambazo ulishazifuta, mbaya zaidi namba uliofuta unakuta imeshasajuliwa tena na mtu mwengine.

Ushauri ni kua, NIDA wawe na utaratibu wa ou update taarifa za usajili at least kila mwezi, ili ziendane na zilizoko mitandao ya simu,
 
Hoja yako inamshiko,,
.usikilizwe.

Juzi nimepokea SMS ya chanjo kwenye Namba yangu ya voda kutoka namba 100 kwamba nimechanja chanjo yangu ya Kwanza ya Janssen lakini ajabu Jina limekuja la mtu mwingiine wakati Namba za kwangu na wala sijachanja wala kujisajili chanjo yeyote.
 
Tanzania hatujawahi kuwa serious na jambo lolote isipokuwa mapenzi na rushwa tu...
Wewe fikiria laini anapewa mtu mwingine huku ukitambulika kuwa mmiliki ni wewe. Akifanya mambo yake huko utafutwe wewe wakati laini walimpa wao
 
Mimi ombi langu naomba wawe Wana update taarifa ili mtu aliekosea kujisajili aweze kupata fursa Tena ya kujisajili...mfano mweny taarifa zilizoingiliana anawez kujiandikisha Tena na sii kumpiga permanent ban ya kutokuwa na namba
 
Mimi ombi langu naomba wawe Wana update taarifa ili mtu aliekosea kujisajili aweze kupata fursa Tena ya kujisajili...mfano mweny taarifa zilizoingiliana anawez kujiandikisha Tena na sii kumpiga permanent ban ya kutokuwa na namna
 
Hoja yako inamshiko,,
.usikilizwe.

Juzi nimepokea SMS ya chanjo kwenye Namba yangu ya voda kutoka namba 100 kwamba nimechanja chanjo yangu ya Kwanza ya Janssen lakini ajabu Jina limekuja la mtu mwingiine wakati Namba za kwangu na wala sijachanja wala kujisajili chanjo yeyote.
Hembu fikiria huo mkanganyiko
 
Back
Top Bottom