2013
JF-Expert Member
- Aug 2, 2011
- 11,358
- 6,059
Mie nimekuwa mtumiaji wa tiGo na Airtel. Ilikuwa wakizingua Airtel nahamia tiGO and viceversa.
Hivi sasa Hali imenifika shingoni sina pa kukimbilia. Manake Wote ni majambazi. Unaweka Bando la wiki. unalazimika kushusha mtandao kwenye Simu isome 3G badala ya 4G.
Lakini haujamaliza Dk 5.
Unatumiwa meseji umetumia 75%..na hapa umefungua Whatsup ukatuma meseji. Na hii inakuja unapoamua kuzima Data. Kisha ukikaa bila kutumia mpaka Kesho inakuja meseji Bando lako limeisha.
Kinachosikitisha, kukosa pa kupeleka malalamiko yakasikilizwa.