mitaa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Uchaguzi serikali za mitaa ufanyike 2026. Je, kuna madhara yoyote?

    Je, haiwezekani kuahirisha uchaguzi wa serikali za mitaa mpaka 2026? Hii itawezesha uchaguzi huo kusimamiwa na Tume Mpya Huru ya Uchaguzi badala ya Tamisemi. Nadhani Watanganyika tusiwaige Wazanzibari kufanya chaguzi zote kwa wakati mmoja. Nchi yetu ni kubwa sana ukilinganisha na Zanzibar.
  2. K

    JamiiForums Tanzania Kuhusu Pensheni ya Wastaafu wa Serikali za Mitaa kutoka Hazina: Je, Serikali haijui ni haki yetu?

    Leo ni tarehe 9.1.2024 Wastaafu wa Serikali za Mitaa wanaolipwa na Hazina hawajapata pensheni yao ya Desemba, 2023. (1) Je, Serikali ina hali mbaya ya kifedha? (2) Je, Serikali haijui ni haki yetu? (3) Je, Serikali haioni ni kipaumbele chake kuwalipa wastaafu? Tunaomba tulipwe kwani ni haki yetu.
  3. Dugwai

    JamiiForums Tanzania Barabara za mitaa zimepewa majina yasiyo endana na historia

    Habari za mchana JF members Mm ni mkazi wa Dar es Salaam sehemu ninayoishi barabara zake za mtaa zimepewa majina yasiyo endana na historia ya maeneo hayo. Majina hayo yaliwekwa pasina kuwashirikiasha wananchi, mfano kuna barabara ya mikumi,Samia,magufuli,chato n.k Ila kwa mtazamo wangu naona...
  4. Huihui2

    JamiiForums Tanzania Naomba kueleweshwa; Je Google wanapataje mitaa na njia za dunia nzima?

    Moja kwa moja kwenye point. Wajuzi watujuze ni kwa vipi Google inazo barabara na vinjia hata vya vijijini swekeni kabisa. Na mara nyingine wameweka hadi majina ya mitaa.
  5. Webabu

    JamiiForums Tanzania Hamas wameigeuza mitaa ya Gaza kuwa tando la vifo kwa askari wa Israel

    Shirika la habari la Reuters limegundua kuwa wanamgambo wa Hamas wameweza kuigeuza mitaa ya Gaza iliyobomolewa kuwa ni mtego na tando la kuwaua askari wa Israel. Idadi ya askari wa IDF waliothibitishwa na Israel yenyewe kufa katika vita hivi tayari imeshakuwa ni mara mbili zaidi ya vile...
  6. Atlast nimempata

    JamiiForums Tanzania Kuna mitaa imelaaniwa

    Ulishawahi kukuta mtaa fulani hali ya maisha ya kaya zoote hapo choka mbaya? Mtaa wote umejaa makahaba! Mtaa umejaa walevi! Watoto au kizazi ndani ya huo mtaa hawamalizi darasa la saba au kidato cha nne! Ndani ya huo mtaa hakuna mtumishi wa umma mwenye mshahara unaoeleweka! Hakuna familia...
  7. and 998 others

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Madanguro Dar, Serikali za mitaa mnalipwa?

    Madanguro yamekuwa kama biashara rasmi, Leo nitataja madanguro Jijini na kuwauliza mamlaka za Serikali za mitaa kama nao ni sehemu ya huu uchafu. 1. Tandika Sokoni, 2. Temeke Sudani, 3. Temeke Sokota (Sugar Ray), 4. Buguruni Sokoni, 5. Manzese Uwanja wa Fisi, 6. Manzese Mferejini, 7...
  8. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Khamis Hamza: Serikali Kuziwezesha Mamlaka za Serikali za Mitaa Kusimamia Taka Nchini

    Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Khamis Hamza Khamis amesema Serikali kwa kushirikiana na Washirika wa Maendeleo imeibua miradi ya kuziwezesha Mamlaka za Serikali za Mitaa kusimamia taka nchini. Amesema hayo wakati akiwasilisha taarifa ya utekelezaji wa mikakati...
  9. KING MIDAS

    JamiiForums Tanzania Treni ya kutoka Kigoma yapata ajali mitaa ya Kibirizi

    Treni iliyokuwa ikitokea Kigoma kuelekea jijini Dar es Salaam imepata ajali mita chache kutokea stesheni ya mkoa wa Kigoma ambapo mabehewa matatu kati ya 14 yaliyokuwa yamebeba abiria yameacha njia katika eneo Kibirizi Manispaa ya Kigoma Ujiji mkoani Kigoma. Ilikuwa ni majira ya saa tatu...
  10. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Maputo: Polisi watumia Mabomu ya Machozi na Kujeruhi Waandamanaji wanaopinga Matokeo ya Serikali za Mitaa

    Polisi Jeshi la Polisi jijini Maputo limetumia Mabomyu ya Machozi kuwatanya Waandamanaji wa Upinzani huku wengine wakijeruhiwa kutokana na kupinga matokeo ya Uchaguzi uliofanyika Wiki moja iliyopita wakidai Chama Tawala (FRELIMO) kiliiba Kura. Maandamano hayo yanafuatia uamuzi mwingine wa...
  11. Ngurukia

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa Serikali za Mitaa anataka kuniuzia kiwanja changu mwenyewe

    Nina kiwanja changu kama nusu eka nilichonunua 2012 maeneo ya Chanika. Nilikizungushia fence ya waya na mara moja moja nilikuwa natuma mtu apasafishe. Takriban miaka 6 nilikuwa nje ya Dar kikazi. Nimerudi mwisho wa mwezi wa 9 ila ilikuwa sijapata fursa ya kwenda kwenye kiwanja changu. Jana...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Migogoro mingi ya ardhi inasababishwa na Madiwani na Wenyeviti wa mitaa

    Ni usiku mwema kwa wote wana jf, Nimeona ni jambo jema na la kufanyiwa kazi hasa kwa Wizara ya ardhi. Ili kuepusha migogoro na malumbano yasio na tija kwa eneo husika hasa wananchi kwenye swala la ardhi ni vyema hawa viongozi wetu tajwa hapo juu wachaguliwe kulingana na tabia nzuri zisizo na...
  13. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Maisha ya kijijini na Maisha ya Sehemu au mitaa ya kijijini hayana utofauti wowote.

    Personally ukiyatazama Maisha ya uswahilini huwezi yatofautisha na Maisha ya kijijini. Mfano Tandika Bidhaa zipo bei Rahisi Sana Kuanzia soko la sterio na masoko mengine. Mzunguko wa hela , uswahilini pesa haizunguki Sana labda bidhaa za chakula. Warembo wa huku ni wale ambao hawana...
  14. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania DAWASA yafafanua sababu ya maji kukatika mitaa ya Tabata

    Baada ya kudaiwa kuna changamoto ya huduma ya maji Mitaa ya Tabata hasa kuanzia Posta kuelekea Segerea, ikiwa ni wiki ya pili kuna uhaba wa maji huku Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) ikiwa haitoi taarifa ya kinachoendelea, ufafanuzi umetolewa. Awali ilidaiwa kuwa...
  15. G

    JamiiForums Tanzania Wajumbe wa nyumba kumi au serikali za mitaa ndio wajumbe wa Chama ( CCM)?

    Nilikuwa nauliza ndugu zangu naomba kupata ufafanuzi wa hili jambo binafsi linanichanganya hawa wajumbe wa Serikal za mitaa au balozi wa nyumba kumi ndio hao hao wajumbe wa chama (CCM)?
  16. BigTall

    JamiiForums Tanzania Mwili wa Mwanaume waokotwa mitaa ya Jangwani, inadaiwa alishambuliwa, kuuawa kisha kutupa

    Mida ya saa kumi jioni ya leo Septemba 4, 2023 nilipita maeneo haya ya Jangwani karibu na mto, nikaona kuna mwili wa mwanaume ukiwa umetupwa. Mashuhuda wanadai itakuwa jamaa ameshambuliwa na kuuliwa kisha kutupwa eneo hilo. Sijajua huo mwili ni wan ani hasa lakini nimeshuhudia Jeshi la Polisi...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Maduka ya vifaa vya uvuvi kama engine mwanza yanapatikana mitaa ipi?

    Jamani maduka ya vifaa vya uvuvi kama mashine mwanza yanapatikana mitaa gani?
  18. M

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Kuna mpasuko mitaa ya Ufipa. Ishu ya bandari yatajwa

    Habari zilizonifikia kutoka kwenye vyanzo vyangu vinavyoaminika vinadai kuna mpasuko mkubwa kwenye korido za ufipa kwa kile kilichotajwa kuwa baadhi ha makada waandamizi kutoridhishwa na mwelekeo wa siasa za chama zilizojaa udini siku za hivi karibuni. Tetesi zinasema tayari wanachama wengi...
  19. Muuzaji Mkuu

    JamiiForums Tanzania SHOPPING SERVICES: Nanunua, nafunga na kusafirisha bidhaa kutoka Kariakoo kwenda mikoa yote Tanzania na nchi jirani

    NANUNUA,NAFUNGA NA KUSAFIRISHA BIDHAA KUTOKA KARIAKOO KWENDA MIKOA YOTE TANZANIA NA NCHI JIRANI. HUDUMA ZA ZIADA 📌Nafuata,nafunga na kusafirisha bidhaa iliyokwisha kununuliwa Kariakoo kupitia mitandao kama fb na insta. 📌Nafanya ukaguzi na kuhakiki ubora wa bidhaa uliyonunua kariakoo kupitia...
  20. Tukuza hospitality

    JamiiForums Tanzania SoC03 Serikali za Mitaa Ziimarishwe Ili Kuharakisha Maendeleo ya Wananchi

    ConstantineJ. Samali Mauki Utangulizi Serikali za mitaa ni chombo cha utawala wa umma, kilichopewa madaraka ya kuamua na kuendesha shughuli zake katika sehemu ndogo ya nchi au Taifa. Hizi ni halmashauri za wilaya, miji, manispaa na majiji ambazo zinasimamia shughuli za maendeleo za kata...
Back
Top Bottom