mitaa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mawematatu

    JamiiForums Tanzania Wenyeviti Serikali za Mitaa amkeni: Wakuu wa Wilaya angalieni hii inawahusu

    Viongozi wa mitaa ndiyo base ya mambo yote serikali inayopanga. Bila Hawa viongozi kufanya kazi yao kazi haiwezi kufanyika. Mabalozi wa shina ndio msingi mkuu wa kuunganisha wananchi. Dhana yote ya utawala bora itategemea oganaisheni(organization) ya Mh DC, na wananchi bila Hilo hakuna kitu...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Je, Mkurugenzi wa manispaa kufuturisha wenyeviti wa serikali za mitaa ni sahihi?

    Kuna taarifa kuwa siku ya kesho mkurugenzi wa manispaa ya Kinondoni anaenda kufuturisha wenyeviti wa serikali za mitaa yote ya Kinindoni zaidi ya 150. Nauliza haya ndio matumizi sahihi ya kodi zetu? Je, akitokea mwingine akaamua kipaimara cha mtoto wake alishe wajumbe wote kwa hela za umma...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Picha: Waziri Gwajima na mumewe wakikatiza mitaa ya Berlin

  4. S

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Kuupiga Mwingi: Badala ya kuzungumzia maisha ya watu mitaani mnaendekeza majungu

    Serkali hii itahukumiwa na wananchi kiutendaji si kwa sababu Magufuli alifanya vibaya au vizuri! Magufuli tayari ni mfu hana cha kujitetea hata tutukane vipi yeye kashatenda yake mabaya au mazuri shauri yake na Mungu wake! Kujificha kwenye kivuli cha Magufuli kuwa alikuwa mbaguzi ni kwa wale...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Uzoefu ukoje wa mitaa ya Malamba Mawili kwa anayeishi huko

    Wakuu msaada tutani. Kuna mwenye amewahi kuishi au anaishi huko malamba mawili anisaidie uzoefu pakoje kwa maana ya ni tambarare au miinuko, vp maji si tatizo? Na mengine yatayofaa
  6. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya mitaa iliyopewa majina ya Wapigania Uhuru wa Tanganyika

    Hapo chini ni picha za baadhi ya mitaa iliyopewa majina ya wapigania uhuru wa Tanganyika: Katika picha hizi picha ya kwanza inamuonyesha Ali Msham wa kwanza kulia akiwa na Baba Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere wakati wa kupigania uhuru wa Tanganyika. Ali Msham amefanya mengi ambayo...
  7. L

    JamiiForums Tanzania Maonyesho ya taa yafanyika katika mitaa ya biashara mjini Beijing

    Wakati Michezo ya Olimpiki ya Walemavu ya Majira ya Baridi ya Beijing ikikaribia, maonesho ya taa kusherehekea michezo hiyo katika mitaa ya biashara mjini Beijing yanaonekana vizuri kutoka umbali wa kilomita 10.
  8. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Majina ya Mitaa na Historia ya Uhuru wa Tanganyika

    MAJINA YA MITAA YAHIFADHI HISTORIA Ndugu zanguni hivi sasa kuna mradi wa Anuani za Makazi (Post Code). Naamini sote tunashausikia kwa kuwa serikali imeutangaza. Mradi huu ulitakiwa uchukue miaka 5 lakini Rais Mama Samia ameamua huu mradi uwe "Operation Anuani za Makazi" na ukamilike kwa miezi...
  9. Mufti kuku The Infinity

    JamiiForums Tanzania Mitaa ya Kariakoo inachanganya sana

    Yaani hili eneo, acha tu Sijui ni kwa sababu ya uwingi wa magorofa marefu yenye kufanana Mimi hadi leo napata tabu kukariri mitaa (with exception of few of them) Lakini hii mingine acha tu. Yaani unaweza kuzunguka unaitafuta kongo unajikuta Lumumba 🤣🤣 Vipi, ushawahi kupigwa knockout na hii...
Back
Top Bottom