Hamas wameigeuza mitaa ya Gaza kuwa tando la vifo kwa askari wa Israel

Webabu

JF-Expert Member
Apr 29, 2010
7,183
10,913
Shirika la habari la Reuters limegundua kuwa wanamgambo wa Hamas wameweza kuigeuza mitaa ya Gaza iliyobomolewa kuwa ni mtego na tando la kuwaua askari wa Israel.
Idadi ya askari wa IDF waliothibitishwa na Israel yenyewe kufa katika vita hivi tayari imeshakuwa ni mara mbili zaidi ya vile ilivyotokea katika vita vya mwaka 2014.
1702823059052.png

Hamas turns Gaza streets into deadly maze for Israeli troops

Nacho amini kwenye vita kila upande hupata madhara na hata kwa sisi watazamaji kila upande unamashabiki wake, cha kuomba ni amani ipatikane maana nafsi za wasio na silaha zinateketea kila uchao, na wauza silaha wanafurahia maghala yao yanapo funguliwa na silaha ziakaenda kutumika huko, hebu tujiulize wote wana silaha mpya na kubwa kubwa wanazitoa kwenye maghala waliko zitayarisha kwa muda mrefu kwaajili ya haya mapambano. tumwombe Mungu atuhurumue amani itawale.
 
Tazama vizuri uone alivyorushwa, hao wengine kabisa wamekuja kushangaa kamanda wao yuko wapi, na wao wakachezea kichapo.

Ipo version ndefu ya hicho kichapo. Tukuwekee?
Hiyo ni vita mama....ukiwa ground lazima vifo viwepo
 
Shirika la habari la Reuters limegundua kuwa wanamgambo wa Hamas wameweza kuigeuza mitaa ya Gaza iliyobomolewa kuwa ni mtego na tando la kuwaua askari wa Israel.
Idadi ya askari wa IDF waliothibitishwa na Israel yenyewe kufa katika vita hivi tayari imeshakuwa ni mara mbili zaidi ya vile ilivyotokea katika vita vya mwaka 2014.
View attachment 2845229

Hamas turns Gaza streets into deadly maze for Israeli troops

acheni maneno meeengi. Ukweli ni kwamba, vita ya Gaza ni ngumu kwasababu maeneo yalipo mahandaki Israel hawayajui, hadi hamas aibuke, apige mmoja au kadhaa wafe ndio handaki hilo halitakaliwa na mtu tena. israel wengi wanakufa kweli, ila hamas wanaokufa na kukamatwa ni wengi zaidi.

View: https://twitter.com/i/status/1736914247018316029
 
Back
Top Bottom