Kuna mambo yanastaajabisha sana. Huyu ni waziri anayepaswa kusimamia majukumu ya OR-TAMISEMI ambapo Majukumu ya OR-TAMISEMI yanatekelezwa katika ngazi ya Makao Makuu, Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa. Kwa kuzingatia Hati ya Rais ya Mgawanyo wa Majukumu (Presidential Instrument) iliyotolewa...
Natambua majina ya maeneo, mitaa, Taasisi au uwekezaji mara nyingine huja yenyewe kutokana na matukio au waanzilishi na mambo mengine mengi hapa nazungumzia haya ya kupewa sio hayo ambayo automatically yanakuwa hivyo .
Duniani kote kuna mitaa na maeneo zaidi ya 20 inayokwenda kwa jina LUMUMBA...
Kwa uzoefu wangu wilaya ya Temeke ndio inaongoza kwa tabia chafu, miongoni mwa vijana wa Dar es salaam. Vijana wakabaji wako Temeke, wadada wasio na kazi maalumu wako Temeke. Yet madrasa kama utitiri.
Hizi madrasa mbona hazileti impact miongoni mwa jamii ya Temeke (Tandika). Ushoga mwingi sana...
Katika mfumo wa kidemokrasia, uchaguzi huru na wa haki ni kiini cha utawala bora na uwajibikaji. Katika muktadha wa Tanzania, uchaguzi wa serikali za mitaa una nafasi muhimu katika kuwezesha ushiriki wa wananchi katika mchakato wa maamuzi na kusimamia maendeleo katika ngazi za chini. Hata hivyo...
Sisi Wakazi wa Banana, Gongolamboto Jijini Dar es Salaam tunakumbana na kero kubwa kwenye andaki (kalavati) ambalo tunalitumia kukatiza kwa chini kutoka upande mmoja kwenda mwingine kwenye eneo inapokatiza Reli ya Mwendokasi (SGR).
Licha ya mradi huo unaoratibiwa na Shirika la Reli Tanzania...
Kwema Wakuu
Nimeletewa barua ya serikali za mitaa ikiwa na wito WA kutaka niende ofisi za serikali za mitaa.
Kisa na mkasa NI kugoma kulipa Pesa ya taka na ulinzi àmbayo haizidi elfu Tano. Yàani taka 3,000/= ulinzi 2000/=
Walijaribu kunipa risiti za kawaida nikawakatalia nikawaambia waje na...
Utazingatia chama cha siasa na itikadi yake tu,
Utazingatia ilani, sera, mipango, dira, mbinu, uelekeo na mikakati ya chama husika, katika kutatua changamoto mbalimbali na kuleta maendeleo kwa wananchi?
Utazingatia Elimu, umakini, uadilifu, umahiri, maelezo na ushawishi wa mgombea kwenye...
Mama mmoja mweusi mfupi kiasi amekua kila ikifika jioni anapita kwenye maduka kuomba chenchi elfu moja au kuomba shilingi mia ili anunue pipi, ukimpa tu, baadae pesa zako zinasepa.
Au anaweza kukuomba chenchi ya mia tano...🤣yaani mia mia...akisogea kidogo anakurudia umpe mia mbili mbili..😂
Au...
CHADEMA, kama chama kikuu cha upinzani, imekuwa ikisisitiza hitaji la Tume Huru ya Uchaguzi na Katiba Mpya kama msingi wa kushiriki uchaguzi wowote. Msimamo huu umetokana na malalamiko ya mara kwa mara kuhusu upendeleo na ukosefu wa uwazi katika chaguzi za awali.
Hoja za Kushiriki
1...
MBUNGE MAVUNDE ATENGENEZA MFUMO WA KIDIGITALI WA WENYEVITI WA MITAA KUWASILISHA KERO ZA WANANCHI
- Ni mfumo wa haraka zaidi wa kufikisha kero kupitia simu janja
- Wenyeviti wote kupatiwa simu maalum za kuwasilisha kero kwa uharaka
- Wenyeviti wa mitaa wampongeza kwa ubunifu
Mbunge wa Jimbo...
Tanzania Tuitakayo-Dira: Tunatamani uchaguzi mkuu na serikali za mitaa kufanyika kwa njia mtandao (smart votecard)
Nini kifanyike kufikia njia ya usajili wa wapiga kura kwa njia ya mtandao, nirahisi sana
Kanuni za uchaguzi chini ya tume ya taifa ya uchaguzi tanzania zinamtaka mwananchi/mpiga...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mohamed Mchengerwa amesema atavunja mabaraza ya madiwani yenye mivutano inayokwamisha maendeleo ya wananchi.
Waziri Mchengerwa ametoa kauli hiyo wakati wa kukagua ujenzi wa Hospitali ya Wilaya inayojengwa Kata ya Kibelege...
Jana kulikuwa na malumbano ya hoja juu ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Washiriki wengi walitoa hoja za maana sana kwa mfano
(1) Wananchi wengi hawana uelewa na uchaguzi huu hivyo kuwe na eliimu ya kutosha.
(2) Mpaka sasa Wizara husika haijatunga kanuni za kuendesha uchaguzi huu na bado...
Baada ya kupitia changamoto za kimaisha na Biashara, sasa tumeinuka tena na tayari tumefungua ofisi zetu maeneo ya Ukonga Banana, mkabala na jengo jipya.
Huduma zetu;
SHERIA (WANASHERIA NA MAWAKILI)
BIASHARA (kusajili jina la Biashara, kampuni na Taasisi,
KODI (Ushauri kuhusu kodi, makadirio...
Kuna wasaka fursa za ajira wenye zaidi ya miaka mitano mijini wanapambana, lakini kwa bahati mbaya hakijaeleweka mpaka sasa hivi.
Poleni sana, na pongezi nyingi kwa bidii, ustahimilivu, subra na moyo wa kutokukata tamaa katika kutimiza ndoto zako.
Hebu tafadhali vijana ndugu zangu...
Kumewekuwepo na upotevu mkubwa wa maji hasa katika sehemu tajwa hapo juu. Hii ni kutokana na miundombinu mibovu hasa ya maji.
Ukitembea hatua chache uanakuta barabara zimejaa maji na maji hayo yanatokana na ubovu wa miundombinu ya maji.
Kila baada ya hatua kumi unakuta maji yanabubujika na hii...
Maji, kama kioo cha asili, yanaakisi hali ya mazingira yetu. Kutoka kwenye milima yenye theluji hadi kwenye mitaa ya miji, safari ya maji ni simulizi ya mabadiliko, maendeleo, na wakati mwingine, hasira ya asili.
Mito huanza safari yake kutoka vyanzo vya maji. Vyanzo kama chemchem, maziwa, na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.