Nawasalimu kwa Jina la Jamhuri. Kazi iendelee.
Mama Samia, wakazi na wapiga kura wako wa Goba njia ya Tegeta A kwenda kutokea Madawa na njia Tegeta A kuelekea Kulangwa kupitia makanisa ya Katoliki Tegeta A, na Anglikana Tegeta A tuna changamoto kubwa sana ya barabara haitaki kutatuliwa kwa...
Mimi nashauri uchaguzi wa serikali za mitaa usogezwe mpaka mwaka kesho na sheria ziwekwe vizuri. Wataalamu wengi wanasingizia muda wakati huo huo wanasema sheria zinahitaji kubadilishwa. Hivyo hakuna sababu ya kwenda kwenye uchaguzi ambao kwa ulivyo sasa utashusha na kupunguza uaminifu wa hata...
Mimi sishabikii upande wowote wa hii vita ila Kwa hali ya kawaida kama kweli huwaungi mkono vijana wa hamas na ni mkazi wa Gaza si unahama kabisa kwanini Mpaka watoe taarifa kwamba muondoke nyie bado mmetulia ndani. Israeli anafanya kuhangaisha watu sio jambo jema na ilikuwaje hamas wanajenga...
MAPENDEKEZO KUHUSU SERA NA KAULI MBIU KATIKA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA - 2024 MKOA WA DAR ES SALAAM ( WILAYA YA KINONDONI )
Na Comrade Ally Maftah
JITU LA MIRABA
PENDEKEZO LA KAULI MBIU
"TUTAWAINUA WANACHI KIUCHUMI NA KIFIKRA"
Mapendekezo yatakuja zaidi kwa maana ya matamshi.
MANTIKI YA...
Habari ndugu!
Kuna kero inaendelea huku Tegeta Msigani kwenye Mto wa Kinondo. Mwenyekiti wa CCM wa Serikali za Kijiji amezidiwa tamaa ya pesa na mapolisi wa Madale. Kuna wachota mchanga kwenye bonde ambapo sasa hivi limepanuka zaidi na kuwa mto, hivyo wanafunzi wanaosoma Msigani Primary wapo...
Utangulizi:
Uchaguzi ni Haki ya msingi katika nchi yenye utawala bora ambao ni utawala unaofuata misingi ya sheria, haki, usawa, uwajibikaji, ushirikishwaji, demokrasia katika kuchochea uhuru binafsi katika ushiriki wa wananchi kuchagua viongozi wanaowahitaji na kuwaona wanafaa katika kuwaletea...
Wakazi wa Mbeya Mjini tunapata shida kubwa kipindi hiki cha mvua, barabara za mitaa zimeharibika sana, miundombinu imekua ni changamoto kubwa, barabara hazipitiki.
Maji yanapita barabarani, yaani unakuta barabara imekua kama mto, maji yanapita mengi. Serikali za mitaa hazina msaada, wala...
Ripoti ya mwaka ya ukaguzi wa Tawala za Mikoa na Setikali za Mitaa kwa mwaka wa fedha 2022/23 kwa mujibu wa Ibara ya 143(4) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 na Kifungu cha 34 cha Sheria ya Ukaguzi wa Umma, Sura ya 418.
Ripoti hii inawasilisha matokeo ya ukaguzi na...
Kuna taarifa nimeipata kutoka kwa jamaa yangu flani yupo Arusha ananiambia amepita mitaa ya Dampo, Sinoni anadai kuna basi mali ya Shule ya Msingi Ghati Memorial limeanguka kwenye korongo kutokana na mvua kubwa ambayo imenyesha pande hizo kuanzia usiku wa kuamkia leo Tarehe 12 hadi alfajiri...
Bilioni 1.7 Kulipa Posho za Wenyeviti wa Vijiji na Mitaa
Serikali imeendelea kulipa posho za wenyeviti wa vijiji, vitongoji na mitaa ili kuhakikisha wanatekeleza majukumu yao ipasavyo.
Kauli hiyo imetolewa na Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI)...
Kwa maoni yangu, moja kati ya mambo ambayo yataamua hatima ya chaguzi za wenyeviti wa vitongoji, mitaa na vijiji, ni barabara za mitaani.
Mvua kubwa za 2023/2024 zimeacha miundombinu hiyo ikiwa imeharibika sana, na ni kero kubwa kwa wananchi
Mwenyekiti wa Kituo cha Demokrasia Tanzania(TCD), Profesa Ibrahim Lipumba amesema kuwa anapata wasiwasi kwamba uchaguzi wa serikali za mitaa, unaweza kuwa kama wa mwaka 2019 au utakua tofauti, kwa kuwa haijulikani utatumia kanuni zipi.
Lipumba ametoa kauli hiyo leo Machi 11, 2024 wakati wa...
Kuna mambo nchi hii yanachosha sana jamani, hebu fikiria Wiki tatu unakosa Maji ambayo unayalipia kila mwezi, ni utaratibu gani huu? Leo naomba kuwauliza Mamlaka ya Majisafi na Majitaka Dar es Salaam (DAWASA) kuna shida gani katika jiji hili, mbona matatizo ya maji hayaishi? Mvua ziwepo zisiwepo...
Wazee nimezunguka mitaa kadhaa ya Kawe na Mbezi Beach na maeneo mengine ya karibu na hayo Dar es Salaam, siku mbili hizi kwa ajili ya kutafuta sukari lakini sijafanikiwa kupata kwenye maduka yote niliyoenda.
Kwani hii hali ipo pia mitaani kwenu?
Sukari iko wapi kwani? Au baada ya Serikali...
Wasalaam Wataalam wa Darisalaam,
Sinza na kinondoni sio mitaa ya kuruhusu kijana wako atembee usiku, kwanini?
Ngoja niwarudishe nyuma miaka kadhaa nilipokuwa kijana mdogo tu aliyemaliza form four. Ndevu Bado zinaota ota.
ilikuwa wikendi moja tukufu ya sikukuu, Mimi na rafiki yangu tumetòroka...
Mpira ni Mchezo ambao unafanya watu wasahau Maumivu ya Gharama kubwa za Maisha ndani ya dakika 90.
Mpira ni Mchezo ambao unafanya watu wa Dini Tofauti wasahau Imani zao kwa Mda, na wote wanakua na Dini Moja kwa dakika 90. Mpira ni Mchezo ambao unafanya wapinzani kisiasa waungane kwa dakika 90...
Kuelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 na Uchaguzi Mkuu 2025 baadhi ya makada wa CCM wameanza kutoa kauli tata ambazo zinaashiria kuwa vyovyote itakavyokuwa lazima CCM ibaki Madarakani. Kwamba CCM hakijaombwa kushindwa.
Kada mmoja amenukuliwa akiwaponda ACT Wazalendo kuwa haiwezekani wao...
📍Ushetu - WANANCHI JITOKEZE UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA-MBUNGE CHEREHANI
Wananchi wametakiwa kujitokeza kugombea nafasi mbalimbali katika uchaguzi wa serikali za mitaa unaotarajiwa kufanyika mwaka huu 2024.
Mbunge wa Jimbo la Ushetu Mkoani Shinyanga Mhe Emmanuel Cherehani ameyasema hayo tarehe...
Tunapoelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 na Uchaguzi Mkuu 2025 ni vyema vyama vyote vya upinzani vitakavyoshiriki vikaanza maandalizi mapema kabla giza halijazama.
Wote tunakumbuka uchafuzi uliofanyika katika uchaguzi wa serikali za mitaa 2019 ambapo vyama vya upinzani vilipata pigo moja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.