Jeshi La Polisi idara ya TRafick inafanya kazi kwa weledi wa hali ya Juu.
Hawa Polisi ambao wale wa vyeo vya chini huvaa sare nyeupe za kupendeza na kuonyesha unadhifu wa hali ya juu nje ya mwilina ndani ya roho sijui lakini pia wale wa vyeo vya juu huvaa nguo za kaki za kupendeza wanyonge huku...
Wakuu habari,
Kwa wale wazoefu kwenye hizi kazi za kuchomekea naombeni mje mtupe mbinu sisi tunaoanza kwenye kunegotiate mishahara.
Naanza mimi;
Tip: kitu kimoja nimegundua katika mwanzo wa career ni kuwa bonuses ni nzuri kuliko mshahara mkubwa.
Mwanzoni nilikuwa nanegotiate mshahara mkubwa...
Lile garasha limesajiliwa billion 3. ($1.3 milion).
Mishahara ya wachezaji Yanga Ni bilion 2.7 kwa mwaka (ndio kikosi Bora kwa Sasa Tanzania)
Izo ela za kumleta huyu jamaa katoa mo na kamtuma try again kuleta. Walitaka walete yule mbraziri ikabuma.
Swali hili linaniumiza sana kichwa.
Je watumishi hawa wa sekta ya afya mishahara yao inalipwa na bima ya afya au ni kutokana na bajeti kuu ya serikali inayotokana na kodi mbalimbali?
Kama mishahara yao inatokana na bima ya afya basi serikali haina budi kurekebisha, mishahara ilipwe kutokana na...
Wakuu naomba kuuliza anaefahamu fika hili shirika/taasisi ya British contact limited lipo sinza. Je, linajihusisha na nini haswa? Na je mishahara kwao ni uhakika?
Nipo hapa Mlimani City ndani ya Jiji la Chalamila (Dar es Salaam), taarifa ikufikie kuwa vijana wa security yaani wale walinzi wanaovaa yale mashati maupe wameandaa maandamanonmadogo ya mgomo wa ndani ya jengo hilo, wanadai hawajalipwa mshahara, imekuwa kero, hiyo maandamano yasiyo rasmi...
Nianze Kwa kuipongeza serikali ya Jamuhuri ya muungano wa Tanzania, kwa kuliona hili.
Hapo awali mishahara ya walimu ilikuwa flat rate(sawa), haikujalisha mwalimu amesoma masomo gani, kwa kifupi walimu wa sayansi na sanaa (arts) walilipwa mishahara sawa. Yaani kama ni cheti wanalipwa sawa...
Baadhi ya Wafanyakazi hao katika Mradi wa Ujenzi wa Reli ya Kisasa (SGR), leo Agosti 17, 2023 wameendeleza mgomo wao wakishinikiza malipo yao kutoka kwa Mkandarasi Kampuni ya Yapi Merkezi.
Sehemu ya hotuba yao inaeleza “Sisi ni Wafanyakazi tuliopo katika Mrati Awamu ya Pili (Lot 2), Kambi ya...
Anonymous
Thread
mgomo
mishahara
msaada
raia
rais
rais samia
reli
samia
sgr
uturuki
video
waomba
Hili zimwi alilokuwa analilea Putin na ambalo lilimsababisha aikimbie Ikulu kwa siku chache, linazidi kuwa kero, maana ni kundi la wapiganaji ambao kwa sasa wameingiwa na matatizo ya hela na kwa muktadha huo wanaweza wakawa hatari zaidi kwake na kwingine.
The Wagner Private Military Company...
"Moja ya ukatili ambao wanawake wanafanyiwa ni kufanyishwa kazi majumbani bila kulipwa, kiuhalisia mwanamke anapofanya kazi za nyumbani lazima alipwe, kwasababu hujamuoa awe house girl wako, yule ni mke wako ambaye umemuoa kwa malengo maalumu na siyo ya kufanya kazi za nyumbani."
"Sisi kama...
Sakata la Chuo Kikuu cha Iringa roho za Watanzania zinateseka katika hicho chuo, kwanza hakilipi mishahara kwa wakati matokeo yake Watumishi wasio waadilifu ikiwepo Ofisi ya Uhasibu wanatengeneza mchezo mchafu wa malipo hewa ili kujipatia fedha.
Ishu hiyo ilipokugundulika chuo bila kuchunguza...
Ni wazi kuwa sasa ni mwaka wa 8 watumishi hawapati shahiki yao ya nyongeza ya mshahara. Matamko mbalimbali hususani kwenye sherehe za Mei Mosi, Rais kupitia majibu ya hotuba ya wafanyakazi alitoa kauli ya kurudisha japo Annual Increment kwa watumishi ifikapo July mwaka mpya wa bajeti.
Tofauti...
INTRODUCTION
Salamu sanaa Wana JF, ni Mimi yuleyule Mr. Liverpool A.K.A mkataa ndoa.
Hebu twende kwenye mada moja kwa moja.
SCENARIO.
Umeuona huu mshahara...!!!
Huu mshahara unaousoma hapo chini hapo ....
1. Unasomesha watoto wangu wawili private (primary school)..!!
2. Unanipa Flying fish...
Najiuliza hili swali nashindwa kupata jibu, kati ya wachezaji waliopata mafanikio makubwa na muda wote toka Tanzania iumbwe na Toka kabla makubaliano ya bandari hayajafanyika ni Mbwana Samata, amecheza vilabu vinginna vikubwa , lakini Nina swali dogo.
Mbwana alivofika ulaya alikuwa akipokea...
Labda ndo iwe hivyo.
Enhee!? Mtafanyaje?
Ok.. labda tuseme hawa DP World ndo wamewezesha madaraja kupandishwa.. au hata ajira mpya.. mtafanyaje!?
Na wale wabunge mnafikiri wako kapa?
Kwani Watanzania hatuwezi kuwaza kwa Sauti?
Akizungumzia tuhuma za kupewa gari ili atetee DP World kusimamia na kuendehs bahari nchini, mbunge Joseph Musukuma amesema gari aliyonayo amenunua kwa hela yake na amelipa ushuru milioni 130 ili walimu wapate mishahara kama angetumia tax exemptions angelipa ushuru wa milioni 45.
Amesema mtu...
ZINGATIA MAMBO YAFUATAYO!!!
1. Jenga nyumba mapema. Iwe mjini au kijijini . Kujenga katika umri wa 50 sio mafanikio. Usizoee majengo ya serikali. This comfort is so dangerous. Wape nafasi watoto wako kutanua nyumbani kwao.
2. Nenda nyumbani (Kwenu). Usigande kazini mwaka mzima. Wewe sio nguzo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.