mishahara

  1. benzemah

    JamiiForums Tanzania Mtazamo: Rais samia endelea kuongeza mishahara kimyakimya

    KAMA ilivyozoeleka kwa baadhi ya wafanyabiashara, huwa wanapandisha bei ya bidhaa mara tu wanaposikia serikali imeongeza msha-hara na marupurupu kwa wafanyakazi kila mwaka. Uviziaji huo hufanyika wakati wa Sikukuu Wafanyakazi Duniani (Mei Mosi), kwani wafanyabiashara walishajua kuwa hicho ndicho...
  2. R

    JamiiForums Tanzania TAKUKURU wanalipwa mishahara ya kazi gani kwa uozo na rushwa zilizoelezwa kwa Waziri Mkuu?

    Mkurugenzi wa TAKUKURU na wafanyakazi walio chini yake wanalipwa fedha nyingi kutoka kwenye kodi za wananchi. Pamoja na malipo mazuri hakuna kazi yoyote ya msaada wanayotoa kwa serikali na jamii kwa ujumla. Kama wangekuwa active hizi taarifa za madhila ya wafanyabiashara wangekuwa wanazo na...
  3. Mstahiki Mea

    JamiiForums Tanzania Nchi ambazo wafanyakazi hulipwa mishahara minono Africa

    Top 10 African countries where workers earn the highest average salaries 1)- Morocco 🇲🇦: $2,031. 2)- South Africa 🇿🇦: $2,026 3)- Tunisia 🇹🇳: $1,348 4)- Kenya 🇰🇪: $1,291 5)- Algeria 🇩🇿: $1,273 6)- Namibia 🇳🇦: $1,168 7)- Botswana 🇧🇼: $1,000 8)- Nigeria 🇳🇬: $814 9)- Ghana 🇬🇭: $748 10)-...
  4. Exile

    JamiiForums Tanzania Uturuki yaongeza mishahara ya wafanyakazi wa umma kwa 45%

    Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan ameangaza nyongeza ya asilimia 45 ya mshahara kwa wafanyikazi wa umma 700,000 siku tano kabla ya uchaguzi mkuu. Haya yanajiri wakati uchumi wa nchi hiyo ukiyumba kutokana na athari za matetemeko makubwa ya ardhi mwezi Februari. Erdogan, ambaye alichaguliwa...
  5. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Ni wakati sasa serikali iweke wazi mishahara ya kila kada ndani ya taasisi zote

    Hello! Mambo ya mafumbo ni ya kizamani. KIjana anaomba kazi , sehemu ya mshahara mnaandika TGS D , POS C, mara TANAPA 02 n.k n.k Ukiondoa mishahara ya tgts na tgs ambayo ni common, hiyo mingine inabidi mtu aanze kuhangaika kuulizia kwa mtumishi wa ofisi husika, kama humjui mtu basi tena...
  6. Influenza

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Tumerudisha nyongeza ya mishahara ya mwaka kwa Wafanyakazi

    Rais Samia akiwa katika Sherehe za Siku ya Wafanyakazi mkoani Morogoro amebainisha kuwa nyongeza za mishahara za mwaka ambazo kwa muda mrefu zilikuwa zimesitishwa, zimerudishwa mwaka huu Amesema “Wafanyakazi wote mwaka huu, mbali na Kupanda Madaraja, na mambo mengine, kuna nyongeza za mishahara...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Rais Samia tunaomba utamke kesho kuwarudishia misharaha watumishi walioshushwa mishahara yao

    Ni ushauri na ombi kwa Mh. Rais, ikimfaa awarudishie mishahara watumishi wote mishahara yao iliyoshushwa. Ni vyema ikimfaa alizungumze hili kesho siku ya mei mosi, ili kujenga umoja wa kitaifa na kujali watumishi, Tunakupenda sana Rais wetu, jemedari Samia Suluhu Hassan.
  8. jastertz

    JamiiForums Tanzania Inakuwaje serikali inakosa mishahara ya wafanyakazi wake mfano Kenya?

    Habari wana uchumi wa JF! Kama somo linavyosema hapo juu.. Kwa mara ya kwanza tangu Kenya ijinyakulie Uhuru 1963 , serikali imeshindwa kuwalipa mishahara wafanyakazi wa umma na wabunge. Kufikia sasa wafanyakazi wa umma hawajui ni lini watalipwa mishahara yao hali ambayo ilianza mwezi Disemba na...
  9. Mshuza2

    JamiiForums Tanzania Mishahara ya April tayari, hakika mama anaupiga mwingi

    Hakika mama amesikia kilio cha watumishi kwa kuwalipa mshahara mapema kabla ya sikukukuu ya eid, ama kwa hakika mama anaupiga mwingi. Watumishi tumieni vizuri mishahara yenu na nawatakia waislamu wote sikukuu njema ya eid el fitri.
  10. Kayabwe

    JamiiForums Tanzania Mei Mosi ndo hiyooo! TUCTA Mjipange vizuri juu ya ongezeko la mishahara

    Naomba TUCTA Mjipange vizuri juu ya ongezeka la mishahara Kwa wafanyakazi mwaka huu. Mnakumbuka Mama alitangaza jambo letu kwa mbwembwe tukapigea na kitu kizito. Tusije lia tena jamani. Hatutaweelewa.
  11. Zanzibar-ASP

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa sasa Kenya ni nchi ya Kimaskini zaidi kuliko Tanzania, serikali ya Kenya yashindwa kulipa hata mishahara!

    Mficha maradhi kifo kitamuumbua, yawahi hayawi sasa yamekuwa, ukweli halisi umeanza kujionyesha huko Kenya, hali ya maisha ni mbaya mnoo, vijijini ukame unawaua, mijijini maisha yanawanyonga na sasa Serikali imeshindwa kulipa hadi mishahara watumishi wake. Kenya kumechoka na kuchakaa balaa...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Hakuna nyongeza ya mishahara kwa watumishi mwaka 2023

    Nimepita huku na kule naona kwenye bajeti 2023/2024 hakuna nyongeza bali matumizi mengineyo yasiyo ya mshahara hii inamaana hakuna nyongeza mwaka huu.
  13. DogoWaNjombe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Gachagua adai madeni ya Awamu ya Kenyatta ni chanzo cha mishahara kuchelewa kulipwa

    Naibu Rais wa Kenya, Rigathi Gachagua amedai Serikali yao inapata changamoto ya mishahara kuchelewa kwa kuwa Serikali haina fedha kutokana na ukopaji uliopitiliza uliofanywa na utawala uliopita wa Rais wa zamani Uhuru Kenyatta. Watumishi wa umma katika Kaunti 47 nchini Kenya wamekaa kwa miezi...
  14. S

    JamiiForums Tanzania CRDB Tawi la Usa-River kwanini mnakaa na mishahara ya watu bila kuiingiza kwenye akaunti za wahusika?

    Hii benki ya CRDB imekuwa na unyanyasaji kwa wateja wake. Kuna hili tawi lao la Usa-River lililoko wilaya ya Arumeru Halmashauri ya wilaya ya Meru mkoani Arusha kuna taasisi zinapitishia mishahara ya wafanyakazi wao kupitia hili tawi. Tatizo wafanyakazi wa hili tawi hukaa na mishahara ya...
  15. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: Gavana aagiza Wafanyakazi kutoa 10% ya Mishahara yao Kanisani

    Gavana wa Kenya amewaamuru watendaji wapya wa kaunti kutoa sadaka ya 10% kutoka kwenye mapato yao kwa kanisa. Gavana wa Nandi Stephen Sang alisema agizo hilo linahitajika kwa sababu makanisa ya eneo hilo yanahitaji uungwaji mkono kutoka kwa viongozi na serikali ya kaunti. "Maafisa wakuu...
  16. D

    JamiiForums Tanzania Wafanyakazi waliopo chini ya Hospitali za dini (FBO) wanaolipwa mishahara na serikali

    Wafanyakazi wanaofanya kazi chini ya hospitali za kidini, yaani muajiri wao ni FBO lakini wana check namba na wanalipwa mshahara na serikali, Je Inawezekana mfanyakazi huyu kuhama kuhamia kituo cha serikali 100% Vipi kuhusu Haki zao zingine za kiutumishi kama vile kujiendeleza kielimu...
  17. Liverpool VPN

    JamiiForums Tanzania Imefika wakati serikali iangalie mishahara ya watumishi wa "Local government" maana hali zao za mishahara ni ngumu na mbovu sana

    Salaam ndugu Wana JF, Naambiwa "Mama" yetu Rais wetu huwa anasoma humu JF. Kwa heshima na taadhima naomba asome na hii. Twende kwenye hoja.. Leo hii Kuna jamaa yangu kutoka halmashauri ya jirani kapata uhamisho kutoka halmashuri yake kwenda chuo cha Mandela (Arusha) yaani kwa huo mshahara...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Hawa Simba wasije kusababisha mishahara ya mwezi huu kuchelewa

    Mimi ni Mwanayanga kindakindaki ila hii kasi ya Simba kumfunga Horoya huku kila hili lilies sawa na milioni 5 wasije kusababisha mishahara ya mwezi huu ikachelewa. Simba punguzeni speed msije kumlaza njaa Mwl. Mpwayungu Village
  19. Prakatatumba abaabaabaa

    JamiiForums Tanzania Tukutane hapa watumishi ambao hawategemei mishahara, tuelezane changamoto na mbinu

    Nimefungua huu uzi kwa ajili ya kuwakutanisha watumishi wote wenye idea ya ujasiriamali, wanaofanya biashara,kilimo,ufugaji na wanaotarajia kufanya biashara, kilimo na ufugaji n.k Kwa ugumu wa maisha jinsi ulivyo mfumuko wa bei ni ndoto kwa sisi watumishi wa halmashauri kutoboa, Kuna clip moja...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Lissu umeshindwa kuwazungumzia watumishi walioshushwa mishahara na Mwendazake

    Nilitegemea ujio wako Tanzania, ungefanikisha kuwasemea wale wote walioshushwa mishahara yao na mwendazake. Nikuombe mkutano ujao wasemee katika hili ikiwezekana Rais aweze kuwarudishia mishahara yao Nawasilisha
Back
Top Bottom